mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,767
- 7,115
kuwa na mpango thabiti wa kuakikisha watu hawa jamii ya kihindi haimilikishani haya majumba ya National Housing, kuwe na utaratibu wa kuakikisha waliopanga ni wenyewe kufuatana na orodha ya maombi, Pango muda wake ukiisha kwa kuwa wengi wao sio wasafi wanaaribu makazi kwa uchafu kuwe na mpango wa kutowapangisha tena kwa kisingizio cha uchafu, kwa kuwa wao uona upanga mitaa ya india ndio sehemu yao pekee hivyo hufanya maficho ya wahamiaji haramu kwa kuwa sio rahisi kuwatambua kwa sababu ya kufanana na kutumia lugha yao pekee kuwepo uhakiki wa mara kwa mara kutoka kwa uhamiaji mkoa, kwa kwa wao hawataki kuomba viwanja kama wazawa na kujenga majumba kuwepo utaratibu wa kuwabana idadi ya watu wanaoishi nao katika nyumba maana kulala kwao sio ishu ishu ni kufika tanzania na kuchuma na kwenda Canada, kwa kuwa wao ndio washawishi wakubwa wa kukwepa kodi , awepo makachero katika viwanda vyao au sehemu ya kazi, tukiwabana watajirekebisha na kuwa wamoja