Mwili wa Ismail Omar hautafika NMC?

Status
Not open for further replies.

Gurudumu

JF-Expert Member
Feb 5, 2008
2,349
261
Polisi na ccm upande mmoja na Chadema upande wa pili. Baadhi ya ndugu wa marehemu wanaoneka kufanya dili. Waliahidiwa na Chadema gharama za mazishi. Leo UWT na polisi wako bize kuwashawishi (kwa fedha) wasikubali kushirikiana na Chadema. Bado mazungumzo yanaendelea, chochote kinawezekana
 
Naogopa kuongea maneno mazito maana ishu hii inahusisha wafu.
Lakini ni jambo la aibu kufanya mipango ya hila na fedha juu ya wafu, ili kujinufaisha kisiasa. Ni ukora uliopitiliza na upumbavu wa kitoto. Nawalaani wote wanaohusika kwenye maongezi hayo ya KUZIMU yanayombariki SHETANI.
WASHINDWE, mipango yao igeuke Jinamizi, na mwili wa Ismail uwasili NMC tuuage.
 
Hawataweza kwani CCM inajulikana ni vigeu geu kwani wanataka kukwepa aibu
 
Naogopa kuongea maneno mazito maana ishu hii inahusisha wafu.
Lakini ni jambo la aibu kufanya mipango ya hila na fedha juu ya wafu, ili kujinufaisha kisiasa. Ni ukora uliopitiliza na upumbavu wa kitoto. Nawalaani wote wanaohusika kwenye maongezi hayo ya KUZIMU yanayombariki SHETANI.
WASHINDWE, mipango yao igeuke Jinamizi, na mwili wa Ismail uwasili NMC tuuage.

kweli mkuu nakuunga mkono,nimefurahi sana kwa kuondoa signature yako kwa kweli umenisikiliza hongera kwa busara japo kidogo.
 
Aliuliwa kwa maagizo ya intelijensia ya ki police, jamani ndugu wa marehemu msikubali hiyo fitina na wala msiingize mambo ya dini ktk hili
 
Naogopa kuongea maneno mazito maana ishu hii inahusisha wafu.
Lakini ni jambo la aibu kufanya mipango ya hila na fedha juu ya wafu, ili kujinufaisha kisiasa. Ni ukora uliopitiliza na upumbavu wa kitoto. Nawalaani wote wanaohusika kwenye maongezi hayo ya KUZIMU yanayombariki SHETANI.
WASHINDWE, mipango yao igeuke Jinamizi, na mwili wa Ismail uwasili NMC tuuage.

Mkkuu umeongea kwa uchungu sana, na naamini maneno yako ni laana tosha kwa wahusika kama ni kweli kunanjamba za kipumbavu kama hizo!
 
kweli mkuu nakuunga mkono,nimefurahi sana kwa kuondoa signature yako kwa kweli umenisikiliza hongera kwa busara japo kidogo.
Ina maana pamoja na PJ kuondoa signature yake bado unaona katumia busara kidogo si kubwa Duh!
 
Polisi na ccm upande mmoja na Chadema upande wa pili. Baadhi ya ndugu wa marehemu wanaoneka kufanya dili. Waliahidiwa na Chadema gharama za mazishi. Leo UWT na polisi wako bize kuwashawishi (kwa fedha) wasikubali kushirikiana na Chadema. Bado mazungumzo yanaendelea, chochote kinawezekana
hii KAMA NI KWELI THEN NI KIBOKO YA KARNE! LAKINI HAWA JAMAA WA CCM SISHANGAI KUFANYA JAMBO KAMA HILO! KAMA TAMBWE HIZA ANASIMAMA KWENYE TV NA KUSEMA UCHAGUZI WA MEYA NI HAKI NA HURU ILHALI AKIFAHAMU WAJUMBE HAWAKUFIKIA THELUTHI MBILI KWANINI ASHINDWE KUTOA SENTI KWA HAO WAHANGA PESA AMBAZO KAWADHULUMU KABLA KUPITIA NJIA MBALIMBALI IKIWAMO KUPANDISHA BEI ZA UMEME NA MSULULU WA KODI!!!
 
Ina maana pamoja na PJ kuondoa signature yake bado unaona katumia busara kidogo si kubwa Duh!

Mkuu, si unamwona eeh?
Sielewi ananifuatilia nn huyu mtu. Najitahd kumpuuza bt he still clings on me with his/her buggy sounding. Iam slowly gettin fed-up!
 
Shujaa wetu Marehemu Ismail alipenda sana mabadiliko na kuchukia unafiki unaofanywa na serikali ya CCM. Watakaokula mlungula kutoka kwa mkono ule ule uliomuua Ismail hawezi akasamehewa na Allah.
 
Mkuu, si unamwona eeh?
Sielewi ananifuatilia nn huyu mtu. Najitahd kumpuuza bt he still clings on me with his/her buggy sounding. Iam slowly gettin fed-up!

PakaJimmy PakaJimmy! Dont get fed up brother! Mbona hulalamiki miiba na nzi kuendelea kuwepo? Watu kama hao unamshukuru Mungu kwa uumbaji na kuwaacha! Pia unapata nafasi ya kupiga goti na kusali au kuswali kumshukuru Mungu kwa kutokuwa yeye!!!

Mimi namshukuru Mungu kwani sasa naona umuhimu zaidi wa kuwa karibu na watoto wangu ili wasijepotea! Usiku huu nawahadithia kuhusu watu wa aina hii kwa hiyo sote tumshukuru Mungu kutupa mifano hai ya upumbavu na ujinga!
 
Mkkuu umeongea kwa uchungu sana, na naamini maneno yako ni laana tosha kwa wahusika kama ni kweli kunanjamba za kipumbavu kama hizo!

Hivi kweli CCM imnyanyase Ismael na watanzania wengi katika uhai wao na bado kwenda kufanya ufisadi juu ya mwili katika mauti yao iliosababishwa na serikali hiyo hiyo!!!!!!!!!
 
Mkuu, si unamwona eeh?
Sielewi ananifuatilia nn huyu mtu. Najitahd kumpuuza bt he still clings on me with his/her buggy sounding. Iam slowly gettin fed-up!

samahani braza sikuwa namaana hiyo ila najua kwa vyovyote msg sent,delivered and accepted;;au sio mkuu????
 
tanzania pazuri sana,kuna watu wapiganaki,wezi,mafisadi waliokubuhu, wabishi,wajinga,wapuuzi,wapumbaaaaavu kabisa,mataahira,wakulima,wajanja wa ukweli,wazee wa busara,waduwanzi,mademu wa viwanja,mabraza wa kutantile na masela wa uswazi ,full msuguano hadi raha,tanzaniaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
These people are more than crap....wanachotafuta hasa ni nini?

Je lengo lao ni kusiwepo na mchanganyiko wa huduma za dini zote wapatie sababu ya udini...mapuuzi kweli haya majitu
 
oyoooooooooooooooooo tanzaniaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaaaaaaaaaa imesimama hii nchi sio mchezo
 
These people are more than crap....wanachotafuta hasa ni nini?

Je lengo lao ni kusiwepo na mchanganyiko wa huduma za dini zote wapatie sababu ya udini...mapuuzi kweli haya majitu

sio issue sana man hii ndio bongo ya KIKWETE lOWASA rOSTAM;;RAHA SANA KUZALIWA TANZANIAAAAAAAAAAAAA
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom