Ringo Edmund
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 4,879
- 1,125
Marais walioangushwa na wake zao ni mkapa na mwinyi.walikuwa wanaongoza nchi wakiwa vifuani.nyerere alikuwa imara kutenganisha ndoa yake na urais.kikwete ni dhaifu kuliko wote watatu amemfanya mkewe kuwa makamu wa pili wa rais.amenunuliwa na wafanyabiashara wezi.amewekwa mfukoni.hapo maswala ya dini hayapo na sitaki kuyasikia tena na mkomena mkomae.hakuna dini inayoweza kutuhakikishia kwamba muumini wake ni lazima awe kiongozi mzuri.kuanzia sasa naomba yeyote atakayeleta mada zenye muelekeo wa kidini lazima zifute haraka. Tz ni yetu sote.