Msaada juu ya Ufugaji wa Ng'ombe wa Maziwa (Kisasa) na Ng'ombe wa Kienyeji

Llio 002

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
1,615
2,031
Habari wana Jf, mimi naishi Morogoro wilaya ya Kilosa nimepata wazo la kufanya ufugaji wa Ng'ombe wa maziwa na kisasa

Lengo langu niwe na Ng'ombe wawili majike wa maziwa then niwe na ng'ombe wanne wa kienyeji ambao hawa watakuwa kwa ajili ya nyama na kuuza japo na maziwa kidogo.

Nahitaji kujuwa Ng'ombe gani wazuri wa Maziwa ambao wanatija?,wanapatikana wapi?, na jee bei zao zipoje?

Kuhusu ng'ombe wa kienyeji hawa hawana shaka wapo wengi kwa wamasai wanapatikana kirahisi minadani

Naombeni mnisaidie nitashukuru sana
 
Tengeneza mwenyew kizaz cha ng'ombe wa maziwa nunua chotara pandisha kwa AI ndio utapata ng'ombe wa maziwa pure /halisi, kuhus nyama unapandisha pia kwa AI kuna freckvieh hao ni maziwa na nyama wanakuwa wenene sana kilo 500+.
Ukisema ukanunue pure kutoka kwa shamban au mkulima utapigwa.
 
Back
Top Bottom