Mwl mrundi anyanyasa watz shinyanga sec.

Sina nia ya kumchafua mwl huyu mwenye asili ya Burundi anaitwa Prudence, ushahidi ninao. Anafundisha PHYSICS na CHEMISTRY form 5 & 6 pale SHINYANGA SEC kwa miaka mingi amekuwa akifelisha maskini wa kitanzania. Jina lake maarufu ni mzee wa USHIRIKIANO. Makosa yake ni:
1. Haingii darasani mpaka mchange pesa
2. Ana tabia ya makusudi ya kuzira darasa mkimshitaki au msipompa pesa a.k.a ushirikiano
3. Practical za form 6 anaharibu mtu huwezi pata data. Watu wake anawapa data
mi ni muhanga wa hili, tufanye nini kuokoa watoto na wadogo zetu? Nawasilisha
Mmbea mkubwa wewe, kwanza mwenyewe unaonekana hujitambui vizuri.
 
Back
Top Bottom