Mwongozo wa Kozi za Shahada za Uhandisi hapa Tanzania

Mkuu LORDVILLE kwa cc tuloajiriwa serikal lkn tunapenda zaid kusoma computer enginnering with IT vp itatutoa kwel na kupata mkwanja wa maana.

Mimi naamin mkwanja wa maana (kama ulivyosema) unapatikana kwa kujiajiri, ina tegemea na wewe uko katika idara ipi na diploma au alevo ulisoma kozi/masomo gani!! Computer engineering ina wigo mpana wa KUJIAJIRI!! kama una passion ya computer na kujiajiri then that is the right choice for you.
 
Mkuu hii course ni combination ya mechanical na electrical engineering. You can imagine the combination nipe muda nijiandikishe kwenye BVR nitakuja na maelezo mazuri kuhusu hii course.

Tunakungojea mkuu!!
 
Mdogo wangu nakushauri uende kwenye ile ambayo unaipenda zaidi katika utoto wako hukuwahi kuwa na ndoto unataka
kuwa nani? mfano mimi ndoto yangu ilikuwa ni kuwa Civil Engineer na hivi namshukuru Mungu kwa kunisaidia kukaribia
kufikia malengo yangu. Fanya kile moyo unapenda zaidi nasema moyo unapenda zaidi kwasababu nina uhakika kati
ya hizo mbili ipo ile moyo wako unasema this on is the best for me
Program zote zinalipa zote zina faida sema kama unaangalia wigo mpana wa ajira mi nadhani mechanical Engineering
ina wigo mpana kuliko Electrical engineering kutokana na huu ukweli
Electrical engineering inatoa watu wanao fanya kazi katika power station, Building electrical installation na kada hizo
Kumbuka Electrical Engineering, na Electronics Engineering ni vitu viwili tofauti ajira zipo kwenye utafutaji wa vyanzo vipya vya nishati and so on.
kwa upande wa mechanical huyu viwanda vyote anaingia na kumbuka nchi yetu inakuwa kiuchumi kwa hiyo
kwa miaka hata 10 ijayo uwezekano wa kuwepo viwanda vingi ni mkubwa sanaaa hii ni poa kwa future, then
vifaa vingi vya moto magari,ndege,meli, mitambo yote mikubwa hata ya kufua umeme huyu mtu anahitajika
Angalia ongezeko la magari katika miji yetu tayari wachina wameanza kuleta garage, soon garage bubu tutazisahau
watu wanataka quality na pesa kwaajili ya kupata quality ipo kwa hiyo ni wataalamu ndo wanatakiwa na sio
wababaishaji, kwangu isingekuwa passion yangu kwa civil i would have gone for Mechanical Engineering

Note: Kozi hizi tatu zote ni mama kwa engineering yani Civil Engineering, Electrical Engineering na Mechanical Engineering zinategemeana sana ili kuleta maana nzima ya kila kozi katika Engineering. Ukijenga nyumba bila
Umeme itaonekana hujafanya kazi, huwezi kuweka mitambo ya umeme bila kutumia zege, cement, au jengo
the same to mechanical kwa hiyo tambua kuwa as ilivyo civil engineering na fursa kibao za ajira basi the
same to Electrical and Mechanical Engineering so is up to you kuchagua chaguo lilosahihi samahani kwa
kuwachosha na hizi notes

Ujumbe huu uwafikie Kadono I.J Kizzy Wizzy na wote wenye malengo ya kusomea mech au civil!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu vp kwa kozi ya meteorology kwa soko lake la ajira na competition pale UDSM?

Kwa kweli sina uzoefu nayo sana, ila inatolewa udsm...hawa watu wanafanya kazi mamlaka ya hali ya hewa ambayo wana matawi kila mkoa au wilaya!!!
 
Hapo kwenye mining engineering na mineral processing engineering umekosea kidogo ndugu.

Mining inahusika na uchimbaji tu...design of a mine, blasting, mining proper, haulage pamoja na aspects za safety. Kwa ufupi.

Mineral Processing inahusika na uchenjuaji...yaani kuanzia crushing, grinding, separation of minerals mpaka shaping. Kwa ufupi.

Swala la utafiti lipo kwa watu wa geology waliobobea kwenye exploration. Kwa ufupi.

Ukipitia vizuri post yangu utaona tunaendana mawazo!! Ila nashukuru kwa marekebisho na mawazo yako pia.
 
Rosles Len pitia na huku hasa post za watu kama una malengo ya kusoma engineering
 
Last edited by a moderator:
Asante kwa uamuzi wako wa kujitolea kufafanua kozi hizo.

Naomba unisaidie kwa maoni na uzoefu wako, kati ya environmental na geomatics, ipi iko bora kwa mazingira ya kazi hapa nchini?
 
Asante kwa uamuzi wako wa kujitolea kufafanua kozi hizo. Naomba unisaidie kwa maoni na uzoefu wako, kati ya environmental na geomatics, ipi iko bora kwa mazingira ya kazi hapa nchini?

zote ni nzuri ila kwa mtazamo wangu soma geomatics maana hio course ina ajira nyingi sana na mpaka leo bado kuna uhaba wa masurveyor nchini na ndio ukaona hata ukiwa na diploma ya geomatics huwazi kusoma degree maana kuna kazi kibao za kufanya mtaani,
 
Back
Top Bottom