Mwinyi, Malecela na Kinana wakacha Dodoma

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
hawajawzea kutokeza katika vikao vya ccm vinavyo endelea huko dodoma.je hii hali tuichukulieje?
My take:
vikao vya ccm vimeanza kupoteza mvuto baada ya kuonekana havina manufaa kwa wananchi.mia
 
hawajawzea kutokeza katika vikao vya ccm vinavyo endelea huko dodoma.je hii hali tuichukulieje?
My take:
vikao vya ccm vimeanza kupoteza mvuto baada ya kuonekana havina manufaa kwa wananchi.mia


Mkuu hujasomeka tafadhali changanuwa
 
Yamkini wana sababu za msingi zilizo wafanya wasifike huko na tukumbuke kuwa efficient haiwezi kuwa 100%daima nina maana hata mahudhurio hayawezi kuwa 100% daima
 
Sidhani kama ni kususia huenda ni kuna sababu tu za msingi zilizowapelekea kutohudhuria
 
Mwinyi hana sababu ya kumsusia JK, malecela yeye anaumwa inaeleweka, kinana vivo hivyo maana kinana yeye ndiyo kinara wa uchakachuaji mwaka jana uchaguzi so they are all close to mkulu.
 
Kwani Katiba ya CCM inawalazimisha kuwepo kwenye hivyo vikao? Je haitoi fursa ya mtu kutokuhudhuria anapokuwa na udhuru?
 
Mkapa yupo? hata hivyo pale ni malumbano tu lakini kitakachoamuliwa si kwa faida ya wanachi wote,hapo issue ni kusafisha njia ya 2015.na kwa mujibu wa Nape alivyoongea na waandishi wa habari tayari yametimia niliyowahi kusema humu jukwaani ya kwamba hakuna mwenye uwezo wa kumfukuza Lowasa ndani ya CCM na hakika jina lake ndilo litakaloletwa kwa ku-contest upresident.Maana Nape amekataa ya kwamba waandishi walim-quote vibaya aliposema kujivua gamba,hakumaanisha watu waondoke CCM alimaanisha mabadiliko ya kweli ambayo yanahitaji muda mrefu.Ngoja tuone.Ila huenda uwepo wa Malecela na Mwinyi angeweza kuwasaidia wao sio mimi
 
Delevis al-shabaab means kijana mkakamavu...if you are not mkakamavu..who are u then? ama wewe ni mfuasi wa cameron..tehetehetehe
 
Thread imejaa uzandiki na uchonganishi wa kitoto. Hivi wewe umewahi kuona wapi kila kikao kikawa na mahudhurio 100%? Hata vikao vya harusi kuna absence with apology sembuse kikao kama hiki? Kama huna hoja ya kuandika bora uangalie mambo mengine kuliko kuleta confusion hapa!
 
hawajawzea kutokeza katika vikao vya ccm vinavyo endelea huko dodoma.je hii hali tuichukulieje?
My take:
vikao vya ccm vimeanza kupoteza mvuto baada ya kuonekana havina manufaa kwa wananchi.mia
Labda wako "upande flani"

Ni namna tu ya kuprotest, mbona mliwashangaa CDM walipotoka nje ya bunge?

Ama walipo kacha kwenda kwenye hotuba ya Rais ya ufunguzi wa bunge?
 
We umeshau Marais wastaafu wameshamabiwa wataundiwa baraza lao la kutoa ushauri ndani ya Katiba ya CCM; Mkapa yupo pale kulinda masahi yake ya kibiashara.
 
Back
Top Bottom