My all time best bongo fleva list

Usinipe lawama- chidbenz ft matonya. Jaged records studio ya jide na gardner enzi hizo.
Sirudi - Qjay ft Jo Makini. Ngoma hatari sana hii. Imepikwa say records.
Elimu dunia - daz baba ft afande sele. Mkono wa majani.
Nipe tano - ferouz ft daz nundaz. Mkono wa majani.
Dakika moja - Ngwair rip ft Noorah. Ngoma kali sana sana. Mkono wa P.
Msela- Chelia Man.
 
sawaaa nshakumbuka kweli Caz t ña Sarah then penzi la ndoa ndo Caz t n maimartha

Binamu hzo nyimbo nshaibiwa flash na CD's zote kila nkiburn yani mana Mtu akija akiskia kesho siikuti!!
Mi sa hv naona wanabana pua tu!
Siwaelewi hata kidogo!
Old is gold
 
Mimi zangu hizi hapa:
1.Chini ya 18 - Sugu
2.Buzi - Mr.Paul ft Inspector Haroun
3.Sikiliza - Mangwair ft Jaydee
4.Bongo Dsm - Prof Jay ft Jaydee
5.Inategemea na mtu,Raha Kamili rmx - A.Y
6.Safi hiyo - A.Y, FA ft Ray C
7.Mabinti dam dam - Mwanafalsafa
8.Unanitega - Mwana FA, Noorah ft Pauline Zongo
9.Ntakufaje - Crazy GK
10.Hii leo - East Coast Team
11.Blue blue,Mapozi,Kiss Kiss,Like a Star,Roho zawauma - Mr.Blue
12.Ntakufa nawe - Abby skills ft Mr.Blue
13.Joanita - Pingu na Deso ft Mr.Blue
14.Niskilize mimi - Pig black ft Mr.Blue
15.Ghetto langu,She gotta Gwan - Late Mangwair
16.Latifa - MB Dogg
17.Chungwa,Rafiki - Suma lee
18.Ice Cream - Noorah
19.Dully Sykes - Nyambizi, Mr.Misifa, Ladies free, Handsome, Bijou.
20.Mbona - PNC ft Mr.Blue
22.Dear,swahiba - Abby Skills
23.Nikupe nini,Dingi, Nihukumu mola, Niaje, Taswira - Mandojo na Domokaya
24.Wanok nok - Mandojo na Domokaya ft Jaydee
25.Nitoke Vipi - Bwana Misosi
26.Mkiwa - K sal
27.Jahazi, Starehe, Mkasa wa boss, Jirushe - Ferouz
28.Asali wa moyo rmx, Byee Byee, Tunajirusha - Inspekta Haroun a.k.a Babu
29.Nipe nafasi - Park lane
30.6 in the morning - CP
31.Hit songs zote za Juma Nature toka kwenye album ya Ubinadamu Kazi na Ugali.
32.Kamua,Ndio zetu,Umri.
33.Msela - TMK ft Late Mangwea
34.Lover boy,Dar Mpaka Moro,Twenzetu - Chegge
35.Nampenda yeye - Temba ft Dully Sykes
36.Nipe Mimi - Temba ft Ray C
37.Usinipe lawama - Chid Benz ft Matonya.
38.Umenisoma - Chid Benz
39.Nataka niwe wako - Maunda zorro
40.Sogea sogea,wanifata wa nini - Ray C
41.Siamini, Vaileti,Dunia mapito - Matonya
42.Bongo.com,ring on it, like that - TNG Squad
43.Hao,Zamu yangu,Hawapendi,Muda - Joh Makini
44.Ndio zetu, mchizi wangu, hawatuwezi - Nako 2 Nako
45.Nilipotoka - Geez Mabovu ft Joh Makini
46.Nicheki, Mkuu wa mkoa - O Ten
47.Elimu.com, Sauti ya gharama - D Knob ft late Mez B
48.Basi Kama Vipi - Late Mez B ft Ray C
49.Una - Prof Jay ft Mangwair
50.Kikao cha dharura,Ndio mzee, Msinitenge, Promoter ana beep, zali la mentali, Nikusaidiaje, Hapo vipi - Prof Jay

Aisee kwa leo inatosha zipo ngoma nyingi tamuuu jamani way back in time ingawa technology haikuwa kivile ila mziki wao utaishi sana, tofauti na hawa wasanii wa kizazi cha Diamond hamna kitu kabisa!!!!
 
Ana miaka chini ya kumi na nane......sugu
Salome.....dully
Mtazamo.....solo.afande.prof jize
Barua daznundaz
Ice baby... saleh jaber
Leyaaa.dully
Homa ya dunia - solo thang
Mzee wa busara - j nature
Ingekuwa vipi - mwana fa
Kikao cha dharura - prof jay
Ndani ya dsm - prof jay
Kamanda daznundaz
 
Haya hayakuwa mapenzi ya Mheshimiwa Sugu moja ya track Kali za moto saana
 
1.Yote maisha - madee ft pfunk. Hii ngoma uwa nikiisikiliza ina nitouch sana. Inanikumbusha 2007 ambapo Pfunk alikuwa on the peak before hajashuka na madee akiwa madee kweli. Meseji na beat vyote vina hisia.
2. Alikufa kwa ngoma- Mwana F.a ft Jaydee. Hii ni kati ya ngoma ambazo pia alitengeneza majani. always collabo za f.a na jaydee zilikuwa hatari sijui shetani gani aliingia hapo kati akawagombanisha lakini hii ngoma kwangu mpaka leo siichoki. Napenda flow na uandishi wa F.a wa zamani.
3. Hayakuwa mapenzi- Sugu. Hii ngoma napenda ujumbe na flow za sugu humu ndani. Kusema ukweli ni ngoma chache sana za sugu nazozikubari coz uwa sio mpenzi wa style yake lakini humu alinibamba sana.
4. Niaje - mandojo na domokaya ft Jnature. Huu mkono wa Mika Mwamba. Melody vocal na lyrics za wote walioshiriki uwa zinanifanya nisichoke sikiliza huu wimbo.
5. Nenda - 3D (Mandojo domokaya and squeezer). Mkono wa Ramar kipindi yuko on the peak. Hii ngoma naikubari mpaka kesho kwa kila kitu.
6. Tambara - hardmad ft.... aliye mshirikisha ni mdada jina silijui lakini ni kati ya ngoma kali sana ambazo mpaka leo naweza sikiliza. Kama kawaida Mika mwamba ndiye kaipika.
7. Changa la macho - Ay ft GK. Hii ngoma kaisuka marehemu complex RIP. Flow za ay za ktambo na gwamaka zitakufanya uhitaji ku i replay.
8. Tutakukumbuka - GK ft tid. Hii ngoma kaitengeneza Ludigo akiwa MJ records, enzi za kamanda gk. Ni ngoma ambayo nikiiskiliza inanikumbusha kumrudia Mola.
9. Wauguzi - Ngoma ya wagosi wa kaya. Nadhani itakuwa Mj records. Sijui kwanini uwa naipenda ila i just love it.
10. Nyalu land - Mike Tee ft jaydee. Aisee hii ngoma kaitengeneza Master J, ngoma zote alizowahi kushirilishwa jaydee zilikuwa hot. Na ole flow ya kunata ya mike Tee na maneno yake ya kinyaru hunifanya nisiichoke hii ngoma.
11. Mabinti dam dam- F.A. hii ngoma ngaitengeza Bon Love, again F.A wa zamani nilikuwa napenda flow yake na uandishi wake wa kifalsafa.
12. Tuliza boli - F.A ft stara Thomas. Hapa sitii neno maana F.A wa zamani.
13. Binamu - F.A. nadhani hii ndiyo ngoma ya mwisho kumkubari sana F.a. siku hizi namkubari kawaida. Mpishi wa hii ngoma ni Marco chali kipindi bado yuko kama kawa records.
14. Handsome - Dully sykes. Huu mkono wa Pfunk. Huu wimbo unanikumbusha enzi hizo kiukweli i just love the beat and te flow of dully kwenye hii ngoma nothing else and the memories labda.
15. Yatima hadekezwi - ...ft squeezer. Mwenye wimbo nimemsahau ila ni ngoma moja ina ujumbe mkali sana.
ila hongera
Remember those dem days kabla ya nigerian genre na kwaito kuvamia bongo fleva
ondoa hiyo ya sugu weka sister sister ya GK, tuliza boli weka latifa ya mb dog,Ondoa yatima hadeki weka ngoma ya K-SAL, toa moja hapo weka Samboira ya Penpol ,Darubini ya afande sele, ila hongera mzee hiyo list yako ina wakali wa maana, kama mandojo na domo kaya, jide,squzeer, hardman, madee
 
Afande sele- darubini Kali
Prof j- nikusaidiaje
J nature hakuna kulala
Dully - hunifahamu
Somebody..?- nimekuchagua wewe uwe wangu
Matonya - vaileti
Ay ft f.a - habari ndo hyo
Lady jay dee- full album I.usiusemee moyo
Ii.mawazo n.k
Wagosi wa kaya - wauguzi, trafiki..
Ali kiba - Cinderella, nakshi mrembo, Mac muga, usiniseme, mapenzi yana run dunia
Joh makini - tupige magoti tusali
Joni woka & las lion - full album
Temba- side mnyamwezi
Mb dog - latifa
Tmk wanaume - shiibe shiiibe
Tmk wanaume family - kazi IPO, dar mpaka Moro
Tmk wanaume halisi - 3 - 0, ndege tunduni
Diamond king platnumziii- zote
 
Mimi zangu hizi hapa:
1.Chini ya 18 - Sugu
2.Buzi - Mr.Paul ft Inspector Haroun
3.Sikiliza - Mangwair ft Jaydee
4.Bongo Dsm - Prof Jay ft Jaydee
5.Inategemea na mtu,Raha Kamili rmx - A.Y
6.Safi hiyo - A.Y, FA ft Ray C
7.Mabinti dam dam - Mwanafalsafa
8.Unanitega - Mwana FA, Noorah ft Pauline Zongo
9.Ntakufaje - Crazy GK
10.Hii leo - East Coast Team
11.Blue blue,Mapozi,Kiss Kiss,Like a Star,Roho zawauma - Mr.Blue
12.Ntakufa nawe - Abby skills ft Mr.Blue
13.Joanita - Pingu na Deso ft Mr.Blue
14.Niskilize mimi - Pig black ft Mr.Blue
15.Ghetto langu,She gotta Gwan - Late Mangwair
16.Latifa - MB Dogg
17.Chungwa,Rafiki - Suma lee
18.Ice Cream - Noorah
19.Dully Sykes - Nyambizi, Mr.Misifa, Ladies free, Handsome, Bijou.
20.Mbona - PNC ft Mr.Blue
22.Dear,swahiba - Abby Skills
23.Nikupe nini,Dingi, Nihukumu mola, Niaje, Taswira - Mandojo na Domokaya
24.Wanok nok - Mandojo na Domokaya ft Jaydee
25.Nitoke Vipi - Bwana Misosi
26.Mkiwa - K sal
27.Jahazi, Starehe, Mkasa wa boss, Jirushe - Ferouz
28.Asali wa moyo rmx, Byee Byee, Tunajirusha - Inspekta Haroun a.k.a Babu
29.Nipe nafasi - Park lane
30.6 in the morning - CP
31.Hit songs zote za Juma Nature toka kwenye album ya Ubinadamu Kazi na Ugali.
32.Kamua,Ndio zetu,Umri.
33.Msela - TMK ft Late Mangwea
34.Lover boy,Dar Mpaka Moro,Twenzetu - Chegge
35.Nampenda yeye - Temba ft Dully Sykes
36.Nipe Mimi - Temba ft Ray C
37.Usinipe lawama - Chid Benz ft Matonya.
38.Umenisoma - Chid Benz
39.Nataka niwe wako - Maunda zorro
40.Sogea sogea,wanifata wa nini - Ray C
41.Siamini, Vaileti,Dunia mapito - Matonya
42.Bongo.com,ring on it, like that - TNG Squad
43.Hao,Zamu yangu,Hawapendi,Muda - Joh Makini
44.Ndio zetu, mchizi wangu, hawatuwezi - Nako 2 Nako
45.Nilipotoka - Geez Mabovu ft Joh Makini
46.Nicheki, Mkuu wa mkoa - O Ten
47.Elimu.com, Sauti ya gharama - D Knob ft late Mez B
48.Basi Kama Vipi - Late Mez B ft Ray C
49.Una - Prof Jay ft Mangwair
50.Kikao cha dharura,Ndio mzee, Msinitenge, Promoter ana beep, zali la mentali, Nikusaidiaje, Hapo vipi - Prof Jay

Aisee kwa leo inatosha zipo ngoma nyingi tamuuu jamani way back in time ingawa technology haikuwa kivile ila mziki wao utaishi sana, tofauti na hawa wasanii wa kizazi cha Diamond hamna kitu kabisa!!!!
asanteeee!!
 
