Mwisho wa dunia.

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
5,759
5,289
Eti ni kweli kuwa dunia itafika mwisho wake kwa kupondwa pondwa na jiwe kubwa ambalo lipo huko angani.Na wanasayansi wanafanya juhudi kulizuia??? Kama kuna watu wanajua juu ya hlo atujuze please.Asanteni
 
Ilisemwa hivyo lakini NASA wamesema liko mbali na dunia. At least for now. Kwa pace ya hilo jiwe, litaifikia dunia after VERY MANY years.
 
mwisho wa duniua upo..................... lakini hautakuwa kama hivyo ulivyoambiwa..................... mwisho utatokea kwa namna mbili au tatu hivi....................
1. uharibifu wa mazingira utakaopelekea joto kuongezeka sana duniani hadi kuunguza kila kitu....................... rejea global warming theories.............

2. kuzeeka kwa dunia................... kumbuka dunia ni kiumbe hai na kinaishi.................. na kama vilivyo viumbe vyote , dunia nayo itazeeka na kisha hatimaye itakufa..................... sisi tunaoishi juu ya dunia nao ndio utakuwa mwisho wetu.................... rejea yaliyoipata sayari ya mars.......................

namna ya tatu si realistic sana na nimeamua kuiacha......................... hayo tote ni kwa mujibu wa wanasayansi...................
 
THE D DAY }
YAUMUL QIYAMA }- The Day of Resurrection," also known as the "Day of Reckoning" or less precisely the "Day of Judgment."
SIKU YA KIAMA }
 
Ukiangalia movie ya 2012 na matukio yanayotokea sasa duniani unaweza sema kweli we are heading there. mimi sisemi mengi ila hata hao wanasayansi waseme jiwe liko mbali mungu ndiye anayejua mwisho so u just have faith
 
Mwisho wa dunia?Msinichekeshe,mpaka tufe wote ndio utakuwa mwisho wa dunia!!!Imagine sasa kama kama dunia na sayari nyingine zipo hewani tu,mwisho wa hiyo space ni wapi????Mtaumiza vichwa sana wakuu,but ipo siku ITAJULIKANA!Belivdat
 
mwisho wa duniua upo..................... lakini hautakuwa kama hivyo ulivyoambiwa..................... mwisho utatokea kwa namna mbili au tatu hivi....................
1. uharibifu wa mazingira utakaopelekea joto kuongezeka sana duniani hadi kuunguza kila kitu....................... rejea global warming theories.............

2. kuzeeka kwa dunia................... kumbuka dunia ni kiumbe hai na kinaishi.................. na kama vilivyo viumbe vyote , dunia nayo itazeeka na kisha hatimaye itakufa..................... sisi tunaoishi juu ya dunia nao ndio utakuwa mwisho wetu.................... rejea yaliyoipata sayari ya mars.......................

namna ya tatu si realistic sana na nimeamua kuiacha......................... hayo tote ni kwa mujibu wa wanasayansi...................

irrelevant...soma thread ya jamaa..haya yuliyoyaeleza anayajua ..yeye anataka kujua juu ay hiko alikokiuliza
 
Mwisho upo hata dunia nzima ikikataa mwisho unakuja, kama ilivyo kuwa kwa siku za nuhu pia sodoma na gomora ndivyo siku hizo siku zitakavyokuja..
 
Kwa hofu ya kifo kila mmoja anaogopa mwisho wa dunia, lakini ni wangapi wanajitayarisha kwa ajili ya mwisho huo? iwe ni kutokana na Kifo au kupondwa jiwe kumbe mwisho upo?!
Sasa basi na tujitayarishe tu kwa ajili ya mwisho huo na tusiishi kwa hofu ya huo mwisho.
 
Wanasayansi nao sometimes hawaeleweki.Coz kama hlo jiwe lipo kwanini linachelewa hvyoo!
 
Usihishi kwa hofu hakuna cha jiwe wala bibi ya ke jiwe note~soma maandiko matakatifu vizuri kabisa kisha utagundua ukweli.
 
Nabii Daniel alimweleza Mfalme wa Babel Nebukadnezza, kwamba mwisho wa falme za dunia utatokea pale jiwe ambalo halikuchongwa kwa mkono wa mwanadamu litakapozipondaponda hizo falme. yawezekana Daniel alitumia lugha ya picha, au ni jiwe kweli.
Hayo mawe yapo, na si lazima liwe kubwa kama sayari.
Lakini hilo jiwe halitafika mpaka kwanza dunia impate mtawala aitwaye Chukizo la Uharibifu, mfalme wa kaskazini
 
Back
Top Bottom