Mxit v/s BBM

Habdavi

JF-Expert Member
Mar 5, 2011
724
621
Habari wana JF
Kuna application ya chat naitumia ya Mxit kwenye simu yangu ya blackberry. Inapatikana kwa simu zingine pia. Blackberry messenger naona inabagua wenye simu hizo tu. Lakini mxit ni kwa aliye na simu yenye uwezo wa java,symbion,andreoid etc
jaribu ku download kwa kutumia www.m.mxit.com
 
MxIt over BB of course hizi zote za single platform ovyo sana, ikiwemo hii mpya ya Apple.

Personally natumia WhatsApp.
 
Back
Top Bottom