Mwonekano wa Lulu sasa

Lulu akiwa mahakamani, huu ndo mwonekano wake sasa full bata kanawili shavu dodo
Jela kumempenda Lulu

Wana JF,

Ni Muda gani unahitajika ku collect evidence kwa kesi ya huyo Lulu?

Hapa pana onekana kuja jambo lafanyika ambalo linatia doa kabisa kwa vyombo vyetu hivi vya Dola Police na Mahakama

Ivi kuhakiki Miaka ya huyu binti inaitaji uchunguzi au kipimo cha mifupa kama cha wachezaji wanao julikana ni wakubwa au? wanasogeza mbele ili ionekane kesi haina nguvu au ina nguvu?

Me nadhani huyo Binti ingawa ameingia kwa mkosi ule ni bora ijulikane wazi aendeleee na maisha yake.

My Take ;

Nachukua Msemo wa Brother wa PJ wa Clouds FM hizi ni Filimeeeeeeeeeeeee live

... Kepteni Komb...
now u r talking! alianza na wakina anne constantine wa mambo hayo miaka ileeeeeeee! sasa hivi taratibuuuuuu anamalizia uzee wake huku kwa haka katoto, mi baadae nitakuja kumuua mtu MUNGU anipishie mbali na mabinti zangu! nisaidieni kusali kwa kuitikia AMEN!!! lolest!
 
Amen dia manake kadogoo nae ni binti ! Tusali sana dia!
 
Huyu binti kajaaliwa kwa kweli. She is cute i can say,
Angekuwa mtulivu ingependeza sana,

Ila pengine hii ishu itakuwa imemfunza.
 
dah!!mbona wanasemaga jela ni matesooooo,inakuwaje mtoto kanawiri hivi?Hakika njii hii kukiwa na mkono wa kigogo hakuna kinachoshindikana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom