Mwonekano wa Lulu sasa

Jela ngumu kama haukati pochi,ukikata pochi unaletewa kila kitu ndani na unalala sehemu safi tu hadi cream unaletewa.
 
now u r talking! Alianza na wakina anne constantine wa mambo hayo miaka ileeeeeeee! Sasa hivi taratibuuuuuu anamalizia uzee wake huku kwa haka katoto, mi baadae nitakuja kumuua mtu mungu anipishie mbali na mabinti zangu! Nisaidieni kusali kwa kuitikia amen!!! Lolest!
ameeeen!
 
hivi kwa akili zetu tunadhani Lulu anatokea Gerezani? NOT AT ALL...........

Lulu akiwa mahakamani, huu ndo mwonekano wake sasa full bata kanawili shavu dodo
Jela kumempenda Lulu[/QUOTE]
 
Still very fit for human consumption! Ila anaonekana mkubwa kuliko umri. Kalikua ndani kweli haka? Mh kamehimili sana! Nisingekashauri kaonekane bomba hivyo hadharani wabongo tutakasulubisha sasa hivi!
 
mbona wengine wakienda jela wanachoka.
Mtoto mashallah, amependeza kuliko zamani.
 
Uonevu tu Mungu yupo huyu mtoto atatoka tu,kanumba mshenzi sana kambaka mtoto wa watu kwa kumdanganya na vijisenti go to hell Kanumba jamani hebu fikirieni Elizabeth angekuwa dada yenu/mdogo wenu halafu afanyiwe vile kwa kutumia umaskini mngefanyanye......?
 
Lulu huko jela anakaa VIP nini iweje anenepe hivyo kuna kitu siyo bure jamani maana watu wengi tunajua jele ni mateso sasa kwa lulu imekuwa tofauti.
 
Uonevu tu Mungu yupo huyu mtoto atatoka tu,kanumba mshenzi sana kambaka mtoto wa watu kwa kumdanganya na vijisenti go to hell Kanumba jamani hebu fikirieni Elizabeth angekuwa dada yenu/mdogo wenu halafu afanyiwe vile kwa kutumia umaskini mngefanyanye......?
mkuu Mboko unanichekesha kweli.
Unanikumbusha wakati ule wa msiba kuna mtu aliweka bandiko hapa jf akisema kuwa watu waliofurika kwenye msiba wake wakiongozwa na rais JK, ni lazima kijana wa watu atakuwa peponi lakini mtu mmoja akasema ..."yuko anakula marungu ya moto" kutokana na dhambi zake za ubakaji!

 
Wana JF, tuseme ukweli jamani, huyu mtoto Lulu ni mzuri sana,..naturally..kwa kweli sijapata kuona msichana mzuri na sexy kama huyu (honestly), yaani ameenea kila sehemu. Kuna video fulani alishirikishwa katika wimbo fulani wa bongo fleva, yaanii uzuri wake ndio utauona vizuri hasa.
It is unfortunate kuwa ameji-mix na watu na mambo in-decent. Ila nimeamini kuwa kwa TZ watoto wenye unique beauty kama Lulu wanatokana na wamama wa Kihaya.
 


Lulu akiwa mahakamani, huu ndo mwonekano wake sasa full bata kanawili shavu dodo
Jela kumempenda Lulu
Katika maisha usipoikubali hali halisi itakuwa kama alipoingia nondoni kwa mara ya kwanza , lakini sasa ameikubali hali halisi anazidi kunawiri. Huyo hatoki mpaka baada ya miaka kumi, chezea kesi ya mauaji wewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom