Mwigulu Nchemba ni kiboko ya chadema; afanya kufuru Songea.

Jana Naibu katibu mkuu wa ccm Mwigulu Nchemba amekabidhi kadi za ccm kwa wanafunzi 200 wa vyuo vikuu Songea, amewapokea wanachama watatu walioihama chadema na kujiunga na ccm.
- Slaa ni mwongo kwa kusema kuwa bomba la gesi linajengwa kuelekea Ulaya.
- Chadema wanapewa fedha na wafadhili wasioitakia mema nchi hii. Amesema kama chadema imekosa fedha za kuitishia kikao cha halmashauri kuu, wamepata wapi fedha za kukodi chopper mil. 40 kwa siku?.
-Ameelezea sababu ya ccm na watanzania wengi kutaka muungano wa serikali mbili kuwa ndiyo muungano wenye maslahi ya taifa. Ametoboa ukweli wa msimamo wa vyama vya upinzani kutaka serikali tatu kuwa ni kutaka muungano uvunjike kwasababu ya uroho wa madaraka. Amesema, ukiondoa ccm, vyama vingine havina sura ya muungano hivyo vinataka muungano uvunjike vikidhani vitatawala kirahisi kwenye vipande vya muungano.
-Ameichana chadema live kuwa mtaji wa chama hicho ni matatizo ya watanzania. Amesema chadema hupenda kuona mambo yakienda mlama ili wapate ajenda ya kuzungumza. Alisema kuwa wamezoea kuwaandamanisha watanzania wakati watoto wao wanawaficha majumbani.

-Viongozi wa chadema wanahongwa majumba Ulaya na mabwana zao wa magharibi ili kuleta machafuko ndani ya nchi. Alisema kuwa tangu maandamano na mikutano ya chadema imeanza watanzania zaidi ya 10 wamepoteza maisha kwa kuwatoa sadaka na kusingizia jeshi la polisi.

- Alipongeza hekima na busara za Rais Kikwete kuwa pamoja na chokochoko za upinzani wanazotumwa na mabwana zao kuzifanya ili kuivuruga nchi, bado amewapiga bao. Ametolea mfano wa katiba mpya akisema anashindwa kuwaelewa wapinzani ambao waliahidi katiba mpya kwa muda wa siku mia na wengine wakasema tayari wanayo rasimu mfukoni, leo wanasema muda uliotengwa na serikali ni mdogo!.

-Alisema kuwa ccm imebaini janja ya upinzani na hasa chadema kuwa kelele zoooooote si chochote bali ni kutaka nchi ivurugike, uroho wa madaraka na rasilimali za nchi kwa kutumiwa na mabwana zao.

Alisema kuwa iwe muungano wa serikali moja, mbili, tatu ama nne, chadema ilishapigwa bao siku nyiiiiingi!

Siasa, kwa sie tusioegemea mrengo wowote ina mambo mengi sana tena ya ajabu! Mfano mdogo tu ni huu uzi, kwa nini huyo mh. alietajwa awe kiboko kwa chama kimoja tu tena ambacho kinanguvu kwa sasa, kwa nini asiwe kiboko kwa UDP, NCCR, CUF na vingine! Hapa mimi ndo siasa naona inakuwa Si Hasa!
 
Ukimwacha zitto kabwe hakuna kiongozi mwingine wa chadema ambaye anaweza kufika uwezo wa kiakili wa mwigulu hata mmoja hata robo ya akili tu.
watu kama wewe ndiyo mliochangia kumharibu Zitto hadi leo mmefanikiwa kumuangamiza. Huyu Mwigullu hayo aliyoongea hapo juu ya mchangi gani kwenye kushusha deni la raifa? Bado hajawezakutofautisha nafasi zake, endeleeni kushabikua propaganda na nwishi wa siku nchi inawafia mikononi
 
Kusema kweli hotuba ya Nchemba iliwakuna wengi ambao walionekana kugutushwa na ukweli ambao walikuwa hawaujui. Kila alipokuwa akiumwaga ukweli huo, ilisikika sauti ya mshangao kutoka kwa watu..... alaaaa kumbe! Kiukweli wanasongea wameielewa chadema na malengo yake nyuma ya pazia.

Weka PICHA. Acha kubwabwaja maneno.
 
Usipende kudanganywa na picha. Ndiyo maana watu humu wanaweka picha za 2010 ili muamini wasemayo. Kama una source Songea ulizia atakuthibitishia au kama wewe mwenyewe ulikuwepo basi ni dhahiri unathibitisha niyasemayo.

Weka video
 
.
Huyu jamaa mwigulu ana kiwango kikubwa cha ukichaa kichwani mwake.
Sijaweza hadi leo kumtofautisha na Savimbi ama osama toka aandae mipango ya kurusha bomu kwa wananchi wasio hatia kanisani Olisati na kwenye mkutano wa hadhara Arusha.
.
kama mwiguli ni kichaa slaa,lisu na wenzake watakuwa nini?
 
Jana Naibu katibu mkuu wa ccm Mwigulu Nchemba amekabidhi kadi za ccm kwa wanafunzi 200 wa vyuo vikuu Songea, amewapokea wanachama watatu walioihama chadema na kujiunga na ccm.
- Slaa ni mwongo kwa kusema kuwa bomba la gesi linajengwa kuelekea Ulaya.
- Chadema wanapewa fedha na wafadhili wasioitakia mema nchi hii. Amesema kama chadema imekosa fedha za kuitishia kikao cha halmashauri kuu, wamepata wapi fedha za kukodi chopper mil. 40 kwa siku?.
-Ameelezea sababu ya ccm na watanzania wengi kutaka muungano wa serikali mbili kuwa ndiyo muungano wenye maslahi ya taifa. Ametoboa ukweli wa msimamo wa vyama vya upinzani kutaka serikali tatu kuwa ni kutaka muungano uvunjike kwasababu ya uroho wa madaraka. Amesema, ukiondoa ccm, vyama vingine havina sura ya muungano hivyo vinataka muungano uvunjike vikidhani vitatawala kirahisi kwenye vipande vya muungano.
-Ameichana chadema live kuwa mtaji wa chama hicho ni matatizo ya watanzania. Amesema chadema hupenda kuona mambo yakienda mlama ili wapate ajenda ya kuzungumza. Alisema kuwa wamezoea kuwaandamanisha watanzania wakati watoto wao wanawaficha majumbani.

-Viongozi wa chadema wanahongwa majumba Ulaya na mabwana zao wa magharibi ili kuleta machafuko ndani ya nchi. Alisema kuwa tangu maandamano na mikutano ya chadema imeanza watanzania zaidi ya 10 wamepoteza maisha kwa kuwatoa sadaka na kusingizia jeshi la polisi.

- Alipongeza hekima na busara za Rais Kikwete kuwa pamoja na chokochoko za upinzani wanazotumwa na mabwana zao kuzifanya ili kuivuruga nchi, bado amewapiga bao. Ametolea mfano wa katiba mpya akisema anashindwa kuwaelewa wapinzani ambao waliahidi katiba mpya kwa muda wa siku mia na wengine wakasema tayari wanayo rasimu mfukoni, leo wanasema muda uliotengwa na serikali ni mdogo!.

-Alisema kuwa ccm imebaini janja ya upinzani na hasa chadema kuwa kelele zoooooote si chochote bali ni kutaka nchi ivurugike, uroho wa madaraka na rasilimali za nchi kwa kutumiwa na mabwana zao.

Alisema kuwa iwe muungano wa serikali moja, mbili, tatu ama nne, chadema ilishapigwa bao siku nyiiiiingi!

Hivi huyu chizi aliyekodisha mamluki na kusababisha mauaji kule kijiji cha Ndago bado ana ujasiri wa kuongelea juu ya machafuko?

Ni lini CHADEMA kilisema kitaleta katiba mpya ndani ya siku 100?
 
aibu sana waziri wa wizara nyeti kutwa yupo kwenye majukwaa..nch ya tanzania chini ya ccm ni zaidi ya komedi, ni bora waziri asiwe mwanasiasa, aajiriwe na utumishi.
 
Hivi huyu chizi aliyekodisha mamluki na kusababisha mauaji kule kijiji cha Ndago bado ana ujasiri wa kuongelea juu ya machafuko?

Ni lini CHADEMA kilisema kitaleta katiba mpya ndani ya siku 100?

Ben acha kujifanya msahaulifu hivyo. Ni 2010 wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mzee wa gongo Slaa alisema kuwa katiba mpya ingepatikana ndani ya siku mia moja kama angeingia ikulu. Lipumba nae akatuambia kuwa yeye alikuwa na rasimu tayari.
 
Unataka asiiseme chadema??

wakati chadema hao ndo waongo na ndo wanaoivuruga nchi,akili yako inahitaji uchunguzi wa kina kama unashindwa kung'amua vitu vidogo kama hivi.

labda ukitoa ufafanuzi chadema inaivurugaje nchi kidogo ungeonekana mtu lakini kulalama bila maelezo ya kutosha , bado utakuwa mbwa tu.
 
Ben acha kujifanya msahaulifu hivyo. Ni 2010 wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mzee wa gongo Slaa alisema kuwa katiba mpya ingepatikana ndani ya siku mia moja kama angeingia ikulu. Lipumba nae akatuambia kuwa yeye alikuwa na rasimu tayari.

kuwa mwana ccm lazima ywe huuna timamu kama wewe,,kwa hakika umekidhi viwango.
 
Kusema kweli hotuba ya Nchemba iliwakuna wengi ambao walionekana kugutushwa na ukweli ambao walikuwa hawaujui. Kila alipokuwa akiumwaga ukweli huo, ilisikika sauti ya mshangao kutoka kwa watu..... alaaaa kumbe! Kiukweli wanasongea wameielewa chadema na malengo yake nyuma ya pazia.

kama haya ni kwel bas wanaccm wa songea ni zaid ya vilaza, yakowapi majb ya matatz ya wanasongea, taifa linakabiliw na deni furushi,ipo wap soln? et wazir wa fedha...
mmendekeza siasa hata matatz ya wananch mmetuachia
 
Naibu waziri wa Fedha na Mchumi daraja la kwanza akiwa kazini kurekebisha uchumi huko Songea.........tuna safari ndefu sana ya kutoka hapa tulipo,maana kinachoonekana sio CCM kueneza Sera zao bali ni kwenda kujibu kila wanachosema CDM.
 
Jana Naibu katibu mkuu wa ccm Mwigulu Nchemba amekabidhi kadi za ccm kwa wanafunzi 200 wa vyuo vikuu Songea, amewapokea wanachama watatu walioihama chadema na kujiunga na ccm.
- Slaa ni mwongo kwa kusema kuwa bomba la gesi linajengwa kuelekea Ulaya.
- Chadema wanapewa fedha na wafadhili wasioitakia mema nchi hii. Amesema kama chadema imekosa fedha za kuitishia kikao cha halmashauri kuu, wamepata wapi fedha za kukodi chopper mil. 40 kwa siku?.
-Ameelezea sababu ya ccm na watanzania wengi kutaka muungano wa serikali mbili kuwa ndiyo muungano wenye maslahi ya taifa. Ametoboa ukweli wa msimamo wa vyama vya upinzani kutaka serikali tatu kuwa ni kutaka muungano uvunjike kwasababu ya uroho wa madaraka. Amesema, ukiondoa ccm, vyama vingine havina sura ya muungano hivyo vinataka muungano uvunjike vikidhani vitatawala kirahisi kwenye vipande vya muungano.
-Ameichana chadema live kuwa mtaji wa chama hicho ni matatizo ya watanzania. Amesema chadema hupenda kuona mambo yakienda mlama ili wapate ajenda ya kuzungumza. Alisema kuwa wamezoea kuwaandamanisha watanzania wakati watoto wao wanawaficha majumbani.

-Viongozi wa chadema wanahongwa majumba Ulaya na mabwana zao wa magharibi ili kuleta machafuko ndani ya nchi. Alisema kuwa tangu maandamano na mikutano ya chadema imeanza watanzania zaidi ya 10 wamepoteza maisha kwa kuwatoa sadaka na kusingizia jeshi la polisi.

- Alipongeza hekima na busara za Rais Kikwete kuwa pamoja na chokochoko za upinzani wanazotumwa na mabwana zao kuzifanya ili kuivuruga nchi, bado amewapiga bao. Ametolea mfano wa katiba mpya akisema anashindwa kuwaelewa wapinzani ambao waliahidi katiba mpya kwa muda wa siku mia na wengine wakasema tayari wanayo rasimu mfukoni, leo wanasema muda uliotengwa na serikali ni mdogo!.

-Alisema kuwa ccm imebaini janja ya upinzani na hasa chadema kuwa kelele zoooooote si chochote bali ni kutaka nchi ivurugike, uroho wa madaraka na rasilimali za nchi kwa kutumiwa na mabwana zao.

Alisema kuwa iwe muungano wa serikali moja, mbili, tatu ama nne, chadema ilishapigwa bao siku nyiiiiingi!

nlifikiri angeongelea namna ya kuishawish tanesco iwapunguzie gharama wananchi ,kumbe ulikuwa mkutano wa kuichambua chadema!? Kweli chadema inawanyima usingizi magamba,lazima mkae mjusi nyie.
 
Back
Top Bottom