Mwigulu Nchemba nusura azichape na Msigwa leo

Status
Not open for further replies.
Mchungaji wa Nguruwe bwana matatizo kila kukicha kweli sifa za chadomo lazima uwe na akili fupi
Wee jamaa ni wa ajabu sana. Ukija JF, unaiponda CHADEMA kama nini, halafu tukikutana mtaani unajifanya unaiunga mkono na kuisifia. Upo kwa ajili ya kazi maalumu nini? Ni upande upi unademonstrate ukweli wako halisi; hapa jukwaani au tunapokutana physically. Wapi hasa imani yako halisi ilipo?
 
[/SIZE said:
Kaka Mtenga;6652738]

KWANI ULIKUWA NA MPANGO WA KUOLEWA NA MSIGWA? MLIBERALI TIPICAL SHAME ON YOU


Kaka Mtenga Jazba na kejeli za nini mate , Try to relax, and drink something cool, as you sound delirious.' & yeh namchukia mchungaji msigwa .. VIPI DO YOU HAVE ANY PROBLEM WITH THAT ..???
 
Ahsante kwa taarifa ya moto moto.

Nadhani Mwigulu amburuze mahakamani kwa kuwa hawakuwa bungeni ambako kuna kinga. Hata ningekuwa mimi ningemukwida.

Kwa maana hiyo Msigwa anataka kutuambia kwamba Mwigulu ndoiye aliyesababisha mauaji huko Arusha?

Umeuliza swali au umeutoa jibu...?
 
Katika tukio lililotokea leo kwenye ukumbi wa St.Gasper Dodoma ambako wabunge wote wapo kwenye semina ya masuala ya ukimwi ambayo inaendelea kumetokea mtifuano na nusura Mwigulu arushe ngumi baada ya Mch.Msigwa kumuita kuwa ni muuaji na hivyo atubu kutokana na damu za watoto wadogo na wakina mama wa Arusha ambao amekatiza maisha yao kwa sababu ya ukatili ambao hauwezi kuendelea kuvumiliwa kamwe.

Tukio hili lilifuatia baada ya wabunge wa CHADEMA ambao wameanza kurejea Dodoma kwenye Semina hiyo walipokuwa wakiwaambia wabunge wa CCM kuwa Bunge linarejea jumatatu kwani sasa limeshamaliza kukaaa kama kamati ya matumizi , hivyo litarejea kwani wabunge wa CHADEMA watakuwepo hali iliyozidisha hasira za wabunge hao ambao wengi wanaonekana kuwa na hang over za jana ktk kumuaga Sitta.

Mwigulu alinyanyuka kwenye kiti na kumfuata Msigwa na kumshika kifuani ila wabunge wenzake walienda kuamulia ugomvi huo na hali bado iko tete, semina inaendelea .

faida za kuwa JF ni kupata habari za moto moto.
Ukweli unauma hadi anataka kurusha ngumi,weka mbali ccm na watoto...
 
Damu iliyomwagwa na CCM hapa SOWETO ni laana kwa vizazi vyote vya wanaccm walioshiriki mauaji haya na wanaotetea mauji haya.

cc to Mwigulu Nchemba
 
Last edited by a moderator:
sijui huyu jamaa uwezo wake wa kufikiri ukoje....!! nchemba anafanya juhudi kubwa kuizika ccm hata kabla ya 2015, ongela yake aisee
 
Ahsante kwa taarifa ya moto moto.

Nadhani Mwigulu amburuze mahakamani kwa kuwa hawakuwa bungeni ambako kuna kinga. Hata ningekuwa mimi ningemukwida.

Kwa maana hiyo Msigwa anataka kutuambia kwamba Mwigulu ndoiye aliyesababisha mauaji huko Arusha?

Mbulula wewe kwani ni Mtanzania gani wa dunia ya leo utamficha kuwa Nchemba si muuaji kwenda zako!
 
Mie nilidhani habari ya maana kumbe ya hao mapunguani Chadema.. Aaah mmenipotezea muda wangu.
 
ccm sasa ni 'Piga Tu', juzi Nkamia kataka kumpiga mbunge mwanamama wa viti maalum wa CUF Moza Abeid.

Leo Mwigulu anataka kumpiga Mch. Msigwa wa CDM.

Maji marefu, hawana pa kutokea, wameshikwa nyeti!!!
 
Amshukuru Mungu Lema hayuko Dodoma maana kingenuka angepewa nako za kutosha.
Chezea jembe la A-town wewe.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom