religion is an opium of mind............
Acha kumuonea wivu mwingiraKatika ibada ya jumapili iliyokuwa inafanyika kwenye kanisa la EFATA Nabii na mtume mwingira aliporomosha matusi ya nguvu kwenye ibada hiyo kwa watu wote wanaokwenda Loliondo na waandishi wa habari wanaojifanya kumuandika kwenye vyombo vya habari baaadhi ya maneno yenye lugha iliyopitiliza sitaweka ila mojawapo ni haya " Nasema wale wanaokwenda Loliondo ni wajinga!! nasema niwajinga!! waandishi wa habari ambao wanatabia ya kuniandikaandika kwenye vyombo ya habari ni wajinga'' nasema niwajinga, mawaziri wanaokwenda Loliondo ni wajinga!!! wanaonisema kuwa ninalaaana ya Kanisa la Moja ni wajingaaaa!!! baada ya kuporomosha maneno ambayo sio rahisi kwa mtu yeyote wa mungu kuyatamka alimalizia kwa kuwataka wamumini waitikie kwa kusema ameeen. Hata hivyo alibainisha wazi kuwa anajua kuna waandishi wa habari wapo ibadani hapo hivyo waandike wanavyoweza maana ni wajinga.
Kwenye Ibada ya jumapili ya tarehe 13/03/2011 mwingira alitoa amri mafundi waliokuwa wanarusha ibada ya jumapili kwa njia ya TV wazime ili wanachi wanofuatilia ibada hiyo wasione kashfa aliyoitoa kumkashifu babu wa loliondo hata hivyo bila kujua kuwa JF member alikuwa mmoja wa watu waliokuwa wametinga ndani ya ibada hiyo. Hata hivyo inaonesha kuwa mwingira anashida kubwa kiroho hivyo kwani taharuki na ghadhabu aliyoionyesha ibadani juu ya kuanikwa na vyombo vya habari mimi binafsi sijui nitafanyiwa maombi gani ili niamini kuwa mwingira ni nabii. Baada ya ibada baadhi ya waumini wake walisikika wakimlaumu kwa lugha alizotumia kuwasilisha hisia zake!! nimeona niwajuze wenzangu ili mjue msimamo wa nabii huyu!!!!
Mkuu hebu angalia vizuri huyo aliyepost hiyo post inayohusu matusi, naona umeniquote mimi ila sijawahi kumsikia popote mwingira akihubiri kwa kutoa matusi inawezekana ipo shida sehemu au umechukua nukuu ya mtu mwingine. Nimeangalia vizuri naona kuna tatizo isije ikawa mtu kanivamia.Acha kumuonea wivu mwingira
Na mimi nimeangalia vizuri mkuu, kuna mtu kakuvamiaMkuu hebu angalia vizuri huyo aliyepost hiyo post inayohusu matusi, naona umeniquote mimi ila sijawahi kumsikia popote mwingira akihubiri kwa kutoa matusi inawezekana ipo shida sehemu au umechukua nukuu ya mtu mwingine. Nimeangalia vizuri naona kuna tatizo isije ikawa mtu kanivamia.
It says it's you tazama tarehe yako ya kujiunga na ya post ya kwanza ktk Uzi huuMkuu hebu angalia vizuri huyo aliyepost hiyo post inayohusu matusi, naona umeniquote mimi ila sijawahi kumsikia popote mwingira akihubiri kwa kutoa matusi inawezekana ipo shida sehemu au umechukua nukuu ya mtu mwingine. Nimeangalia vizuri naona kuna tatizo isije ikawa mtu kanivamia.
Katika ibada ya jumapili iliyokuwa inafanyika kwenye kanisa la EFATA Nabii na mtume mwingira aliporomosha matusi ya nguvu kwenye ibada hiyo kwa watu wote wanaokwenda Loliondo na waandishi wa habari wanaojifanya kumuandika kwenye vyombo vya habari baaadhi ya maneno yenye lugha iliyopitiliza sitaweka ila mojawapo ni haya " Nasema wale wanaokwenda Loliondo ni wajinga!! nasema niwajinga!! waandishi wa habari ambao wanatabia ya kuniandikaandika kwenye vyombo ya habari ni wajinga'' nasema niwajinga, mawaziri wanaokwenda Loliondo ni wajinga!!! wanaonisema kuwa ninalaaana ya Kanisa la Moja ni wajingaaaa!!! baada ya kuporomosha maneno ambayo sio rahisi kwa mtu yeyote wa mungu kuyatamka alimalizia kwa kuwataka wamumini waitikie kwa kusema ameeen. Hata hivyo alibainisha wazi kuwa anajua kuna waandishi wa habari wapo ibadani hapo hivyo waandike wanavyoweza maana ni wajinga.
Kwenye Ibada ya jumapili ya tarehe 13/03/2011 mwingira alitoa amri mafundi waliokuwa wanarusha ibada ya jumapili kwa njia ya TV wazime ili wanachi wanofuatilia ibada hiyo wasione kashfa aliyoitoa kumkashifu babu wa loliondo hata hivyo bila kujua kuwa JF member alikuwa mmoja wa watu waliokuwa wametinga ndani ya ibada hiyo. Hata hivyo inaonesha kuwa mwingira anashida kubwa kiroho hivyo kwani taharuki na ghadhabu aliyoionyesha ibadani juu ya kuanikwa na vyombo vya habari mimi binafsi sijui nitafanyiwa maombi gani ili niamini kuwa mwingira ni nabii. Baada ya ibada baadhi ya waumini wake walisikika wakimlaumu kwa lugha alizotumia kuwasilisha hisia zake!! nimeona niwajuze wenzangu ili mjue msimamo wa nabii huyu!!!!
Hawa wote wanaojiita manabii, mitume, si manabii wala mitume bali ni wachungaji..Unajua ni kwa nini?.Nabii huwa hana kanisa. Mtume vile vile huwa hana kanisa; Yeyote aliye na kanisa huyo ni mchungaji. Hebu watuambie Isaya na Samweli, makanisa yao yaliitwa majini gani.?. Wamejazana Dar na wana makanisa yenye waumini lukuki halafu wanajiita manabii!. Hawa ni wachungaji. Katika hizi Siku za mwisho, watatoa unabii gani, wakati unabii ulisha tolewa na Yohana katika waraka wake wa ufunuo. Au unabii wanaoutoa ni ule wa kuwaambia watu watawatajirisha, watapokea magari , majumba, pesa, na safari za Ulaya na America badala ya kuwaambia watu wazifue nguo zao katika Damu ya Yesu tayari kuurithi uzima wa milele.
lengo lako nini hasa ? kuendeleza vita vya ibilisi na mawakala wake juu ya mtumishi wa MUNGU ? au ulilenga nini kuibua uzushi huu wa 2011 ?Sing'oki ng'ooooo