Mwigulu Nchemba nusura azichape na Msigwa leo

Status
Not open for further replies.
Nyie mende hebu punguzeni bangi bana,,,,, msigwa yeye kanisani kwake msaidizi wake ni pusha

Hata Ghadafi aliwaita wananchi wake mende ila alichokipata anajua yeye na muumba wake. Siku hiyo hapa kwetu itafika lazima tuwachome vijiti matakoni ***** zenu. Na hivyi mlivyonona makalio kutokana na ulafi wa kodi zetu walah mtaenjoy
 
Ahsante kwa taarifa ya moto moto.

Nadhani Mwigulu amburuze mahakamani kwa kuwa hawakuwa bungeni ambako kuna kinga. Hata ningekuwa mimi ningemukwida.

Kwa maana hiyo Msigwa anataka kutuambia kwamba Mwigulu ndoiye aliyesababisha mauaji huko Arusha?

Unauliza jibu..!??
 
Mwigulu kapapaswa tu kalio anataka arushe ngumi na bado.
 
Ahsante kwa taarifa ya moto moto.

Nadhani Mwigulu amburuze mahakamani kwa kuwa hawakuwa bungeni ambako kuna kinga. Hata ningekuwa mimi ningemukwida.

Kwa maana hiyo Msigwa anataka kutuambia kwamba Mwigulu ndoiye aliyesababisha mauaji huko Arusha?

Soma uzi huu vizuri. Hakuna mahali palipo mtaja Mwigulu kwamba kaua Arusha. Mwigulu NAFSI INAMSUTA, kwa sababu anajua alicho lifanya.

Na dhambi hiyo ya mauaji itamuandama hadi yote aliyo yafanya akiwa gizani yadhihirike kwenye mwanga. Na huo ni mwanzo tu, ataendelea hivyo hadi ijulikane wazi.
 
kweli bunge litarejea jumatatu, naona likizo ya spika imeisha sasa. walijiona wapo kwenye chama kimoja.
 
Katika tukio lililotokea leo kwenye ukumbi wa St.Gasper Dodoma ambako wabunge wote wapo kwenye semina ya masuala ya ukimwi ambayo inaendelea kumetokea mtifuano na nusura Mwigulu arushe ngumi baada ya Mch.Msigwa kumuita kuwa ni muuaji na hivyo atubu kutokana na damu za watoto wadogo na wakina mama wa Arusha ambao amekatiza maisha yao kwa sababu ya ukatili ambao hauwezi kuendelea kuvumiliwa kamwe.

Tukio hili lilifuatia baada ya wabunge wa Chadema ambao wameanza kurejea Dodoma kwenye Semina hiyo walipokuwa wakiwaambia wabunge wa CCM kuwa Bunge linarejea jumatatu kwani sasa limeshamaliza kukaaa kama kamati ya matumizi , hivyo litarejea kwani wabunge wa Chadema watakuwepo hali iliyozidisha hasira za wabunge hao ambao wengi wanaonekana kuwa na hang over za jana ktk kumuaga Sitta.

Mwigulu alinyanyuka kwenye kiti na kumfuata Msigwa na kumshika kifuani ila wabunge wenzake walienda kuamulia ugomvi huo na hali bado iko tete, semina inaendelea .

faida za kuwa Jf ni kupata habari za moto moto.

TUANGALIE HII VIDEO JAMANI
VIDEO NZIMA YA MKUTANO WA CHADEMA AMBAYO ILIAHIDIWA KUWEKWA MTANDAONI - FAHARI YA KUSINI MWA TANZANIA
 
Haya si mnajifanya mazibu? Ingieni barabani ndio mtajua Pinda alimaanisha au la?

Hakuna mtanzania anayeiogopa tena ccm leo, wamepoteza uwezo wa kuongoza wametumia vitisho navyo vimekwama sasa wataanza kukimbia wao....
 
jumatatu bunge litalipuka upya.
magamba wakae chonjo wabunge wa chadema wamejipanga kisawasawa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom