JK kafanana sana na mwl katika falsafa. Nilishuhudia akimpa mtoto wa mitaani pipi huku akitabasamu kwa upendo.
Hakuwatendea waislam mambo mema. Aliwabagua, kuwahujumu miundo mbinu yao (sera ya uchumi ulikuwa ni kuwanyang'anya mali waislamu waliokuwa matajiri wengi, kuwanyang'anya mashule yao, kuua taasisi zao na kuutukuza ukatoliki), na kufanya serikali nzima iwe inafanya kazi kwa interest za viongozi wa kanisa katoliki huku ikiendeleza kuwanyonya waislamu na wakristo wengine walio wakatoliki. Dhambi hii aliyoitendea jamii ya watanzania ndi inafanya tumkumbuke kwa kueleza wasifa wake huu ambao wengine wasiopenda mabadiliko kuyaita "negative". Huu ndo wasifa wa JK Nyerere! sio kama wengi mlivyo aminishwa!
Unamkumbuka mwalimu Malalika wa alliance miaka hiyo ya 90?
Kila alichokisema mwl akiwa serious kilikuwa na fundisho ndani yake.Wakati ule nikiwa na miaka 16 ningeweza kufikiri namna hiyo,lakini leo naweza kupata tafakuri nzuri sana ya maneno yake hayo.Kwangu mimi ni kwamba alitaka kuonyesha kuwa ni wangapi walipita pale na hawakutoa msaada kwa yule mama.Lakini pia aliamini kuwa hata hao waliosimama kwa ajili ya mwl wasingeweza kusimama kumsaidia yule mama.Mimi binafsi nilikaa sehemu ya tukio hadi landrover inarudi na kumchukua mwl.Nilikuwa natoka kazini na hivyo sikuwa na haraka.Ukizingatia ilikuwa mara yangu ya kwanza kumwona mwl, na aina ya tukio.Kama ulikua unawaza mawazo yangu, ameelezea kirefu kama vile aliendelea kuwepo eneo hilo na kuyafuatilia yote aliyoyasema Mwalimu. Pia hao aliowambia waende eti hawakua wanamuona huyo mama, inamaana yeye mwalimu aliwaona wakiwa wanampita huyo mama bila kutoa msaada???
na wale walio kufa kagera je unakumbuka
siamini kwamba "waislamu" hawana elimu. Mfano mdogo tu wa haraka haraka hawa wafuatao ni waislamu na wana elimu mohamed bakari (mhadhiri mzumbe) bashiru ally (mhadhiri udsm) professa i.a. Lipumba (mwanauchumi aliyebobea) mohamed shein (bingwa wa metabolism duniani) gharib bilal (bingwa wa hisabati na fizikia), twaha taslima (wakili maarufu) professa safari (bingwa wa lugha na isimu za lugha) hawa kwa uchache ni wale tunaowafahamu wote bado wale ambao nawafahamu mimi wewe huwajui.
Mbona uislamu wao haukuwazuia hawa kuwa wasomi? Mfumo kristu ulikuwa wapi wakati hawa wanasoma?
Si hivyo ndugu yangu. Chunguzeni haya mambo kuna watu wako nyuma yake na wanafaidika na haya yanayotokea!!ni kwa sababu waj******nga wanawaongoza waj*****nga wenzao
Malaika asante sana mzee,Wandiba ni ndugu tumbo moja na babangu,ni baba mdogo.Baadae alihamishiwa Nyambuleti(ngoreme) kama mwl mkuu,kisha Nyanduga(tarime),baadae Lyamungo na hivi majuzi kahamishiwa shule moja hivi,nimeisahau,ipo arusha ama moshi.Ha ha ha Gagnija unataka nideclaree interest?.... Ungewakumbuka pia akina MDM Wandiba, Pcb Matovu, The late Kanyabuhura, Fundisha, Mwombeki, Rugaimukamu, Mmari na wengine!
si hivyo ndugu yangu. Chunguzeni haya mambo kuna watu wako nyuma yake na wanafaidika na haya yanayotokea!!
Malaika asante sana mzee,Wandiba ni ndugu tumbo moja na babangu,ni baba mdogo.Baadae alihamishiwa Nyambuleti(ngoreme) kama mwl mkuu,kisha Nyanduga(tarime),baadae Lyamungo na hivi majuzi kahamishiwa shule moja hivi,nimeisahau,ipo arusha ama moshi.
Watakuja mawakala wa radio Iman kukanusha hili!
Utakuwa Umeshachelewa!!am waiting for 2015
Siku moja Mwalimu aliagiza waitwe viongozi wakuu wa nchi wakati huo. Rais wa JMT alikuwa ni Ally Hassan Mwinyi, Rais wa Zanzibar Salimin Amour na Waziri Mkuu John Samweli Malecela. Kwa kawaida Mwalimu alikuwa ana tabia ya kulala mchana saa 8 na kuamka kati ya saa 10 hadi saa 11 jioni. Siku hiyo saa kumi hivi viongozi hao waliwasili.
Mwalimu ndiyo alikuwa ametoka kuamka na alipoambiwa kwamba aliowahitaji wamefika aliionyesha kufurahi sana. Mwalimu aliwaita bustanini kwake na kuwakabidhi wote watatu kila mmoja Papai kubwa moja na kuwaambia "haya ni matunda toka bustanini kwangu asanteni kwa kuja". wakubwa wale waliondoka Msasani wakiwa na sintofahamu kubwa sana. Inaa maana Mwalimu alituita kuja kutupa mapapai?
Kisa hiki kinawahusu watu watatu ambao wote wako hai. Kama una udadisi nacho kawaulize Mwinyi, Amour na Malecela ili usije sema ni uzushi wakisha ondoka duniani!!
Huyu mwingine kila siku kutafuta nchi ya kwenda kuficha alivyotuibia ili siku kikinuka asepe.