mwisho wa Ubaguzi wa KIhindi kuwa Hivi..

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,753
7,075
kuwa na mpango thabiti wa kuakikisha watu hawa jamii ya kihindi haimilikishani haya majumba ya National Housing, kuwe na utaratibu wa kuakikisha waliopanga ni wenyewe kufuatana na orodha ya maombi, Pango muda wake ukiisha kwa kuwa wengi wao sio wasafi wanaaribu makazi kwa uchafu kuwe na mpango wa kutowapangisha tena kwa kisingizio cha uchafu, kwa kuwa wao uona upanga mitaa ya india ndio sehemu yao pekee hivyo hufanya maficho ya wahamiaji haramu kwa kuwa sio rahisi kuwatambua kwa sababu ya kufanana na kutumia lugha yao pekee kuwepo uhakiki wa mara kwa mara kutoka kwa uhamiaji mkoa, kwa kwa wao hawataki kuomba viwanja kama wazawa na kujenga majumba kuwepo utaratibu wa kuwabana idadi ya watu wanaoishi nao katika nyumba maana kulala kwao sio ishu ishu ni kufika tanzania na kuchuma na kwenda Canada, kwa kuwa wao ndio washawishi wakubwa wa kukwepa kodi , awepo makachero katika viwanda vyao au sehemu ya kazi, tukiwabana watajirekebisha na kuwa wamoja
 
Ukiwabana kweli lazima wajirekebishe, mimi huwa nawaona kwenye vijighorofa vya NHC kumbe hawataki kujenga . aiseee!!
 
Mara na kuwa rais sasa wa kwanza kuwarudisha kwao ni wahindi na waarabu afu ndo waanze kurejea kwa utaratibu utakao pangwa upya. Na kama Un watamind basi nawatoa kwenye nyumba za serika na kuwapa maeneo ya uswaz wajenge.
 
Kuna mtu nampenda tu wa pale Arusha! Yaani yuko tofauti na wooote mnaowasemea hapa. Sis pale AR town Big up!
 
Mara na kuwa rais sasa wa kwanza kuwarudisha kwao ni wahindi na waarabu afu ndo waanze kurejea kwa utaratibu utakao pangwa upya. Na kama Un watamind basi nawatoa kwenye nyumba za serika na kuwapa maeneo ya uswaz wajenge.





Umeongea vizuri lakini akikusikia Nilham..............????????????????????
 
Pamoja na mihela alokuwa nayo nasikia ile nyumba anayokaa Manji ni ya NHC pale Ocean Rd.
 
Acheni ubaguzi. Baada ya wahindi na waarabu, tutaanza na wachaga na wamasai. Halafu wanyamwezi na wasukuma nk. Dhambi mbaya hii ya ubaguzi.
 
Acheni ubaguzi. Baada ya wahindi na waarabu, tutaanza na wachaga na wamasai. Halafu wanyamwezi na wasukuma nk. Dhambi mbaya hii ya ubaguzi.

...nilijua tu atatokea mtetezi wa 'haki za wahindi wanyonge' kama huyu...!
 
Hawa watu waliwezwa na Idd Amin Uganda na Karume baba kule Zanzibar. Karume alipotamka "anayetaka kurudi kwao ruhusa, atakayebakia akubali kujichanganya na wenyeji", wengi waliondoka, waliobakia wakawa wanafanyakazi za kujitolea kama wenyeji. Tena Mzee Ruhusa alipotoa ruhusa wakarudi upya, wabaguzi kama kazi na isitoshe ni watoaji rushwa wazuri.
 
jamani is this how the great thinkers think?? mmeniudhi sana!!! Get a life and stop having a stereotype perception!!! GROW UP
 
Hivi Idd Simba yupo wapi?, Jamaa alikuwa na sera ya Uzawa wakamuona mbaguzi, ila alikuwa anaona mbali sana. Nchi zote makini hukaribisha wageni kwa lengo la kuingiza mitaji nchini kwao na kukuza uchumi, sisi Tanzania tunakaribisha wageni waje kuchuma na kwenda ku-invest Canada, UK et al. Hakuna suala la ubaguzi hapa, kama mgeni anaishi kwa taratibu na sheria za nchi, yaani haliibii taifa kwa kushirikiana na wanasiasa wasio wazalendo, hatoi rushwa, hakwepi kodi basi ana haki ya kulindwa kwa nguvu zote na sheria. Ila kama ni wachumaji tu na kutoroshea nje ya nchi mtaji anaoupata badala ya ku-invest Tanzania basi hafai hata kidogo. Leo hii CCM wanahaha kutafuta wachawi kwa kuchukiwa na wananchi, lakini wamesahau kuwa kwa wao kukumbatia wageni kwa kuwa wananchangia chama kunawafanya hawa jamaa kuwa na kiburi cha kuvunja sheria kwa kuwa tu wananchangia chama.

Tuwaambie kabisa kuwa wanakarishwa Tanzania na watalindwa kwa sharti la kudumisha utamaduni na uchumi wa nchi hii. Kwanza ni lazima wajifunze kiswahili, yaani kama muhindi anaomba uraia sharti la kwanza liwe anajua kiswahili, halafu ni lazima wawe inclusive siyo wanajitenga maeneo fulani kama vile wapo nchini kwao. Iwekwe sheria kuwa mfanyabiashara yeyote wa kigeni ni lazima awe na mali isiyohamishika, (i.e nyumba) NHC itoe morgage kwa hawa watu kwenye nyumba wanazojenga na zile za kupangisha ziwe za watu wenye vipato vya chini tu. Tusipoangalia tutabakia na mabua, hawa si watu wazuri kabisa. Wapo wahindi wazalendo ambao kweli wanauchungu na Tanzania kuliko mmbatumbi ila tuwatumie hawa kuwaelimisha wenzao kuwa nchi hii si shamba la bibi, kama wanakuja kutafutia mtaji hapa na kwenda ku-invest nchi nyingine basi hawafai.

Kigezo cha kwanza cha kupata uraia kiwe kaja Tanzania na nini?, siyo anaingia na briefcase yenye pants anaondoka na briefcase yenye USD.
 
Anayewasifia wahindi hawajui vizuri.wanakuja in the name of 'experts' na mishahara minono wakati hata switch ya kuwashia mtambo hajui ilipo.Wao ndo wabaguzi wakuu.japo wanaibiana sana pia.
 
Anayewasifia wahindi hawajui vizuri.wanakuja in the name of 'experts' na mishahara minono wakati hata switch ya kuwashia mtambo hajui ilipo.Wao ndo wabaguzi wakuu.japo wanaibiana sana pia.

Wanawezeshana mkuu...
 
Km kutakuwa na kura za maoni bac nitakua wa kwanza kupiga ili dengu ziondoke km m2 anajitenga basi na yeye atengwe
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom