Mwongozo Toka Kamati ya Madaktari waliogoma kuhusu mwelekeo wa Mgomo

chitage

Member
Mar 3, 2008
41
41
MWONGOZO:

STRIKE EXTENSION: MASAA 48 YA MGOMO KAMILI
Baada ya serikali kutoonesha niaya kutatua madai ya madaktari na kuendelea kupotushwa na baada ya mashaurianona mapendekezo ya madaktari wa miko mbalimbali, imeazimiwa kuanzia leo tarehe31/01/2012, kuongeza siku tatu za kutofanya kazi kufikia Ijumaa ya tarehe3/2/2012. Wakati huo huo tunaendelea kufungulia milango ya mazungumzo naserikali kwa kuwa tunatambua na kusikitikia hali mbaya ya wagonjwailiyosababishwa na mgogoro huu.

Je, Tutarudi nyuma kugeuka jiwela chumvi? Je tutarudi nyuma na kuendelea kupokea call allowance ya 10,000/=wakati hata stahiki yetu iliyoandikwa ya half per diem haijafanyiwa kazi? Je, tutarudi kule wananchiwanakokosa vitanda na kulala chini, kukkosa dawa hata kama zinawezekana, kuonawatoto, wakina mama na wazee wekiteketea kwa huduma duni zinazosemwa ni za burena hazipatikani? Ni kweli hatuwapendi Watanzania? Je nani atakayewatetea hawa?

Je Tutarudi nyuma bila kutimiziwahata nusu ya kile tunachostahili katika posho ya mazingira hatarishi (riskallowance)? Sisi tunafahamu ni madaktari wangapi katika kuhudumia wagonjwa, wanashatumia PEP na kupata side effects kalihuku tukiwa hatuna posho yeyote ya mazingira hatarishi.Hatuwezi rudi nyuma na kuadhibiwakwa chuki kali kutoka kwa watendaji wa wizara akiwemo yule Mtendaji Mkuu mwenyekiburi anyenyanyasa na kudharau watumishi wa afya hususan madaktari.

Pale vitisho vinapojitokea kutoka kwa ngazi zozote za dola ama waganga wakuu wambaonao watafaidika maradufu, posho na mishara ukiongezeka, tuvikatae vitishohivyo, hata kama inahitajika kusaini mkataba mara sita kwa siku, saini na usomemagazeti na majarida mbalimbali ya kukuimarisha. Tunadharauliwa madaktari kuwa hatujui stahiki zetu, sababu hatusomi, tutumie muda huu kusoma majarida nakukanusha taarifa chache za uoptoshaji kwenye forums na mijadala mbalimbali.

Ifahamike wazi taarifa na kauliza Mh. Waziri Mkuu zimeimarisha mtazamo hasi walio nao watumishi wa sekta yaafya kwa watendaji wa wizara. Ifahamike kuwa Mh. Waziri Mkuu hakujibu hoja za msingi na alitumia muda mwingi kusema mshahara hautekelezeki. Mh.Waziri Mkuu alitakiwa kutaarifiwa na Waziri wa utumishi kuwa mshahara tajwa nisttahiki ya madaktari kulingana na utafiti uliofanywa mwaka 1998na idara yautumishi kuwa uzito wa kazi ya madaktari ni sawa na senior managers katikautumishi wa umma ( REF civil service benchmark job grading evaluation ,finalreport 1998).

Sababu ya kuwa mshahara huo hautekelezeki , ofisi yake nautumishi walitakiwa kutamka watatoa ongezeko la kiasi gani kama ile iliotajwahaiwezekani.
Kwa kuwa mh. Waziri Mkuualikubali kupotoshwa na wasaidizi wake pamoja na watendaji wa wizara ya afya,muaaka wa suala hili unalekezwa sasa kwa Mh. Rais wa Jamhuri Ya Muungano waTanzania.

Ifahamike kuwa mgomo huu ni wamiko mbalimbali na ofisi ya Waziri Mkuu ilitoa taarifa iliyochelewa wakatimaamuzi ya kikao yalishapita kumuomba Waziri Mkuu aonane nasi jumatatu. Wasaidizi wa Ofisi ya Waziri Mkuu walelezwa kuwa madaktari kutoka mikoambalimbaliwanawasili Jumapili kuitikia mwitho wa Mh. Waziri mkuu. Ikumbukwe kuwa barua ya PM ilikuwa kwa ajili ya kuzungumza na madaktari wote walio kwenyemgomo na siyo wa Dar peke yake. Tunawashukuru madaktari na watumishi wote wa afya kwa umoja na mshikamano wanaoendelea kuuonesha.

Taarifazinazoenezwa sasa kwenye mitandao kuhusu kukutana kwa PM na Kamati, si zakweli. Ila inatarajiwa kuwa leo serikali itatoa tamko hapo baadaye kupitia kwaPM au Mh. Rais.
Kwa taarifa zote tarajiwa zaserikali, Kamati itatoa maamuzi ya mwisho kupitia mashauriano na madaktari.

Mungu Ibariki Tanzania.

Imetolewa na:
Kamati Kuu ya Mpito ya Jumuiya yaMadaktari
Kkwa niaba ya Madaktari wote, Tanzania.
 
huduma kwa wazee ni bure.je kuna fungu lolote lililopelekwa kwa halmashauri nchini ili kuhudumia mzigo huu ?matokeo yake wagonjwa wanakosa vitu na kuhisi wahudumu wa afya ni wachakachuaji.unaposema huduma bure kwa wajawazito,watoto,wazee una maana huduma za afya ni bure kwani haya ndio makundi yanayoumwa mara kwa mara.je baketi ya serikali inaliangalia hili?jibu ni hapana na tunabaki kusubiri misaada.hali za hospitali ni mbaya,leo hii mbunge anaongezewa posho kwa nini tukae kimya?
 
Toa hili tamko katika mpangilio tulisome kwa urahisi

MWONGOZO
STRIKE EXTENSION; ADDITIONAL 48 HOURS OF FULL STRIKE;
BAADA YA SERIKALI KUTOONYESHA NIA YA KUTATUA MADAI YA MADAKTARI NA KUENDELEA KUPOTOSHWA NA , NA BAADA YA MASHAURIANO NA MAPENDEKEZO YA MADAKTARI WA MIKOA MBALIMBALI, IMEAZIMIWA KUANZIA LEO TAREHE 31/01/2012, KUONGEZA SIKU TATU ZA KUTOFANYA KAZI KUFIKIA IJUMAA YA TAREHE 02/02/2012. WAKATI HUO TUNAENDELEA KUFUNGUA MILANGO YA MAZUNGUMZO NA SERIKALI KWA KUWA TUNATAMBUA NA KUSIKITIKIA HALI MBAYA YA WAGONJWA ILIYOSABABISHWA NA MGOGORO HUU.
JE, TUTARUDI NYUMA KUGEUKA JIWE LA CHUMVI? JE TUTARUDI NYUMA KUENDELEA KUPOKEA CALL ALLOWANCE YA 10,000/= WAKATI HATA STAHIKI YETU ILIYOANDIKWA YA HALF PER DIEM HAIJAFANYIWA KAZI?
JE, TUTARUDI KULE WANANCHI WANAKOKOSA VITANDA NA KULALA CHINI, KUKOSA DAWA HATA KAMA ZINAWEZEKANA, KUONA WATOTO, WAKINA MAMA NA WAZEE WAKITEKETEA KWA HUDUMA DUNI ZINAZOSEMWA NI ZA BURE NA HAZIPATIKANI? NI KWELI HATUWAPENDI WATANZANIA? JE NANI ATAKAYEWATETEA HAWA?????!!
JE TUTARUDI NYUMA BILA KUTIMIZIWA HATA NUSU YA KILE TUNACHOSTAHIKI KATIKA POSHO YA MAZINGIRA HATARISHI (RISK ALLOWANCE)?
SISI TUNAFAHAMU NI MADAKTARI WANGAPI KATIKA KUHUDUMIA WAGONJWA,WASHATUMIA PEP NA KUPATA SIDE EFFECTS KALI HUKU TUKIWA HATUNA POSHO YOTOTE YA MAZINGIRA HATARISHI.
HATUWEZI RUDI NYUMA NA KUADHIBIWA KWA CHUKI KALI KUTOKA KWA WATENDAJI WA WIZARA AKIWEMO YULE MTENDAJI MKUU MWENYE KIBURI ANAYENYANYASA NA KUDHARAU WATUMISHI WA AFYA HUSUSANI MADAKTARI.
PALE VITISHO VINAPOJITOKEZA KUTOKA KWA NGAZI ZOZOTE ZA DOLA AMA WAGANGA WAKUU AMBAO NAO WATAFAIDIKA MARADUFU, POSHO NA MSHAHARA UKIONGEZEKA,TUVIKATAE VITISHO HIVYO, HATA KAMA INAHITAJIKA KUSAINI MARA SITA KWA SIKU,SAINI NA USOME MAGAZETI NA MAJARIDA MBALIMBALI YA KUKUIMARISHA. TUNADHARAULIWA MADAKTARI KUWA HATUJUI STAHIKI ZETU,SABABU HATUSOMI ,TUTUMIE MUDA HUU KUSOMA MAJARIDA NA KUKANUSHA TAARIFA CHACHE ZA UPOTOSHAJI KWENYE FORUMS NA MIJADALA MBALIMBALI .
IFAHAMIKE WAZI TAARIFA NA KAULI ZA MH WAZIRI MKUU ZIMEIMARISHA MTAZAMO HASI WALIO NAO WATUMISHI WA SEKTA YA AFYA KWA WATENDAJI WA WIZARA .
IFAHAMIKE KUWA MH WAZIRI MKUU HAKUJIBU HOJA ZA MSINGI NA ALITUMIA MUDA MWINGI KUSEMA MSHAHARA HAUTEKELEZEKI . MH WAZIRI MKUU ALITAKIWA KUTAARIFIWA NA WAZIRI WA UTUMISHI KUWA MSHAHARA TAJWA NI STAHIKI YA MADAKTARI KULINGANA NA UTAFITI ULIOFANYWA MWAKA 1998 NA IDARA YA UTUMISHI KUWA UZITO WA KAZI YA MADAKTARI NI SAWA NA SENIOR MANAGERS KATIKA UTUMISHI WA UMMA( REF civil service benchmark job grading evaluation ,final report 1998). SABABU YA KUWA MSHAHARA HUO HAUTEKELEZEKI, OFISI YAKE NA UTUMISHI WALITAKIWA KUTAMKA WATATOA ONGEZEKO LA KIASI GANI KAMA ILE ILIOTAJWA HAIWEZEKANI.
KWAKUWA MH WAZIRI MKUU ALIKUBALI KUPOTOSHWA NA WASAIDIZI WAKE PAMOJA NA WATENDAJI WA WIZARA YA AFYA, MUAFAKA WA SUALA HILI UNAELEKEZWA SASA KWA MH RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
IFAHAMIKE KUWA MGOMO HUU NI WA MIKOA MBALIMBALI NA OFISI YA WAZIRI MKUU ILITOA TAARIFA ILIYOCHELEWA WAKATI MAAMUZI YA KIKAO YALISHAPITA KUMUOMBA WAZIRI MKUU AONANE NASI JUMATATU .WASAIDIZI WA OFISI YA WAZIRI MKUU WALIELEZWA KUWA MADAKTARI KUTOKA MIKOA MBALIMBALI WANAWASILI JUMAPILI KUITIKIA MWITO WA MH WAZIRI MKUU. IKUMBUKWE KUWA BARUA YA PM ILIKUWA NI KWA AJILI KUZUNGUMZA NA MADAKTARI WOTE WALIO KWENYE MGOMO NA SIO DAR PEKE YAKE.
TUNAWASHUKURU MADAKTARI NA WATUMISHI WOTE WA AFYA KWA UMOJA NA MSHIKAMANO WANAOENDELEA KUONYESHA. TAARIFA ZINAZOENEZWA SASA KWENYE MITANDAO KUHUSU KUKUTANA KWA PM NA KAMATI, SI ZA KWELI. ILA INATARAJIWA KUWA LEO SERIKALI ITATOA TAMKO HAPO BAADAYE KUPITIA KWA PM AU MH RAIS.
KWA TAARIFA ZOTE TARAJIWA ZA SERIKALI, KAMATI ITATOA MAAMUZI YA MWISHO KUPITIA MASHAURIANO NA MADAKTARI.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Imetolewa na ;
Kamati kuu ya mpito ya Jumuiya ya madaktari kwa niaba ya madaktari wote, TANZANIA.
 
Naunga mkono mgomo japo naweka rehani maisha yangu lakini najua Mungu atatujalia kipindi hichi tusiumwe magonjwa makubwa.......
Endeleeni mpaka kieleweke
 
Ukitaka uonekane mbaya dai chako,ukitaka kumuua nyani usimtizame usoni sasa madaktari wanadai chao wanaonekana wabaya nini kifanyike wakitaka kufanikiwa ktk azma yao wasigeuke nyuma mpaka watakapopata chao.
 
Pamoja hawa magamba kwa propaganda hawa washenzi now they are preparing grounds for next ambush
But we wont retaliate,

Stupid Regime

Na mpaka sasa hii serikali sio halali kwani imeua sana wananchi bila ya huruma
Na sisi haturudi kazini watufukuze tukae kitaaa

f**K em all Bastards
 
pinda nakushauri umuone profesa kisali pale muhimbili akupe profile ya huyu mtu aliyepost hii thread halafu uwatangazie watanzania.this guy is damn smart!!
 
mungu awabariki madaktari.....mungu awatie akili viongozi wa taifa wasiwe na kiburi na wawasikilize kwani hoja zenu ni za msingi.....

na hiklo liendelee katika kadre zote profession isipokuwa za TISS
 
Jaribuni kusoma hivyohivyo.......nimejaribu Ku-edit kidogo.
MWONGOZO: STRIKE EXTENSION; ADDITIONAL 48 HOURS OF FULL STRIKE;

BAADA YA SERIKALI KUTOONYESHA NIA YA KUTATUA MADAI YA MADAKTARI NA KUENDELEA KUPOTOSHWA NA , NA BAADA YA MASHAURIANO NA MAPENDEKEZO YA MADAKTARI WA MIKOA MBALIMBALI, IMEAZIMIWA KUANZIA LEO TAREHE 31/01/2012, KUONGEZA SIKU TATU ZA KUTOFANYA KAZI KUFIKIA IJUMAA YA TAREHE 02/02/2012.

WAKATI HUO TUNAENDELEA KUFUNGUA MILANGO YA MAZUNGUMZO NA SERIKALI KWA KUWA TUNATAMBUA NA KUSIKITIKIA HALI MBAYA YA WAGONJWA ILIYOSABABISHWA NA MGOGORO HUU.

JE, TUTARUDI NYUMA KUGEUKA JIWE LA CHUMVI? JE TUTARUDI NYUMA KUENDELEA KUPOKEA CALL ALLOWANCE YA 10,000/= WAKATI HATA STAHIKI YETU ILIYOANDIKWA YA HALF PER DIEM HAIJAFANYIWA KAZI?

JE, TUTARUDI KULE WANANCHI WANAKOKOSA VITANDA NA KULALA CHINI, KUKOSA DAWA HATA KAMA ZINAWEZEKANA, KUONA WATOTO, WAKINA MAMA NA WAZEE WAKITEKETEA KWA HUDUMA DUNI ZINAZOSEMWA NI ZA BURE NA HAZIPATIKANI?

NI KWELI HATUWAPENDI WATANZANIA? JE NANI ATAKAYEWATETEA HAWA?????!!

JE TUTARUDI NYUMA BILA KUTIMIZIWA HATA NUSU YA KILE TUNACHOSTAHIKI KATIKA POSHO YA MAZINGIRA HATARISHI (RISK ALLOWANCE)?

SISI TUNAFAHAMU NI MADAKTARI WANGAPI KATIKA KUHUDUMIA WAGONJWA,WASHATUMIA
PEP NA KUPATA SIDE EFFECTS KALI HUKU TUKIWA HATUNA POSHO YOTOTE YA MAZINGIRA HATARISHI.

HATUWEZI RUDI NYUMA NA KUADHIBIWA KWA CHUKI KALI KUTOKA KWA WATENDAJI WA WIZARA AKIWEMO YULE MTENDAJI MKUU MWENYE KIBURI ANAYENYANYASA NA KUDHARAU WATUMISHI WA AFYA HUSUSANI MADAKTARI.

PALE VITISHO VINAPOJITOKEZA KUTOKA KWA NGAZI ZOZOTE ZA DOLA AMA WAGANGA WAKUU AMBAO NAO WATAFAIDIKA MARADUFU, POSHO NA MSHAHARA UKIONGEZEKA,TUVIKATAE VITISHO HIVYO, HATA KAMA INAHITAJIKA KUSAINI MARA SITA KWA SIKU,SAINI NA USOME MAGAZETI NA MAJARIDA MBALIMBALI YA KUKUIMARISHA.

TUNADHARAULIWA MADAKTARI KUWA HATUJUI STAHIKI ZETU,SABABU HATUSOMI ,TUTUMIE MUDA HUU KUSOMA MAJARIDA NA KUKANUSHA TAARIFA CHACHE ZA UPOTOSHAJI KWENYE FORUMS NA MIJADALA MBALIMBALI .

IFAHAMIKE WAZI TAARIFA NA KAULI ZA MH WAZIRI MKUU ZIMEIMARISHA MTAZAMO HASI WALIO NAO WATUMISHI WA SEKTA YA AFYA KWA WATENDAJI WA WIZARA .

IFAHAMIKE KUWA MH WAZIRI MKUU HAKUJIBU HOJA ZA MSINGI NA ALITUMIA MUDA MWINGI KUSEMA MSHAHARA HAUTEKELEZEKI MH WAZIRI MKUU ALITAKIWA KUTAARIFIWA NA WAZIRI WA UTUMISHI KUWA MSHAHARA TAJWA NI STAHIKI YA MADAKTARI KULINGANA NA UTAFITI ULIOFANYWA MWAKA 1998 NA IDARA YA UTUMISHI KUWA UZITO WA KAZI YA MADAKTARI NI SAWA NA SENIOR MANAGERS KATIKA UTUMISHI WA UMMA( REF civil service benchmark job grading evaluation ,final report 1998). SABABU YA KUWA MSHAHARA HUO HAUTEKELEZEKI, OFISI YAKE NA UTUMISHI WALITAKIWA KUTAMKA WATATOA ONGEZEKO LA KIASI GANI KAMA ILE ILIOTAJWA HAIWEZEKANI.

KWAKUWA MH WAZIRI MKUU ALIKUBALI KUPOTOSHWA NA WASAIDIZI WAKE PAMOJA NA WATENDAJI WA WIZARA YA AFYA, MUAFAKA WA SUALA HILI UNAELEKEZWA SASA KWA MH RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

IFAHAMIKE KUWA MGOMO HUU NI WA MIKOA MBALIMBALI NA OFISI YA WAZIRI MKUU ILITOA TAARIFA ILIYOCHELEWA WAKATI MAAMUZI YA KIKAO YALISHAPITA KUMUOMBA WAZIRI MKUU AONANE NASI JUMATATU .WASAIDIZI WA OFISI YA WAZIRI MKUU WALIELEZWA KUWA MADAKTARI KUTOKA MIKOA MBALIMBALI WANAWASILI JUMAPILI KUITIKIA MWITO WA MH WAZIRI MKUU. IKUMBUKWE KUWA BARUA YA PM ILIKUWA NI KWA AJILI KUZUNGUMZA NA MADAKTARI WOTE WALIO KWENYE MGOMO NA SIO DAR PEKE YAKE.

TUNAWASHUKURU MADAKTARI NA WATUMISHI WOTE WA AFYA KWA UMOJA NA MSHIKAMANO WANAOENDELEA KUONYESHA. TAARIFA ZINAZOENEZWA SASA KWENYE MITANDAO KUHUSU KUKUTANA KWA PM NA KAMATI, SI ZA KWELI. ILA INATARAJIWA KUWA LEO SERIKALI ITATOA TAMKO HAPO BAADAYE KUPITIA KWA PM AU MH RAIS.

KWA TAARIFA ZOTE TARAJIWA ZA SERIKALI, KAMATI ITATOA MAAMUZI YA MWISHO KUPITIA MASHAURIANO NA MADAKTARI.

MUNGU IBARIKI TANZANIA

Imetolewa na ;

Kamati kuu ya mpito ya Jumuiya ya madaktari kwa niaba ya madaktari wote, TANZANIA.
 
Herufi kubwa bila ya shaka n kwa sababilu ya kuposti jwa simu. Watajifunza polepole. Madaktari wapeabe taarifa kupitia jf
 
serikali ya kishenzi....x 100 na PM ni mshenzi wa tabia kakomaa uso kaa nyani.
haturudi nyuma madactari.
 
MWONGOZO
STRIKE EXTENSION; ....
.......
.......
IFAHAMIKE KUWA MH WAZIRI MKUU HAKUJIBU HOJA ZA MSINGI NA ALITUMIA MUDA MWINGI KUSEMA MSHAHARA HAUTEKELEZEKI . MH WAZIRI MKUU ALITAKIWA KUTAARIFIWA NA WAZIRI WA UTUMISHI KUWA MSHAHARA TAJWA NI STAHIKI YA MADAKTARI KULINGANA NA UTAFITI ULIOFANYWA MWAKA 1998 NA IDARA YA UTUMISHI KUWA UZITO WA KAZI YA MADAKTARI NI SAWA NA SENIOR MANAGERS KATIKA UTUMISHI WA UMMA( REF civil service benchmark job grading evaluation ,final report 1998). SABABU YA KUWA MSHAHARA HUO HAUTEKELEZEKI, OFISI YAKE NA UTUMISHI WALITAKIWA KUTAMKA WATATOA ONGEZEKO LA KIASI GANI KAMA ILE ILIOTAJWA HAIWEZEKANI.
KWAKUWA MH WAZIRI MKUU ALIKUBALI KUPOTOSHWA NA WASAIDIZI WAKE PAMOJA NA WATENDAJI WA WIZARA YA AFYA, MUAFAKA WA SUALA HILI UNAELEKEZWA SASA KWA MH RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
IFAHAMIKE KUWA MGOMO HUU NI WA MIKOA MBALIMBALI NA OFISI YA WAZIRI MKUU ILITOA TAARIFA ILIYOCHELEWA WAKATI MAAMUZI YA KIKAO YALISHAPITA KUMUOMBA WAZIRI MKUU AONANE NASI JUMATATU ......
......
.....
KWA TAARIFA ZOTE TARAJIWA ZA SERIKALI, KAMATI ITATOA MAAMUZI YA MWISHO KUPITIA MASHAURIANO NA MADAKTARI.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Imetolewa na ;
Kamati kuu ya mpito ya Jumuiya ya madaktari kwa niaba ya madaktari wote, TANZANIA.
huu 'msamiati hapo kwenye red kusema kweli siuelewi!

Hivi hawa watu tunawaingiza ofisini ili wategemee washauri!?? Maana nadhani hata kama una mshauri inabidi kuwepo na mambo yale ya msingi inabidi kiongozi ayafikirie mwenyewe alafu washauri wajazie jazie 'nyama'.

Hivi fikiria pale rais anaposaini muswada ambao watu wengi na vyombo vya habari vimepiga kelele kuwa una makosa, na baada ya week rais huyo huyo anaibuka na kusema "nimekuwa misled na washauri"!!

Kweli PM kwa umri alionao na nyadhifa alizoshika anahitaji/alihitaji ushauri kujua kuwa wananchi tunazidiwa na kufa mahospitalini kwa sababu ya mgomo huu!? Na vitisho alivyotoa ilikuwa ni uhalisia wake au 'alishauriwa'!?

Wakubali tu kuwa wameshindwa kuongoza nchi na wanachofanya ni kutumia rasilimali zilizopo KUTAWALA. Madaktari ni sehemu ndogo tu ya matatizo na ni kwa sababu ya upeo wao wa kisomi ndio unawapa ujasiri ukilinganisha na akina Mgaya (TUCTA), Mkoba (CWT) nk. Hongereni madaktari kwa kusimamia mnachokiamini

Pamoja hawa magamba kwa propaganda hawa washenzi now they are preparing grounds for next ambush
But we wont retaliate,

Stupid Regime

Na mpaka sasa hii serikali sio halali kwani imeua sana wananchi bila ya huruma
Na sisi haturudi kazini watufukuze tukae kitaaa

f**K em all Bastards
hahahahaa!!!
pole sana mkuu...........tupo pamoja.

Hawa akili yao inaishia kwenye FFU, hawana akili nyingine.

Vijana wakigoma pale UDSM, wanapelekewa FFU,
Wananchi wakitaka kusema dukuduku zao, wanapelekewa FFU,
Madaktari wamegoma, wameleka FFU Muhimbili........

Hapondo mwisho wa akili yao.
 
Nndiyoo......! Naunga nkono asilimia mia..100%
Njia hii ya madaktari kudai haki zao za kimsingi ni halali asilimia mia moja na ushee.
Kwani wabunge walitumia njia halali kudai ongezeko la posho zao zilizoongezwa abundantly? Mbona baraka zote walipata!!
... Tz people tuamke, tunalala mno.
 
niliwaona wajinga pale mlipokataa kwenda kuongea na waziri mkuu. was much more childish pale mpliposhindwa hata kuwasikiliza mwaziri wa afya na utumishi wa umma. Mwanzoni nilikuwa nanyi bega kwa bega lakini sasa mnaleta mambo ya kichuochuo. You need no behave like a graduate na si childish.
 
Nndiyoo......! Naunga nkono asilimia mia..100%
Njia hii ya madaktari kudai haki zao za kimsingi ni halali asilimia mia moja na ushee.
Kwani wabunge walitumia njia halali kudai ongezeko la posho zao zilizoongezwa abundantly? Mbona baraka zote walipata!!
... Tz people tuamke, tunalala mno.

Best wishes namsubiri yule puppet aje na mbwe mbwe zake
 
Back
Top Bottom