Mwl Nyerere na tujisahihishe aliona mbali

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Wahenga walisema kuwa lisemwalo lipo.

Kuna vijana ambao waliamini kuwa kuteuliwa kwa kushika madaraka miaka ya 2015 mpaka 2021 walijiona kama miungu ya duniani.

Lkn Mungu hakuwa upande wao kwani matendo yao hayakuwa yanakubalika ktk jamii.

Vijana hao naamini walipata pigo kubwa baada ya kuondokewa na aliyewapatia madaraka hayo ambayo baadaye yaligeuka kuwa ni shubiri kwa wananchi.

Leo hii Makonda,Happy,Muro,Mnyeti na Sabaya wasiishie kulaumu tu bali ni wakati wao wa KUJISAHIHISHA ili nao wawe ni mfano mwema kwenye jamii.

Wafuate ushauri wa muasisi wa taifa letu mwl Jk Nyerere wa TUJISAHIHISHE maana kilitungwa kuwarekebisha hasa viongozi wa taifa letu hilihili.

Mwl Jk Nyerere alikuwa na maana kubwa sana ya kutunga kile kitabu.
 
Wahenga walisema kuwa lisemwalo lipo.

Kuna vijana ambao waliamini kuwa kuteuliwa kwa kushika madaraka miaka ya 2015 mpaka 2021 walijiona kama miungu ya duniani.

Leo hii ni wakati wao wa KUJISAHIHISHA ili nao wawe ni mfano mwema kwenye jamii.

Mwl Jk Nyerere alikuwa na maana kubwa sana ya kutunga kike kitabu.
Naunga mkono hoja
P
 
Back
Top Bottom