Mwili wa Ismail Omar hautafika NMC?

Status
Not open for further replies.
Sidhani kama tatizo liko kwenye kuaga mwili wa marehemu.
Tatizo liko kwenye namna ya kuaga miili hiyo.

If muislam haamini kuwa Jesus ni mungu (na dini yake inachukulia kuwa hiyo ni kumshirikisha Mungu) na kuagwa kwake kutahusisha kuombewa kwa Yesu ampokee mbinguni, sidhani kama ni sahihi kwake.
Yuo are discussing unnecessary issues (event) miili yote imeshafika uwanjani mnabaki na aibu kwa kujifanya wajuvi wa mambo ya dini.
 
Niwie radhi.

Siongelei msimamo wangu hapo nnachoongelea ni misimamo iliyotolewa na watu wakati wa kifo cha Dr.Omar kuwa kilichofanywa hakikuwa Islamic

Misiba ya Kiislam haiambatani na mitutu ya bunduki, kufunikwa bendera wala nyimbo za maombolezi

Misiba inayojumuisha watu wa dini tofauti tutake tusitake itajumuisha kuombewa dua kwa imani za pande zote husika

Sasa hapo ni suala la mtu binafsi yuko willing kiasi gani ku-compromise mafundisho ya dini yake na ndio nikasema kuna grade ya namna ya kufata dini husika
news_logo.gif

Saudi King Fahd is laid to rest
King Fahd of Saudi Arabia, who died on Monday, has been buried after a funeral service in the Saudi capital Riyadh. The Saudi royal family and Muslim leaders from around the world gathered at Riyadh's grand mosque where the funeral prayers were said.
King Fahd's body arrived at the mosque by ambulance, draped in a brown robe.
After the prayers, the body was carried to a cemetery for burial in an unmarked grave, in keeping with Wahhabism, the kingdom's strict version of Islam.
Security has been beefed up across the capital where foreign dignitaries had gathered to pay their respects.
Militant problem
Among those paying tribute to the king, who had ruled since 1982, were Palestinian leader Mahmoud Abbas, Egypt's President Hosni Mubarak, French President Jacques Chirac and Jordan's King Abdullah.

In the past two years, Saudi Arabia has suffered terror attacks carried out by Islamist militants allied to al-Qaeda leader Osama Bin Laden and security was massively increased for the funeral with thousands of troops and police deployed throughout the capital.
Roads leading to the Imam Turki bin Abdullah Mosque, where the funeral took place, were closed and police with sniffer dogs and x-ray equipment checked vehicles.
The king had been frail since suffering a stroke in 1995 and had delegated his powers to Crown Prince Abdullah.
Call for loyalty
An official ceremony confirming Abdullah as king is due to be held on Wednesday.

KING FAHD FACTS
<li class="bull"> Born in Riyadh in 1923 <li class="bull"> Appointed education minister in 1953, then became interior minister, and later deputy prime minister and Crown Prince <li class="bull"> Ascended to the throne in 1982 <li class="bull"> Added the title Custodian of the Two Holy Mosques to his name in 1986 <li class="bull"> Invited US troops into Saudi Arabia in 1990 to counter the threat of Iraqi invasion <li class="bull"> Suffered a series of strokes in 1995

His smooth succession has been widely expected, analysts say.
The country's top cleric, Grand Mufti Sheikh Abdulaziz bin Abdullah al-Sheikh, has called on all Saudis to pledge allegiance to the new king and his brother, Sultan bin Abdulaziz, who has been named Crown Prince.
The new king, who is also the prime minister, has already issued a decree saying the current government will keep their positions.
As King Fahd's short funeral ceremony, led by the Grand Mufti, took place in the capital Riyadh, prayers were said in mosques across the desert kingdom.
The King's body was wrapped in a brown robe and carried on a wooden stretcher by male members of the Saudi royal family.
Some mourners carried umbrellas to shade them from the intense summer heat, while others crowded round the bier, keen to touch the body as it passed.
King Fahd was buried alongside commoners and former kings, including half brothers Saud, Faisal and Khaled, in the al-Oud cemetery, some 5km (3 miles) from the mosque.
No mausoleum
The late king bore the title "custodian of the two holy mosques" in Mecca and Medina, Islam's holiest sites.

" King Fahd was a man of great vision and leadership who inspired his countrymen for a quarter of a century as king, and for many more before that "
Tony Blair
UK prime minister

But in keeping with Wahhabism, which guards against idolatry, he will have no tomb or engraved headstone, just a simple stone marking the spot where he lies.
"His grave will be like the grave of all Muslims... There is no difference between him and other Muslims," the Grand Mufti said.
Flags were not flown at half-mast because the green Saudi flag is inscribed with Islam's testament of faith and lowering it would be considered blasphemous.
Vocal expressions of grief had been banned and shops, restaurants and ministries in the desert kingdom remained open, but correspondents say the mood among the populace is very sombre.

Story from BBC NEWS:
BBC NEWS | Middle East | Saudi King Fahd is laid to rest

Published: 2005/08/02 15:05:01 GMT

Au nikutafutie na ushahidi wa video kabisa youtube? pia kuna ushahidi wa mazishi ya Yassin Arafat! Tuache unafki Waislam wenzangu! usije ukasema ni Media ya kaffir inasema uwongo maana kuna Royal Saudi Website pia ina historia zoote! Huyu King Fahd ni Wahhabia sasa sijui unaongea nini tatizo uradikali unazidi sasa hivi Tanzania! Uislamu hausemi hivyo ndg!
 
These people are more than crap....wanachotafuta hasa ni nini?

Je lengo lao ni kusiwepo na mchanganyiko wa huduma za dini zote wapatie sababu ya udini...mapuuzi kweli haya majitu

Mi ninafikiri ni kutokana na Imani ya Kiislam ambayo hairuhusu Maiti Kutazamwa hadharani kama wafanyavyo madhehebu mengine hasa wakati wa kuiaga maiti. Hasa ukizingatia kuwa maiti ziloletwa hapo uwanjani zitakaa hapo sio chini ya masaa manne kabla hazijaenda kusitiriwa. Sidhani kutoletwa hapo mwili wa marehemu kunatokana na njama au mizengwe ya CCM Arusha
 
Niwie radhi.

Siongelei msimamo wangu hapo nnachoongelea ni misimamo iliyotolewa na watu wakati wa kifo cha Dr.Omar kuwa kilichofanywa hakikuwa Islamic

Misiba ya Kiislam haiambatani na mitutu ya bunduki, kufunikwa bendera wala nyimbo za maombolezi

Misiba inayojumuisha watu wa dini tofauti tutake tusitake itajumuisha kuombewa dua kwa imani za pande zote husika

Sasa hapo ni suala la mtu binafsi yuko willing kiasi gani ku-compromise mafundisho ya dini yake na ndio nikasema kuna grade ya namna ya kufata dini husika

Kuna waislam zaidi ya MUJAHIDINA WA Afganistan? Vipi ARAFAT wa palestina? au zilezilikuwa ni MIDOLI sio silaha?
 
Geza Ulole

Naona unathibitisha kile nilichokisema kuwa tatizo si kuagwa, tatizo ni namna ya kuaga mwili wa marehemu.

Hiyo link haijapingana na nilichosema hata kwa kidogo
 
Geza Ulole

Naona unathibitisha kile nilichokisema kuwa tatizo si kuagwa, tatizo ni namna ya kuaga mwili wa marehemu.

Hiyo link haijapingana na nilichosema hata kwa kidogo
Jacque Chiraq alikuwepo na hata Mohammed Abbas alikuwepo na burial ceremony ilihusisha jeshi pia kama head of state! angalia youtube utaona na pia hata kifo cha King Faisal pia hayo yalifanyika! sasa huo upotoshaji wa mazishi ya Makamu wa rais Dr Omar yanatoka wapi?
 
Hunielewi mkuu.....

Hakuna tatizo kuagwa na watu wowote wale wenye kuamini chochote. Tatizo ni namna ya uagaji ndio nikazumgumzia kujumuishwa kwenye sala au dua inayohusisha Mungu unayepingana nae kiimani.

Kufa kwa muislam akaja anaeamini mungu moto akamuombea dua kupitia Mungu moto ndipo penye walakin

But mambo ya kiimani kila mtu na mtazamo wake na kiwango chake cha kufuata
 
Sijaona niambie yanakuwaje? Anaitwa askofu kuwaombea?

Tatizo huna kumbukumbu umesahau hata nilianzia wapi, Ulisema kwenye mazishi ya waislam silaha aziruhusiwi, nikakukubusha kuwa Muajhidna huko silaha lazima zirindime na siku alipo zikwa arafat zilirindima pia na hata leo gaza akifa mtu lazima zirindime.
 
Hunielewi mkuu.....

Hakuna tatizo kuagwa na watu wowote wale wenye kuamini chochote. Tatizo ni namna ya uagaji ndio nikazumgumzia kujumuishwa kwenye sala au dua inayohusisha Mungu unayepingana nae kiimani.

Kufa kwa muislam akaja anaeamini mungu moto akamuombea dua kupitia Mungu moto ndipo penye walakin

But mambo ya kiimani kila mtu na mtazamo wake na kiwango chake cha kufuata

Hivi zile duwa za mashujaa huwa zinasomwa vipi?
Nyerere alipokufa waislam hawakusoma dua/hawakumrehemu?
 
Hivi zile duwa za mashujaa huwa zinasomwa vipi?
Nyerere alipokufa waislam hawakusoma dua/hawakumrehemu?

Mkuu kitu kikifanywa kwa Fulani hakumaanishi kuwa ni sahihi

Muislam kumuombea dua mtu haoni tabu hata Kama haamini Mungu wake na ni the same kwa Mkiristo, haoni tabu kumuombea asiyemuamini Mungu anaemuamini yeye

Tatizo linakuja muislam Wa kawaida (asielazimika kiwadhifa) au mkiristo anapenda au anataka aombewe dua rasmi kupitia Mungu asiyemuamini?

Btw usichanganye tamaduni za kibedui na uislam

Btw kwa viwango vya nani Mujahidina ndio waislam bora? Some will tell you ni Waislam waliopotoka kwa kufanya uharibifu na kuuwa watu bure
 
Are u MUSLIM? Unakumbuka wakati dini inasambazwa ilianza vipi? unakumbuka Mtume alikuwa nafanya vipi kusambaza dini na kuwafikia makafiri?
 
Lete shule

(btw naskia kuna mziki wa sarafina unatumika kuaga huko... )
ni vizuri mwili wa Ismail umeagwa kiheshima nathani huko alipo Mwenyazi Mungu ailaze pema peponi roho ya marehemu (&#65165;&#65010; &#65268;&#65197;&#65188;&#65251;&#1603; - Allah Yarhamak)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom