Mwan mpambanaji
JF-Expert Member
- Apr 3, 2008
- 482
- 131
Chadema hatuna pesa tuna Mungu,hakuna awezaye kupingana na Mungu,let us unity forever
samahani braza sikuwa namaana hiyo ila najua kwa vyovyote msg sent,delivered and accepted;;au sio mkuu????
kweli mkuu nakuunga mkono,nimefurahi sana kwa kuondoa signature yako kwa kweli umenisikiliza hongera kwa busara japo kidogo.
kweli mkuu nakuunga mkono,nimefurahi sana kwa kuondoa signature yako kwa kweli umenisikiliza hongera kwa busara japo kidogo.
siwezi kkckliza wewe, huwez kuona signature yngu ss hv coz napost via mobile, kesho nikiwa cafe-unayo tu!
Labda WADAU wengine mnisaidie,kna shda gan na signature yngu, maana huyu mtu ananifuatilia km kivuli.
CCM want to play the game of if the facts don't fit the theory, change the facts.
Thats true mkuu, ila hatafunuliwa kuonyeshwa itakuwa ni kupita tu kwenye jeneza lake.Hata kwa marehemu Kawawa na DR. Ali JUma ilikuwa hivyo.Tuliaga mwili wa Kawawa na Dr Ally Juma! AMA hao walokuwa wameslim?
Mbona tulishamuaga Mzee Kawawa,Dr Makamu wa Raisi Mkapa ee bwana we vipi mbona unaongopaMuislam anatakiwa kuzikwa kwa taratibu a kiislam. Marufuku kuuaga mwili wa muislamu. Kinyume na hapo ndugu zake watawajibika mbele ya mungu.
Polisi na ccm upande mmoja na Chadema upande wa pili. Baadhi ya ndugu wa marehemu wanaoneka kufanya dili. Waliahidiwa na Chadema gharama za mazishi. Leo UWT na polisi wako bize kuwashawishi (kwa fedha) wasikubali kushirikiana na Chadema. Bado mazungumzo yanaendelea, chochote kinawezekana
na hisi kama ni mwili wa Ismail kuto fika NMC itakua kwa sababu ya kua waislamu hawalazi maiti... Ukifa asubuhi unazikwa mchana...