Mwisho wa CCM umekaribia sana

maganjwa

JF-Expert Member
Sep 11, 2012
2,774
2,297
Ccm ya magufuli imewekeza zaidi kwenye kujaribu kuvuruga muungano wa ukawa kama ni dirisha la kuingilia ndani wameipata kupitia CUF na sasa LUMUMBA humu ndani wanachekelea.

Makosa makubwa anayofanya magufuli moja kuhamisha nguvu zake kwenye kuvuruga upinzani kitu amabayo mimi sidhani kama atafanikiwa badala yake wenzake wanaandaa namna ya kumpotezea mda ili asitumie nguvu kubwa kufanya mambo ya maendeleo na mwisho ataonekana ameshindwa kufikia malengo yake

pili ameshindwa kuajiri watanzania akisingizia wafanyakazi hewa wakati tunajua hela hana anashindwa kusema

Tatu elimu bure karibu inamshinda maana mambo yamekuwa hovyo mashuleni hela ina yotumwa ni kiduchu huku wakuu wa shule wanasukumiwa majukumu mengi huku hela hawana mpaka wanatia huruma. mitihani ya mock tayari imekosa hadhi yake

Nne kwa kuwa amedandia hoja ya ukawa na hakujiandaa wapi ana pata hela ya elimu bure jasho linamtoka kwa kuwa ufisadi uko pale pale waliofanya huo uozo amesema anawalinda wakatulie. Angalia IPTL ngoma bado kabisa mchwa ndo wamenoa makali nadhani wote tunajua habari ya hukumu ya juzi kuhusu sekeseke la IPTL.

Tano wafanyakazi wa umma ametuona kama watu wasiostahili kidogo chetu kama haki yetu amegoma kutupa nyongeza, kupandisha madaraja kisingizio ni wafanyakazi hewa lazima jpm ajue sisi ndo tunamjenga na kwa kuwa hatujali na ana hasira na sisi matokea yake ni yeye mwenyewe kutofanikiwa katika mambo yake anayopanga kwa kuwa wafanyakazi amewavunja moyo

Hivyo basi badala ya kuongeza ushawishi kwa watu ccm mdomdogo mtaani watu wana shindwa kuwaelewa na serikali yao ya vitisho kwa kuwa badala ya mambo kuboreka yanazidi kuharibika kila siku.

JPM anajaribu kuiokoa CCM na kaburi lakini anazidi kuipeleka shimoni ashukuru watanzania wengi hawajui nchi yao inaendeshwaje asingefanya anayoyafanya kwa wenzake na watanzania

Karibuni kwa mjadala
 
Ccm itaondoka tu madarakani lakini si kwa upinzani huu uliopo ambao wenyewe tu wanaingizwa king na ccm na wao wanaingia mazima wakija kushituka washapigwa bao la mkono
mkuu ndo maana nchi za wenzetu kumbe wakati mwingine wanafanya asssassination inauma sana mtu wa kiwango cha profesa anapoamua kuigia kingi na akaamua kuleta vurugu ili tu ukawa ufe ndo misheni yake
 
Ccm ya magufuli imewekeza zaidi kwenye kujaribu kuvuruga muungano wa ukawa kama ni dirisha la kuingilia ndani wameipata kupitia CUF na sasa LUMUMBA humu ndani wanachekelea.

Makosa makubwa anayofanya magufuli moja kuhamisha nguvu zake kwenye kuvuruga upinzani kitu amabayo mimi sidhani kama atafanikiwa badala yake wenzake wanaandaa namna ya kumpotezea mda ili asitumie nguvu kubwa kufanya mambo ya maendeleo na mwisho ataonekana ameshindwa kufikia malengo yake

pili ameshindwa kuajiri watanzania akisingizia wafanyakazi hewa wakati tunajua hela hana anashindwa kusema

Tatu elimu bure karibu inamshinda maana mambo yamekuwa hovyo mashuleni hela ina yotumwa ni kiduchu huku wakuu wa shule wanasukumiwa majukumu mengi huku hela hawana mpaka wanatia huruma. mitihani ya mock tayari imekosa hadhi yake

Nne kwa kuwa amedandia hoja ya ukawa na hakujiandaa wapi ana pata hela ya elimu bure jasho linamtoka kwa kuwa ufisadi uko pale pale waliofanya huo uozo amesema anawalinda wakatulie. Angalia IPTL ngoma bado kabisa mchwa ndo wamenoa makali nadhani wote tunajua habari ya hukumu ya juzi kuhusu sekeseke la IPTL.

Tano wafanyakazi wa umma ametuona kama watu wasiostahili kidogo chetu kama haki yetu amegoma kutupa nyongeza, kupandisha madaraja kisingizio ni wafanyakazi hewa lazima jpm ajue sisi ndo tunamjenga na kwa kuwa hatujali na ana hasira na sisi matokea yake ni yeye mwenyewe kutofanikiwa katika mambo yake anayopanga kwa kuwa wafanyakazi amewavunja moyo

Hivyo basi badala ya kuongeza ushawishi kwa watu ccm mdomdogo mtaani watu wana shindwa kuwaelewa na serikali yao ya vitisho kwa kuwa badala ya mambo kuboreka yanazidi kuharibika kila siku.

JPM anajaribu kuiokoa CCM na kaburi lakini anazidi kuipeleka shimoni ashukuru watanzania wengi hawajui nchi yao inaendeshwaje asingefanya anayoyafanya kwa wenzake na watanzania

Karibuni kwa mjadala
Yaani matatzo muwenayo wenyewe kwa uvivu wenu na uchu wenu wa madaraka,alafu msingizie hYo yawakutayo yanatokana na ccm?
Hivi hadi ldo bado mnazo hizi fikra za kusema mtu akifanya jambo tofauti na vile mtakavyl basi kanunuliwa au katumwa na ccm?
Viongozi wa upinzani na vyama vyake hapa kwetu Tanzania badi saaaana. Kama Lowasa alivyosema, kuwa tusubiri miaka hamsini ijayo, ndio labda ccm itang'ooka. Ila tatzo ni uchu na uchumia tumbo wa viongozi wa vyama pinzani.
Hamna chama pinzani chenye upunzani wa hoja, wengi wao ni wategemezi wa siasa za matukio sio hoja....
Mkubali kwanzamakosa ndipo mtakapoweza kuona wapi pa. Kurekebisha ili kuweza kushika dola. Ila kama makosa wakifanya viongozi, nyie vibaraka mnasema ccm wamewanunua, basi kazi mnayo....
 
Ccm ya magufuli imewekeza zaidi kwenye kujaribu kuvuruga muungano wa ukawa kama ni dirisha la kuingilia ndani wameipata kupitia CUF na sasa LUMUMBA humu ndani wanachekelea.

Makosa makubwa anayofanya magufuli moja kuhamisha nguvu zake kwenye kuvuruga upinzani kitu amabayo mimi sidhani kama atafanikiwa badala yake wenzake wanaandaa namna ya kumpotezea mda ili asitumie nguvu kubwa kufanya mambo ya maendeleo na mwisho ataonekana ameshindwa kufikia malengo yake

pili ameshindwa kuajiri watanzania akisingizia wafanyakazi hewa wakati tunajua hela hana anashindwa kusema

Tatu elimu bure karibu inamshinda maana mambo yamekuwa hovyo mashuleni hela ina yotumwa ni kiduchu huku wakuu wa shule wanasukumiwa majukumu mengi huku hela hawana mpaka wanatia huruma. mitihani ya mock tayari imekosa hadhi yake

Nne kwa kuwa amedandia hoja ya ukawa na hakujiandaa wapi ana pata hela ya elimu bure jasho linamtoka kwa kuwa ufisadi uko pale pale waliofanya huo uozo amesema anawalinda wakatulie. Angalia IPTL ngoma bado kabisa mchwa ndo wamenoa makali nadhani wote tunajua habari ya hukumu ya juzi kuhusu sekeseke la IPTL.

Tano wafanyakazi wa umma ametuona kama watu wasiostahili kidogo chetu kama haki yetu amegoma kutupa nyongeza, kupandisha madaraja kisingizio ni wafanyakazi hewa lazima jpm ajue sisi ndo tunamjenga na kwa kuwa hatujali na ana hasira na sisi matokea yake ni yeye mwenyewe kutofanikiwa katika mambo yake anayopanga kwa kuwa wafanyakazi amewavunja moyo

Hivyo basi badala ya kuongeza ushawishi kwa watu ccm mdomdogo mtaani watu wana shindwa kuwaelewa na serikali yao ya vitisho kwa kuwa badala ya mambo kuboreka yanazidi kuharibika kila siku.

JPM anajaribu kuiokoa CCM na kaburi lakini anazidi kuipeleka shimoni ashukuru watanzania wengi hawajui nchi yao inaendeshwaje asingefanya anayoyafanya kwa wenzake na watanzania

Karibuni kwa mjadala
Utakuwa kichaa wewe sio bure! Uko wapi muda huu. Wahi Mirembe kwa matibabu haraka!
 
Umesema kweli mr. Wanachokifanya serikali sasa hiv nikikumbizana na upinzani tu na kingine utasikia afisa fulani kasimamishwa kazi au kafukizwa.
Huku rundo la vijana waliomaliza mwaka jana wameliweka mtaan halafu wanasisitiza hapa kazi tu.
Mm huwa namshangaa sana mtu anayeshabikia ccm. Huwa namuona km chizi fulani hiv anayeokota makopo
 
Ccm ya magufuli imewekeza zaidi kwenye kujaribu kuvuruga muungano wa ukawa kama ni dirisha la kuingilia ndani wameipata kupitia CUF na sasa LUMUMBA humu ndani wanachekelea.

Makosa makubwa anayofanya magufuli moja kuhamisha nguvu zake kwenye kuvuruga upinzani kitu amabayo mimi sidhani kama atafanikiwa badala yake wenzake wanaandaa namna ya kumpotezea mda ili asitumie nguvu kubwa kufanya mambo ya maendeleo na mwisho ataonekana ameshindwa kufikia malengo yake

pili ameshindwa kuajiri watanzania akisingizia wafanyakazi hewa wakati tunajua hela hana anashindwa kusema

Tatu elimu bure karibu inamshinda maana mambo yamekuwa hovyo mashuleni hela ina yotumwa ni kiduchu huku wakuu wa shule wanasukumiwa majukumu mengi huku hela hawana mpaka wanatia huruma. mitihani ya mock tayari imekosa hadhi yake

Nne kwa kuwa amedandia hoja ya ukawa na hakujiandaa wapi ana pata hela ya elimu bure jasho linamtoka kwa kuwa ufisadi uko pale pale waliofanya huo uozo amesema anawalinda wakatulie. Angalia IPTL ngoma bado kabisa mchwa ndo wamenoa makali nadhani wote tunajua habari ya hukumu ya juzi kuhusu sekeseke la IPTL.

Tano wafanyakazi wa umma ametuona kama watu wasiostahili kidogo chetu kama haki yetu amegoma kutupa nyongeza, kupandisha madaraja kisingizio ni wafanyakazi hewa lazima jpm ajue sisi ndo tunamjenga na kwa kuwa hatujali na ana hasira na sisi matokea yake ni yeye mwenyewe kutofanikiwa katika mambo yake anayopanga kwa kuwa wafanyakazi amewavunja moyo

Hivyo basi badala ya kuongeza ushawishi kwa watu ccm mdomdogo mtaani watu wana shindwa kuwaelewa na serikali yao ya vitisho kwa kuwa badala ya mambo kuboreka yanazidi kuharibika kila siku.

JPM anajaribu kuiokoa CCM na kaburi lakini anazidi kuipeleka shimoni ashukuru watanzania wengi hawajui nchi yao inaendeshwaje asingefanya anayoyafanya kwa wenzake na watanzania

Karibuni kwa mjadala
Rais Magufuli duh hii kali aisee
 
nasubiria milioni 50 kila kijiji sijasahau. mana wanatupumbaza na madege yao ya mapangaboi
 
Nguvu ya fisadi ndo inayoisambaratisha CUF na wala si Magufuli. Fisadi anajenga mtandao wake ili 2020 awe mgombea pekee. Siasa ni sayansi
 
Utakuwa kichaa wewe sio bure! Uko wapi muda huu. Wahi Mirembe kwa matibabu haraka!
Ukiwachunguza wanachama wa ccm IQ yao ni ndogo sana. Wapo wapo tu, hata wanachama wao wengi wanatetea matumbo yao.
CCM imepoteza mvuto haikubaliki kwa sasa na ahadi zenu hewa.
Mambo ya msingi meyatupilia mbali na kwa akili zenu ndogo mnadhani mtatawala milele.
Wananchi wa sasa siyo km wale wa zamani wa kuwapa kofia, kanga na tisheti ili wawachague.
Kweny uchaguzi nadhani mtakodi wanamuziki wote watumbuize.
Tabu tupu.
Metuharibiha nchi yetu.
OVYO KBSA.
 
waambie na bado mzee wa mafuriko hajafa wanaogopa asiingie mtaani juzi kaenda bukoba lumumba wakataharuki wakawapigia polisi waje na mabomu akili zero kabisa
 
CCM tayar ni mfu anayejifanya yuko haia kwa kupumulia mipira,ukivuta tuu,ni Sisi Tulimpenda....Ila Mungu Kampenda zaid
 
Ila wakati mwingine yawezekana tunamatatizo katika ufikiri kwasababu gani tatizo ni uongozi wa Chadema kumpokea Lowassa na kumpa madaraka ya juu mtu anaisingizia CCM na Rais kwakuwa katokea CCM.
 
Back
Top Bottom