newmzalendo
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 1,378
- 550
Kama upo dar nenda pale mandela rd just after tazara area ,kuna wizara husika watakupa ushauri mzuri wa mbegu bora ya ng'ombe wa maziwa,na pia how to's za kufuga, ila fahamu kufugia cows in dar ni gharama sana na inachukua muda wako mkubwa, kwani majani ni ya kununua, bora ufugie mkoa wa pwani, eg Kibaha, Chalinze ,or mkuranga, siyo mbali sana na Dar and u can transport maziwa yako kila siku kuliko kufugia dar na kuwa na headache ya malisho ya hao wanyama.