Mm ngoma za enzi hizo nazozikubali ni
1:mtoto idd, ubinadamu kazi,na sonia hizi zote ni za sir nature kiroboto a.k.a kibra

2:stori tatu ___nyimbo ya jay mo
3:ice cream __nyimbo ya noorah
4:latifa__ nyimbo ya mb dogg
5:zari la mentali __prof j vs nature
6:nampenda yeye__mh temba
vs dully
7:nyammizi,salome,___dully sykes
8:mapozi__mr blue bayser
9:zeze na girlfriend ___t.I.d mnyama
10:niko busy ya jmo
Niko bize ni Jaffarai
 
1. Mtoto wa Geti kali-inspector haruni
2. Chemsha Bongo-Prof Jay/HBC
3. Mwanangu huna nidhamu-Dudu baya
4.Mkuki Moyoni-Afande sele
5.Nampenda flani-Mike T ft nature
6.Mapenzi kitu gani- Mb doggy
7.Raisa-Tid
8.Mikononi mwa polisi-Sugu
9. Cinderela-Ali kiba
10. Mapozi- Mr Blue
Hizo ngoma balaa
 
1.Yote maisha - madee ft pfunk. Hii ngoma uwa nikiisikiliza ina nitouch sana. Inanikumbusha 2007 ambapo Pfunk alikuwa on the peak before hajashuka na madee akiwa madee kweli. Meseji na beat vyote vina hisia.
2. Alikufa kwa ngoma- Mwana F.a ft Jaydee. Hii ni kati ya ngoma ambazo pia alitengeneza majani. always collabo za f.a na jaydee zilikuwa hatari sijui shetani gani aliingia hapo kati akawagombanisha lakini hii ngoma kwangu mpaka leo siichoki. Napenda flow na uandishi wa F.a wa zamani.
3. Hayakuwa mapenzi- Sugu. Hii ngoma napenda ujumbe na flow za sugu humu ndani. Kusema ukweli ni ngoma chache sana za sugu nazozikubari coz uwa sio mpenzi wa style yake lakini humu alinibamba sana.
4. Niaje - mandojo na domokaya ft Jnature. Huu mkono wa Mika Mwamba. Melody vocal na lyrics za wote walioshiriki uwa zinanifanya nisichoke sikiliza huu wimbo.
5. Nenda - 3D (Mandojo domokaya and squeezer). Mkono wa Ramar kipindi yuko on the peak. Hii ngoma naikubari mpaka kesho kwa kila kitu.
6. Tambara - hardmad ft.... aliye mshirikisha ni mdada jina silijui lakini ni kati ya ngoma kali sana ambazo mpaka leo naweza sikiliza. Kama kawaida Mika mwamba ndiye kaipika.
7. Changa la macho - Ay ft GK. Hii ngoma kaisuka marehemu complex RIP. Flow za ay za ktambo na gwamaka zitakufanya uhitaji ku i replay.
8. Tutakukumbuka - GK ft tid. Hii ngoma kaitengeneza Ludigo akiwa MJ records, enzi za kamanda gk. Ni ngoma ambayo nikiiskiliza inanikumbusha kumrudia Mola.
9. Wauguzi - Ngoma ya wagosi wa kaya. Nadhani itakuwa Mj records. Sijui kwanini uwa naipenda ila i just love it.
10. Nyalu land - Mike Tee ft jaydee. Aisee hii ngoma kaitengeneza Master J, ngoma zote alizowahi kushirilishwa jaydee zilikuwa hot. Na ole flow ya kunata ya mike Tee na maneno yake ya kinyaru hunifanya nisiichoke hii ngoma.
11. Mabinti dam dam- F.A. hii ngoma ngaitengeza Bon Love, again F.A wa zamani nilikuwa napenda flow yake na uandishi wake wa kifalsafa.
12. Tuliza boli - F.A ft stara Thomas. Hapa sitii neno maana F.A wa zamani.
13. Binamu - F.A. nadhani hii ndiyo ngoma ya mwisho kumkubari sana F.a. siku hizi namkubari kawaida. Mpishi wa hii ngoma ni Marco chali kipindi bado yuko kama kawa records.
14. Handsome - Dully sykes. Huu mkono wa Pfunk. Huu wimbo unanikumbusha enzi hizo kiukweli i just love the beat and te flow of dully kwenye hii ngoma nothing else and the memories labda.
15. Yatima hadekezwi - ...ft squeezer. Mwenye wimbo nimemsahau ila ni ngoma moja ina ujumbe mkali sana.

Remember those dem days kabla ya nigerian genre na kwaito kuvamia bongo fleva
Kipindi hiki,kiba na diamond hata mimba zao zilikua hazija tungwa!
 
Similar Discussions

11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom