MWINYI Was A Visionary Leader

marais walioangushwa na wake zao ni mkapa na mwinyi.walikuwa wanaongoza nchi wakiwa vifuani.nyerere alikuwa imara kutenganisha ndoa yake na urais.kikwete ni dhaifu kuliko wote watatu amemfanya mkewe kuwa makamu wa pili wa rais.amenunuliwa na wafanyabiashara wezi.amewekwa mfukoni.hapo maswala ya dini hayapo na sitaki kuyasikia tena na mkomena mkomae.hakuna dini inayoweza kutuhakikishia kwamba muumini wake ni lazima awe kiongozi mzuri.kuanzia sasa naomba yeyote atakayeleta mada zenye muelekeo wa kidini lazima zifute haraka. Tz ni yetu sote.

kwani nyerere alikua na mke? Muulize mama maria atakuambia ukweli
 
Usisema Tanzania ya leo ni bora bali sema dunia ya leo ni bora kuliko ya miaka kadhaa iliyopita. Kumbuka kipindi cha Nyerere Tanzania ilikuwa inaendana kiuchumi na nchi nyingi kama akina indonesia, lakini Tanzania ya leo ipo nyuma kimaendeleo ukilinganisha na nchi tulizokuwa nazo sawa kiuchumi enzi za mwalimu.

Tanzania ilikuwa sawa kuichumi na nchi nyingi kwa sababu Wazungu walipomuachia nchi Nyerere, Tanzania ilikuwa na Hospitali nzuri, barabara nzuri, nk. Baada ya Nyerere kuanza kutawala akatuletea Ujamaa, na chuki zake binafsi kwa wafanyabiashara. Kitu kilichoiangusha Tanzania, mpaka leo. Naona umeshapata jibu kwamba Nyerere ndiye aliyedidimiza Tanzania Kielimu, na Kiuchumi. Hapo ndipo utaamini kwamba Mwinyi alikuja kuikomboa Tanzania. God bless our Pres. Alhaji Ally Hassan Mwinyi.
 
Crap!
 
Hata mimi namkubali sana mzee Ruksa. kuanzia uhuru wa Habari ambao baadhi ya waandishi waliutumia vibaya kumshambulia, lakini baadae wakaja kuandika makala/barua ya kuomba msamaha kwa jambo hilo.

Urejeshwaji wa vyama vingi vya siasa.
Kuwapa uhuru wananchi kutumia jasho lao na akili zao kujitafutia mali na utajiri binafsi.
Kulinda vyema mipaka ya nchi yetu.
Kudhibiti majambazi (chini ya Augustine Mrema).
Kupunguza kero za muungano kwa kuondoa haja ya kuingia Zanzibar na Passport

Kuinua michezo kama vile soka na masumbwi, Kuimarisha , Umiseta, Umitashumta, na matunda yake katika kipindi hicho Simba ilitwaa ubingwa wa Afrika mashariki na kati( Sima vs- Sports club villa 1990), yanga nayo (Yanga Vs -sports club Villa 1992 kampala), Simba ilifika fainali CAF 1993, 1992 enzi za Kakakuona, akina Matumla nao haikuwa Nyuma katika masumbwi enzi hizo.

Uanzishwaji wa Tv binafsi, CTN, ITV, DTV.
Radio binafsi, Radio one.

Wananchi kuanza kutoka kwa wingi kwenda ng'ambo, vijana wengi enzi hizo walikwenda Dubai kuchukua bidhaa, na miongoni mwao kwa sasa ni matajiri wakubwa kabisa na walipa kodi wazuri tu kwa sasa.

Serikali kuendelea kuwekeza kwenye Elimu na udhibiti wa mitihani, mitahani haikuvuja hovyohovyo kipindi cha mzee Ruksa.

Kuonyesha uwajibikaji kwa mkuu wa nchi kwa kutimua baraza lote la mawaziri na kuunda jipya, precedence nzuri kwa maraisi wajao, ambapo naona kikwete alifuata nyayo hapo mwaka juzi.

Kingine ni utu na huruma ya huyu mzee, uwezo wa kustahimili kashfa na mashambulizi pasipo kuwapoteza watu Lupango nacho pia kinapendeza kwa kiongozi. Si mtu wa visasi wa kutumia hadi mbinu mbaya za kuwavua watu Uraia n.k

Lakini kingine ilikuwa ni uwezo wa kufanya maamuzi binafsi na kutoshinikizwa, Pamoja na Nyerere kuwa hai na kutetea sana misimamo yake, mzee Mwinyi yeye alikuwa anasikiliza lakini akifanya maamuzi anayafanya kwa jinsi anavyoona yeye inafaa na wala haendi kwenye malumbano.
 
ndugu zangu wa JF najua wengi tuna elimu. ila elimu peke yake haitoshi, kikubwa pia tuwe na hekima.

binadamu hata awe vipi ili mradi ni binadamu basi lazima awe na makosa haijalishi ni rais, waziri au mbunge. haiwezekani makosa machache yamuharibie mtu wema wake mwingi. tunajua fika uongozi ni kupokezana sasa haiwezekani alaumiwe mmoja wakati marais ni wanne.

na pia hata raisi atoke saudi arabia hawezi kuja kuongoza kwa misingi sheria ya kiislamu kwa sababu hapa tuna sheria zetu na katiba yetu ambaye rais yeyote atayekuja lazima aifate regardless of his religion or colour kwa maslahi ya taifa. mfano mzuri ni kwa obama. je africa tumenufaika naye nini kikubwa eti kwa kuwa asili yake ni africa. yeye kama yeye yupo kwa maendelea ya marekani.

nyerere kama nyerere kafanya mazuri na pia kafanya utumbo wake hali kadhalika kwa mwinyi, mkapa na JK. wewe mtoto wa miaka ya 80 unazungumzia vitu vya miaka 60 umevijua wapi kama sio kuvisikia? na una uhakika gani kama ni kweli vilikuwepo au la.

waisilamu wamefaidika nini na JK iwapo dini ni kigezo? hawakupata chochote kutoka kwa JK na badala yake wtamkumbuka mkapa mpaka leo kwa kuwapa uwanja waliojengea MUM. ukweli unauma, wakristo ni asilimia 70 katika listi ya mafisadi. ingekuwa JK anatumia dini si angekwishawanyonga wote?

dunia inabadilika na kila kipindi kina mabadiliko yake kulingana na dunia inavyokwenda. . . . kwa kweli tukiendekeza udini nadhani itafika stage tutakuwa na marais zaidi ya watano. waislam watakuwa na raisi wao, halikadhalika wakristo, wahindi, mapagani na dini nyingine.
 
wengine kila kitu wanaangalia kiudini

ila wajiulize ni bara bara ngapi alizikuta taaban na ngapi alizitengeneza alipoondoka ?

tanzania kabla ya wakati wake hata tv ya taifa hakuna na binafsi ndo kabisa

foleni kwa kila kitu

hali ilikua sio nzuri wanaokumbuka wanajua watu walilia alipokua anatuaga haijawahi kutokea na hadi leo ni kipenzi cha watu

Hata bongo flava haikuwapo; wanamuziki na wacheza mpira hawakuwa na magari wakati huo.

......................... 胡說
 
Watu wengi sana wanashindwa kuelewa kuwa ukitaka kungalia maendeleo angalia huduma kwa jamii na wala sio wingi wa vitu madukani.
 
There is no vision in politics. Most visionary leaders had or have ruined their countries. This is because if you have a visions, apparently you would like to fulfill your visions at any costs. Take the example of our own beloved Nyerere, Kaunda, Mugabe and other so called visionary. They spent a considerable amount of time to fight for impractical things. To that end Mwinyi was not a visionary leader but pragmatic one. He knew that there are things that private citizens can do better than their own government.

Anyway, to discuss past presidents two weeks before the general election shows that Tanzania are not serious about their own future. Nyerere and Mwinyi present a distance past. The future that defines your nation is two weeks away, why don't you take a look at it.
 
Watu wengi sana wanashindwa kuelewa kuwa ukitaka kungalia maendeleo angalia huduma kwa jamii na wala sio wingi wa vitu madukani.

The simple theory in economics is that of supply and demand. The shortage of commodities in retail stores indicates that the country is experiencing hyperinflation or dyfunctional system of production and services.

Vitu vyingi vilivyo madukani vinalipiwa sales tax ambayo inatumika kulipia maendeleo ya jamii. Hivyo ni maendeleo gani unayaangalia bila kuwa na vitu madukani? Hata miaka ya mwisho wa utawala wake, Nyerere aliakikisha kuwa viwanda vya sigara na bia havisimamishi uzalishaji kwa sababu ukosekanaji wa bidhaa hizo kulipunguzia serikali mapato kwa kiasi kikubwa.
 
There is no vision in politics. Most visionary leaders had or have ruined their countries. This is because if you have a visions, apparently you would like to fulfill your visions at any costs. Take the example of our own beloved Nyerere, Kaunda, Mugabe and other so called visionary. They spent a considerable amount of time to fight for impractical things. To that end Mwinyi was not a visionary leader but pragmatic one. He knew that there are things that private citizens can do better than their own government.

Anyway, to discuss past presidents two weeks before the general election shows that Tanzania are not serious about their own future. Nyerere and Mwinyi present a distance past. The future that defines your nation is two weeks away, why don't you take a look at it.

How can I vote if I don't study the past mistake that were made by the our former Presidents. If any candidate told me as voter, that he will be same as Nyerere, what do you think I should do? I will vote, NO, NO, NO FOREVER, against his party, and his ideology. In this manner we want the voter to understand that Mwinyi ideologies are the FOUNDATION TO OUR FUTURE. So we should vote to any candidate who follow Mwinyi principles.
 
And who among Kikwete, Lipumba and Dr Slaa are following Mwinyi's principles, if I may ask? And by the way, Mwinyi's principles, if they had been left unchecked, would have bankrupted the country. People were not paying taxes, the government was broke by the time Mkapa came in. Talk about principles!
 
It amazes me that those in support of Mwinyi call those against Mwinyi "wadini" but if you look at them they also support Mwinyi simple because he is of the same religion as them. Is there any differenct between being against someone because of their religion and being for someone due to his religion? All those are examples of "udini" just in different angles.

I see a lot of people when you say you are against Kikwete or Mwinyi they run to the issue of religion. It is not in my best interest or my nation to support someone simple because I am afraid of what people of his religion would think or whether or not they would get offended. I am a Christian but I believe both Mkapa and JK have been a waste of our past 15 years. That said Mwinyi was no visionary. If he was a visionary then things would be very different today.
 
MwanaFa1`
You have hit the nail on the head. I need not say more.
 
[
QUOTE=Shamu;1147658]Thanks MR. Pres. Ally Hassan Mwinyi

Aliikuta nchi katika hali ngumu ya kimaisha, akaibadilisha nchi kwa kutufumbua macho, thanks Mzee wetu. Mzee Ruksa ni kiongozi wa kuigwa duniani kote. Tanzania ilikuwa haina demokrasia, lakini akatupa RUKSA tufanye tunavyotaka kwa misingi ya haki, na ukweli.

Leo Tanzania kuna uhuru wa vyombo vya habari, education, demokrasia ya vyama vingi, yote kwa sababu ya Mzee wetu MR. PRES. Ally Hassan Mwinyi. Mzee Mwinyi You are TRUE PRESIDENT. Tumshukuru Muumba wetu kwa kutupa A TRUE PRESIDENT.
[/QUOTE]
What a Crap!
You have no clue what real vision is.
 
How can I vote if I don't study the past mistake that were made by the our former Presidents. If any candidate told me as voter, that he will be same as Nyerere, what do you think I should do? I will vote, NO, NO, NO FOREVER, against his party, and his ideology. In this manner we want the voter to understand that Mwinyi ideologies are the FOUNDATION TO OUR FUTURE. So we should vote to any candidate who follow Mwinyi principles.

I think you are misguided. Tanzania is a very dynamic nation. I left the country in mid 90s, when I returned back 10 years later I was a misfit. Therefore, I suggest, you should cast your vote for people who represent your best interests or the best interests of the country at this moment.

I know many Tanzania are longing for the past because the current administration has failed to deliver. However, there is nothing new to be copied from previous administrations. For example, Mwinyi championed the free market which has not stoped since he left the office. Also Mwinyi guided the country during the transformation to multi-party system. To today multi-party system is in Tanzania; however, the system itself is imperfect and Mwinyi is not going to fix it.
 
Pia alitaka kuingiza TZ kwenye jumuia ya nchi za kiislamu,hakika alikuwa visionary na akampa mwarabu Loliondo
 
Back
Top Bottom