Mwigulu Nchemba umepiga msumali wa moto,CHADEMA wanajitetea na DRV na CCTV

Baada ya Mh.Mwigulu Nchemba kufichua namna CHADEMA walivyomuandaa video cameraman wa kurekodi tukio zima la bomu arusha.
Chadema wamekuja na DVR na CCTV.Kwanini wamekuja na kauli hii baada ya mwigulu?
Ni wazi Mh.mwigulu ametegea mbinu yao ndogo sana sasa wamechanganyikiwa.
Mitambo ya DVR na CCTV huwa haizunguki kuchukua tukio ina focal point moja tu.
DVR ya chadema inamikono inazunguka waliko watu,ikaona bomu ikalifuata lilipotua,ikamkimbilia mbowe alipo..ikarudi kwenye damu.
Uongo mliumbiwa
njoo oficini kwangu uone kamera za cctv zinazozunguka kama pia wewe kama technologia uko nyuma ni wewe tulia kimya
 
Ww si ndio msomi.Haya umeleta utetezi wako kama ulivyotumwa na Mbowe .
Haya Tueleze CCTV na Hiyo mitambo ya DRV ya CHADEMA inamikono?
Yaani inamfuata mbowe alipo..inahama
inamfuata lema alipo..inamfuata marehemu alipo..inaondoka na kwenda kwenye damu zilipo.
Hiyo mitambo niya mbao?
HUUU UONGO UMEPITILIZA SASA NDUGU YANGU'MMENASA KWA MWIGULU HAWAACHII

Kaka kweli siasa zinafanya mtu anakuwa kipofu. Swala la kumrekodi mbowe...sehemu ya damu..na matukio mengine si lazima picha zitokane na dvr..au cctv. Dvr au cctv ni kwa ajiri ya kurekodi matukio yasiyotarajiwa...ndani ya eneo hilo.lakini bado kwenyw mkutano lazima kulikuwa na waandishi wa habari na hata wapiga picha wa chadema..kwa ajili ya kurekodi kwa kufocus matukia waliyokuwa wakiyaona moja kwa moja. Najua baada ya bomu kulipuka..tiyari waandishi wa habari na wapiga picha walikuwa tiyari wameliona tukio na wanaweza kufocus maeneo wanayoyataka. (Japo hawakuwa pale kwa ajili ya kurekodi tukio la mabomu).kwa hali hiyo tukio lisilotarajiwa la bomu lile tendo la mtu kujiandaa na kulipua bomu si rahisi kuchukuliwa na waandishi au wapiga picha wa kawaida.HAPO NDIPO PICHA KUTOKA MITAMBO YA CCTV NA DVR INAPOFANYA KAZI ILI KUWEZA KUUNGANISHA MATUKIO. Capito!
 
kwani ushahidi wa dvr umesha tolewa? PART 1 ya video sio DVR. ile ni video ya kawaida tu,ya wezekana hata ni simu ya mkononi.
 
kwani ushahidi wa dvr umesha tolewa? PART 1 ya video sio DVR. ile ni video ya kawaida tu,ya wezekana hata ni simu ya mkononi.
Sure! Hata kwenye viwanja vya michezo hii technolojia ni ya kawaiada kabisa kuna kuwa na multiple reccording na single recording. Hata zidane alipompiga mtu kichwa kwa kamera ya kwenye TV haikuonyesha mojakwamoja lakini ilikuwa recorded na multiple camera.
 
Baada ya Mh.Mwigulu Nchemba kufichua namna CHADEMA walivyomuandaa video cameraman wa kurekodi tukio zima la bomu arusha.
Chadema wamekuja na DVR na CCTV.Kwanini wamekuja na kauli hii baada ya mwigulu?
Ni wazi Mh.mwigulu ametegea mbinu yao ndogo sana sasa wamechanganyikiwa.
Mitambo ya DVR na CCTV huwa haizunguki kuchukua tukio ina focal point moja tu.
DVR ya chadema inamikono inazunguka waliko watu,ikaona bomu ikalifuata lilipotua,ikamkimbilia mbowe alipo..ikarudi kwenye damu.
Uongo mliumbiwa

anyway kila mtu ana maono yake but uwe makini unapotoa maoni yako maana wote sio wapumbavu wa kufikiri na kunyumbulisha unachoandika
 
naona sijui ulilala wapi jana maana umekurupuka tu. Mfano wa kamera ni picha hapo chini halafu angalia specification zake.

956_l.jpg



Product Summary




UKISHAFUNGA HIYO KAMERA YAKO AMBAYO ANGALIA BLOCK DIAGRAM HAPO CHINI NINI KINAFUATA MPAKA KUKUTANA NA DVR

EXTRA INFORMATION




Wireless-12GHz-13-380TVL-spy-Camera-Transmitter-with-Receiver-Set802_600x600.jpg

What are wireless cameras?

Wireless cameras are basically described as a wireless transmitter carrying a camera signal. The Camera is wired to a wireless transmitter and the signal travels between the camera and the receiver. This works much like radio. The sound you hear on a radio is transmitted wirelessly and you tune to a certain frequency and hear the sound. Wireless cameras have a channel also. The receiver has channels to tune in and then you get the picture. The wireless camera picture is sent by the transmitter the receiver collects this signal and outputs it to your Computer OR TV Monitor depending on the receiver type.

The wireless Camera / Transmitter.The Camera sees the image, the camera then provides the video to the transmitter, then the transmitter sends the wireless signal to the receiver. There are many types of wireless cameras. You can make most any camera wireless by adding a wireless transmitter and receiver. The camera and transmitter require power. The power is provided by battery and/ or transformer / adapter. The complete (Diagram 1) wiring for the wireless camera and transmitter end follows.
wireless-camera-wireless-1.gif

As you can see (by Diagram 1), the camera and transmitter both need power. The camera sees an image, and sends it to the transmitter, and the transmitter sends the signal out to the air. The receiver picks up the signal and outputs it to a TV / Computer /
Digital Video recorder (DVR). This is a basic diagram. Many wireless cameras and transmitters are very small and the power is provided to both from one source. A good example of this is a hidden wireless camera. IE: A clock radio wireless camera is powered by plugging in the clock. The camera and wireless transmitter are provided power by the clock radio internally.
wireless-camera-wireless-2.gif

The ReceiverA wireless receiver has only one function. After the camera and wireless transmitters have provided the wireless video signal the receiver collects this signal and routes it the Monitor, TV, VCR, DVR or PC (or alternative recording or viewing device). See diagram 2.
As you can see in Diagram 2 the receiver accepts the wireless transmitters signal and then out puts it to your TV, VCR, Monitor or PC. The receiver needs only power and a Device to view and or record the Signal / Video.

Video Transmitters / ReceiversVideo Transmitters can be obtained separate from cameras. If you have a wired camera now you can turn it into wireless by adding a transmitter and receiver. Instead of the wire from the camera to the recording device or monitor the wireless signal will send the video. Again you will need to provide power to the camera and the transmitter. Most transmitters and receivers are sold as a package but some are not. Be sure to check with the supplier.


MUHIMU:

Ukitaka kupata view nyuzi 360 unatumia spy camera maalumu zijulikanazo kama "FISHEYE CAMERA"




 
Mkuu sijamuelewa hiyo DRV. Kama ni hiyo nadhani hata chadema hawaijui. Chadema walitumia DVR ambayo mtambo unakuwa upo mahali, lakini kifaa kinachorekodi ndiyo inawekwa sehemu ambayo inaweza kurekodi matukio kwa pande zote yaani round 360 degrees. Nashangaa kuna watu wanabisha kuwa mtambo unazunguka. Si kweli kwamba mtambo unazunguka, bali una stead mahali ambapo unachukua matukio. Camera zipo zinazonasa matukio pande zote. Tembeleeni banks au shopping malls mtaona.

Mkuu, hata Migodini hapahapa Tanzania zipo. Huyo anaebisha ni "mbulula ndani ya ccm"...
 
Mwigulu nchemba amerusha jiwe gizani..wanakimbizana
mchange kajiunga ccm kimyakimya!!!tulijua mapambano hawayawezi watoto wenye tamaa kama nyinyi,subirini mpigwe mj.e.n.go na mwigulu,jamaa bedui lile.
 
Elimu, uelewa, ulimbukeni au ni nini? ina maana huyu mleta mada hajui round ya 90, 180, 270,360 ?? Hujui security camera inavyofanya kazi. Hapa si darasani kama ulikimbia umande rudi darasani usiogope, elimu ni bahari
 
Ikidhihirika bila shaka kwamba viongozi wa chadema/ccm walipanga na kulipua bomu kisha kuua watu wasikuwa na hatia ilimradi wao wapate umaarufu wa kisiasa wanatakiwa wahukumiwe kunyongwa mpaka wafe.
 
DRV ndiyo nini?
Nenda shule kwanza acha kujiaibisha mpumbavu kweli

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Msamehe mkuu, alidesa vibaya! Si unajua wabongo wengi shule ya kuungaunga, upstairs zero ila ushabiki mwingi.
 
JIBUNI HAPO HIYO MITAMBO YA CHADEMA INAMIKONO?
YAANI INAAONESHA WATU WALIPO,BAADA YA MUDA INAGUNDUA BOMU LIMELIPUKA HAPA NA INAFUATA HAPO.
INAACHANA BA BOMU HARAKAHARAKA INAMTAFUTA MBOWE NA LEMA ALIPO INAWAONESHA
HARAKAHARAKA INARUDI KWENYE DAMU ZA WATU WAOLIPUKIWA
Watanzania si wajinga kiasi hicho.

Ndio maana mnaambiwa "shule kwanza-ndio ujadili" hata hamjui kwamba siku hizo za dinia ya utandawazi tahadhari zinachukuliwa kwa kuwa na video recording facilities....ili kurecord tukio husika na kama yatatokeo mengine ya record diwe, na mengine km hayo ya Mwigulu ..,, nashangaa unajitoa akili kutojua nini maana ya ku record tukio kubwa la mkutano wa CDM nitabia ya CDM kuwa kumbukumbu ya mikutano yake na hata katika sakata la wanafunzi Arusha lililomtia ndani Lema lilirecod iwa mbona Mwigulu hakuibuka na kusema lilipangwa au bomu la New York camera zilikuwepo inamaana walioweka kamera hizo walijua!

Wana JF kuweni waerevu ili tulijenge taifa....kwa maoni yakonifu
 
Ushamba huu ndo maana mlipanga kulipua watu mkijua hamuwezi kuonekana! Sasa hamuanini kilichowatokea wachawi wakubwa nyie! Mmebaki kumsikiliza mwigulu aliyewahadaa kuwa teknolojia h¨ªi haipo! Kumbe naye mbulula, ni mpenda sifa yule hajui lolote. Za mwizi arobaini mwambieni Rais aunde tume ya majaji muone sio Polisi ambao hata mauaji ya Mwangosi walisema Polisi haihusiki wakati amefia miguuni pao
 
Ushamba huu ndo maana mlipanga kulipua watu mkijua hamuwezi kuonekana! Sasa hamuanini kilichowatokea wachawi wakubwa nyie! Mmebaki kumsikiliza mwigulu aliyewahadaa kuwa teknolojia h¨ªi haipo! Kumbe naye mbulula, ni mpenda sifa yule hajui lolote. Za mwizi arobaini mwambieni Rais aunde tume ya majaji muone sio Polisi ambao hata mauaji ya Mwangosi walisema Polisi haihusiki wakati amefia miguuni pao

Kama Mwigulu anaaminika hivyo kwa wanaCCM wamteue awe mgombea urais 2015....!
 
JIBUNI HAPO HIYO MITAMBO YA CHADEMA INAMIKONO?
YAANI INAAONESHA WATU WALIPO,BAADA YA MUDA INAGUNDUA BOMU LIMELIPUKA HAPA NA INAFUATA HAPO.
INAACHANA BA BOMU HARAKAHARAKA INAMTAFUTA MBOWE NA LEMA ALIPO INAWAONESHA
HARAKAHARAKA INARUDI KWENYE DAMU ZA WATU WAOLIPUKIWA
Watanzania si wajinga kiasi hicho.

Ninahisi hujui cctv inavyofanya kazi, ni mara chache sana cctv system kutumia camera moja.
Key issue sio tukio lilirekodiwa vipi, ila ni nani aliyelipua bomu.
 
Ww si ndio msomi.Haya umeleta utetezi wako kama ulivyotumwa na Mbowe .
Haya Tueleze CCTV na Hiyo mitambo ya DRV ya CHADEMA inamikono?
Yaani inamfuata mbowe alipo..inahama inamfuata lema alipo..inamfuata marehemu alipo..inaondoka na kwenda kwenye damu zilipo.
Hiyo mitambo niya mbao?
HUUU UONGO UMEPITILIZA SASA NDUGU YANGU'MMENASA KWA MWIGULU HAWAACHII

Mtambo huo uwe na mikono, usiwe nayo, bado sio jambo la msingi, NANI ALIYEFUATA BOMU CHINA NA KUFANIKISHA ULIPUAJI????? Ndio swali lilopaswa kuulizwa na kujibiwa.
 
Mwiguluneti nepi na magamba yote yatashindwa tu.............hapa tumewakamata.....km w/mkuu wenu kaamuluhadharanai kuuwa raia unadhani huko gizani huwa mnaongea nini kuhusu wananchi?
 
Back
Top Bottom