Mkeshahoi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2009
- 2,469
- 281
Mpaka huku mkoa wa Pwani wanafugwa,misenyi huko Kagera walikuwa wanafugwa,Rukwa walikuwa wanafugwa,kwa hiyo ukitaka kufuga ng`ombe unaweza kufuga,unaweza kufuga crossbreed inayofit mazingira yako. Kama uko kanda ya Ziwa,Musoma kulikuwa/kun shamba la ng`ombe wa maziwa. Kazi kwako mkuu.
nayajua karibu mashamba yote ya ukanda huu wa ziwa na kati...ila nilisikia hawa wanyama wanastawi sana ktk baridi...ndo maana nikauliza!! na kumbuka mbegu bora inabidi uchanganye kidogo(kama ulivnielezea)!!