Mwisho wa CCM umekaribia sana

Utabiri wa Hovyo hovyo kutoka kwa mtu wa hovyo.. Kwa upinzani gani.. Wapiga dili hawa ni wapinzani hawa.. Wapinzani hawa ambao bei yao inajulikana..wangekua wanajielewa wangetafuta short cut ya Lowasa..
 
maneno kutoka mtu mlevi wa madaraka na na asiye akili
 
Sasa ngoja nikupe mawazo yangu ninavyoona UKAWA kama ulivyosema si chama, vyama ni Chadema, Nccr, Cuf nk na hapa kila kimoja kinausajili wake kupitia mwenyekiti wake na Isitoshe leo hii yawezekana Lipumba anawaumiza wa2 akili kwa kuwa yeye ndie aliyekisajili hicho chama sasa masuala ya kujiuliza ni je Lipumba alipojiuzulu alipeleka barua au barua yake ilipelekwa kwa msajili wa vyama au iliishia kwenye UKAWA??? na je sababu za yeye kujiuzulu zilikuwa ni zipi??? Ukijiuliza maswali haya na ukiyapatia majibu nadhani tutapata mwelekeo.
 
nadhani barua alipeleka kwa viongozi wa chama chake na sababu ya kujiuzulu ni kukubaliwa lowasa kuwa mgombea wa ukawa na akasema nafsi yake inamsuta hawezi tena akaambatana naye kwenye kampeni kwa hiyo mshangao wetu ni lowasa bado yupo na ukawa na mambo yanaenda tofauti na wakati wake tanzania bara CUF kwa sasa in wabunge wengi ambao hakuwasaidia kuwaombea kura. Itafaa nini hata kama uliunda kikosi cha jeshi vita ilipokuja ukakimbia wamerudi na ushindi hata kama ni mdogo useme mimi nilikuwa kiongozi wewe ni wa kufa tu risasi ndo dawa yake kwa kuwa alikimbia vita tungekufa wote angetapa sana nilijua leo kaja hna hata aibu nadhani umenilewa
 
Kama barua iliishia UKAWA ndio huu mnyukano wa kisiasa ambao anautumia kwayeye kusema bado ni mwenyekiti kwakuwa anayestaili kujua uwepo wake ni msajili wa vyama, sasa kama kweli itakuwa anafikiria hivi je unadhani UKAWA itakuwa na moto kama zamani au ndio kila m2 atatafuta ustaarabu wake.
 
ukawa ni sawa na mwamvuli hata kama waliokuwa ndani ya mwamvuli wanagombana mwamvuli utakuwepo kwa kuwa yeye mwenyewe hakuwa sehemu ya mwamvuli huo lipumba ana wakati mgumu kwa sababu walioufikisha ukawa hapo hawana shida na wala hawana ugomvi ila aliyewakataa ana hasira na mafanikio yaliyopatikana na ukawa wakitulia anaondolewa kirahisi sana kwa kuwa hakushiriki mafanikio ya ukawa kushawishi watu ili wamkatae ni rahisi sana kweye kura
 
Kwani angebaki angewaombea kura.. Kazi ya kuwaombea kura ni mgombea Urais
yeye ni muhimu sana kuleta umoja ila badala akaleta mgawanyiko na hakusaidia kitu watu wamesonga mbele leo mate yanamtoka
 
Ata magufuri afanye kizuri hawezi kuungwa mkono na upinzani zao nikukosoatu muacheni baba wawatu hamuoni kuendesha nchi usimfurahishe mtu .ajira zinakuja leli ya kati mwezi wa 12 .bomba la mafuta mwezi wa 11 kiwanja chakusindika gas kiwanda cha mbolea. Ata Magufuri akubebe mgongoni utalalamikatu eti umenibania. Acheni uchulo
 
Hoja ya upinzani kuhusu watumishi wa umma kutamyumbisha jpm na serikali yake,upinxan iwekeni vizuri.
 
Kiukweli kwa haya mambo jinsi yanavyokwenda imeonekana kwamba serikali hii imeshindwa kutimiza ndoto za watanzania. Kila kona ni kilio tu, si kwa maskini wala kwa matajiri, si kwa waliopatwa na majanga kama Kagera wala si kwa walio salama, si kwa wafanyabiashara wala si kwa watumishi wa umma. Kote ni kilio tu. Hizi si dalili njema kwa ustawi wa chama tawala hata kidogo
 
Jana nilikuwa mahala napata kahawa. Kati ya wahudumu wa pale, kuna mmoja ni mnazi wa Rais Magufuli. Hata tulipojaribu kumuelewesha kwamba hali ni ngumu kwa sasa, akawa anasema ndio safi; wote tuumie. Sikumuelewa.

Wakati naondoka, akaniomba chenji maana hali ni mbaya awamu hii. Akazidi kunichanganya.
 
Wanaandaa muda wa kumuvuruga astimize malengo yake wakati ndege mbili tayari, upanuz wa barabara mwanza, kuhamia dom, kujenga daraja la salanda, nyumba za kgamboni, na mambo mengn mengi lukuki... sasa upinzan ndio unaishia zake kwa kweli na porojo zao hz za mara ukuta, mara opereshen dagaa, m4c, na kupinga serikali
 
Jana nilikuwa mahala napata kahawa. Kati ya wahudumu wa pale, kuna mmoja ni mnazi wa Rais Magufuli. Hata tulipojaribu kumuelewesha kwamba hali ni ngumu kwa sasa, akawa anasema ndio safi; wote tuumie. Sikumuelewa.

Wakati naondoka, akaniomba chenji maana hali ni mbaya awamu hii. Akazidi kunichanganya.
Hahahaa Kibaya zaidi ni pale wana CCM wenzake wanapokuwa wanafiki na kushindwa kusema ukweli!
 
Nyie pigeni kelele humu JF na ziishie humu humu,kwa wastani mnaanzisha threads 10 hadi 15 kwa siku kujaribu kuonyesha serikali Hii imeshindwa.Mnakazana kuona wenzenu wana IQ ndogo,kwa mwenye IQ kubwa anaona serikali ni Hii Hii ya John Pombe Joseph Magufuli,na CCM ni Hii Hii miaka jingine Tisa ijayo,tume ya uchaguzi ni Hii Hii na Katiba ni Hii Hii,hakuna mwenye ubavu wa kubadilisha hilo,mkiingia mtaani kuandamana ni kipigo tu mpaka mpate adabu.Mtatunga majina mtandaoni,mtaanzisha threads milioni,mnapoteza muda wenu tu.Kama mtu anabisha subirini muone kama kuna kitu mtaweza kubadili.Ndo maana Mzee Mkapa aliwaita wapumbavu,alishaona hesabu za mbali sana.Yule mwingine atabaki kuwa raisi wenu wa mioyo tu.He will never become PRESIDENT.NEVER.
 
mkuu ndo maana nchi za wenzetu kumbe wakati mwingine wanafanya asssassination inauma sana mtu wa kiwango cha profesa anapoamua kuigia kingi na akaamua kuleta vurugu ili tu ukawa ufe ndo misheni yake
KUELEKEA UCHAGUZI WA MEYA MENGI TUTAYAONA IKIWEMO ZUIO LA UCHAGUZI KAMA ILIVYOWAHI KUTOKEA
 
uchambuzi ulioufanya ni wa kina,lakini kwa vile kuna VIHIYO wapo kimhemko,haya hawayaoni..
 
Back
Top Bottom