Mwigulu Nchemba: Mbowe anamlipia mtoto wake chekechea tu dola 15.000 kwa mwaka

Status
Not open for further replies.
Analipa wapi huko? Kumbuka umaskini unavyowalazimisha baadhi yetu kukubali matumizi makubwa ili eti waonekane wa maana. Sijui tangu lini mtu wa maana akawa na matumizi makubwa.

Analipa wapi? nchi gani? usikubali analosimuliwa. Kama kuna mtu anamchaji hivyo basi huyo Mkira wa ajabu! Au kahamishia maisha ya mtoto shuleni?

kwanza kabisa sikuelewa hamukunisoma vizuri au kwa kuwa nimeandika kwa haraka SIKUBALIANI NA MBOWE KULIPA HAYO MAMILIONI KWA AJILI YA MTOTO WAKE! ILA NIMAWALAUMU CCM KUWA GHARAMA ZA ELIMU ZIKO JUU SANA KWA MTU ASIE NA UWEZO! MIE NIMESEMA NA NDIO UKWELI KUWA NINALIPA PAYE KILA MWEZI 850,000/= ILA KINACHONIUMA NI KUWA ILI MTOTO WANGU ASOME ELIMU BORA BADO NITATAKIWA KULIPA ZAIDI YA MILION TENA KILA MWAKA CHEKECHEA AU PRIMARY NZURI! NA PIA NINALIPA 70000 ZA BIMA YA AFYA!! hivyo basi message yangu kwa ccm ni kuwa KUSANYENI KODI NA BORESHENI HUDUMA ZA JAMII!! ILA MBOE SIAMNI KAMA ANALIPA HIZO HELA KWA MWEZI NINADHANI KUNA EXXAGERATION KUBWA AU LABDA Anasomesha UK? na kama ni kweli ajiangalie na kujiluliza na KUTAFAKARI! ila ukwleli ni mfumo mbovu wa ccm wa kutotumia kodo vizuri unasababisha watanzania wengi wapate taabu wengine wanalipa laki sita kila muhulua na ipo mihula mitatu wakati huo huo unakuta mtu huyo mshahara wake haufiki milioni mbili kwa mwaka so what do you expect?! it is high time CCM must go haitajirekebisha! you can not teach the OLD DOG NEW TRICKS ZA KUSAIDIA WATANZANIA, START WITH THE YOUNG DOG CHADEMA?
 
Mapenzi yenu kwa chama yasiwafanye kuwa vipofu, 20 M kwa chekechea kwa mwaka tena TZ ni pesa nyingi sana, kwa mtu anayedai kuwatetea watanzania
mwambie huyo aliyedai mbowe ni fisadi alete viambatanisho maana mafisadi wote ninaowajua mie wamedhibitishwa kwa nyaraka.
 
Wewe kiboko mkuu unamlipia mtoto wako 850000 kwa mwezi, kwa mwaka unalipa 1020000 shule gani mkuu wangu?

mkuu hukunisoma vizuri sina huo uwezo ila nimesema PAYE(ILE KODI YA MSHAHARA WANGU KWA SERIKALI NI 850000/= ila tu LABDA NIPEONGEZE TU KUWA NINALIPA KODI YA MIL KUMI KILA MWAKA KWA NCHI YANGU! BALI SIRIDHIKI NA JINSI ZINAVYOTUMIKA USIJE KUTA NDIZO AKINA NAPE WANATUMIA KWENYE MAJUKWA KUFANYA USANIII kwa kuwa CCM IMEPOKEA RUZUKU YA BILION MOJA KILA MWEZI!! NA PA KUZITUMIA NI KUPIGA TARUMBETA! IKIFE MAHALI RUUZUKU ZA VYAMA HASA CHAMA TAWALA ZEINDE KATIKA MAEMDELO YA JAMII! sikubaliani na mbowe kulipa hiyo hela kwa mwezi ila kwa mwaka inaweza kuwa sawa!
 
Mapenzi yenu kwa chama yasiwafanye kuwa vipofu, 20 M kwa chekechea kwa mwaka tena TZ ni pesa nyingi sana, kwa mtu anayedai kuwatetea watanzania

Wewe ndo una akili ya kushikiwa sasa unatafuta hela kwa jasho lako kwaajili yanani kama si matumizi yako binafsi. Tunachowashangaa nyie CCM mpaka leo hamjui mnacholalamikiwa naona tunabishana na empty mind.

Kwani unajibidiisha ili ugawie wengine? Mali za Mbowe ni zake ila za EL, Chenge na wengine wengi plus kitambi cha Nape ni jasho letu ndo maana tunawalalamikia mbona akili matope?
 
mitoto ya wana CCM inasomeshwa kwa kodi zetu wanazoiba halafu mwisho mtoto anakuwa ushuzi kama William Malecela

Nayeye ppia ana digirii na ajira anayoona inaifaa ni kuifungulia blog ya kidaku ili apate ada za matangazo kweli matope
 
Kama kweli hunamjua vizuri Mbowe na jamaa yako kasoma wapi University?

Do you know what you ask???? Kamuulize Mwigulu alikosoma PhD yake ambayo inakuaminisha kwakila anachoongea. Wewe shinda hapa JF 24/7 alafu Mbowe anajishughulisha na miradi yake akianza kula bata nyie makuku mnanuna khaaaaaa
 
Nijuavyo mimi Mbowe hana mtoto wa kusoma chekechea. Labda kama yupo wa pembeni. Mwigulu acha uwongo.
 
Wanabodi.

Mbunge wa Iramba na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Mwigulu Nchemba, leo kwenye Mkutano wa CCM Morogoro, akihutubia Wananchi kasema Mbowe anasema anataka kuwakomboa masikini na kulalamika viongozi wa CCM wanasomesha watoto wao nje ya nchi kwa pesa nyingi wakati yeye Mbowe, anamlipia chekechea tu mtoto wake dola 15,000 kwa mwaka zaidi ya milioni 20.

SOURCE: HABARI STAR TV

Ccm kweli itajengwa na wanaofikiria kwa kutumia masaburi, wameshindwa ki sera sasa wameanza character assasination, hivi hawa Njegele huwa wanakaa na kufikiri kwa kina kabla hawajaropoka? je wanaamini kwamba hicho ndo ambacho waTz wanataka kusikia? Ccm acheni siasa za kizamani,dunia imebadilika,waTz wameelimika,wanataka wasikie unawasaidieje kujitoa katika hali ngumu hii.Jipangeni
 
Ni vizuri akataja huyo mtoto anasoma shule gani, na mtoto wa chekechea analipiwa ada kiasi gani. Vinginevyo yote ni mboyoyo! Mtu yeyote anaweza kuwaaminisha watu upumbavu wake, mfano anaweza kusema Mwanaasha analipiwa ada dola laki 5 hapa hapa bongo bila facts.

Mwigulu alisema shule yaitwa Peace of Haven iko Arusha

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ndugu kuna watu wanalipwa hiyo pesa kwa siku kumi tu za kazi sasa kama mfanyakazi anaweza lipwa hiyo pesa sembuse mfanyabiashara!!!
Huyo Ndg Nchemba anawivu wa kitoto, mimi kama mtanzania sina shida na mali zako, ila kama zimepatikana kwa kuiba mali za umma hapo ndipo moto utawaka...
 
Nadhan Huyu Mwikulu Atakuwa na upungufu Katika Uwezo Wake wa Kufikiri!! Mtu unafanya Kazi Halali, Unalipa Kodi Halali Unasaidia Wanaokuhusu kihalali! Then Unawasomesha wanao sasa alitaka afanye nini kwa Uwezo aliobarikiwa na mwenyezi Mungu? This is very poor Thinking!! Alitaka aende kwenye Mkutano wa Hadhara achukue hela halali za Jasho lake Awatupie walioko kwenye Mkutano wa Hadhara kama magamba wanavyo walipa TZS 2000 Wahudhuriaji?
 
mkuu hukunisoma vizuri sina huo uwezo ila nimesema PAYE(ILE KODI YA MSHAHARA WANGU KWA SERIKALI NI 850000/= ila tu LABDA NIPEONGEZE TU KUWA NINALIPA KODI YA MIL KUMI KILA MWAKA KWA NCHI YANGU! BALI SIRIDHIKI NA JINSI ZINAVYOTUMIKA USIJE KUTA NDIZO AKINA NAPE WANATUMIA KWENYE MAJUKWA KUFANYA USANIII kwa kuwa CCM IMEPOKEA RUZUKU YA BILION MOJA KILA MWEZI!! NA PA KUZITUMIA NI KUPIGA TARUMBETA! IKIFE MAHALI RUUZUKU ZA VYAMA HASA CHAMA TAWALA ZEINDE KATIKA MAEMDELO YA JAMII! sikubaliani na mbowe kulipa hiyo hela kwa mwezi ila kwa mwaka inaweza kuwa sawa!

Dhu yaani kodi yako wewe ni mshahara wangu wa miezi mitatu.loh

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Labda Tutoe hata mifano Mikubwa, Bill gate kajaliwa kuwa na uwezo mkubwa Kiakili na kifedha sasa Unataka watoto wake wasifaidi matunda ya Jasho la baba yao? We Mwiguli Ile printing Unit Pale Kariakoo uliyomuweka yule Binti wa Kichaga Hatusema Umeinunua Ghali!! Labda tunahisi ni Jasho lako wala Hatulalamiki!!
 
Dhu yaani kodi yako wewe ni mshahara wangu wa miezi mitatu.loh

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Vipato vya watu Vinatofautiana Hiyo sio Shida!! Kwani hata wafanyabiashara Vipato vyao Vinalingana? Kwa hiyo kama analipa Kodi Hiyo ni Haki yake Kuhoji Matumizi!!
 
Dhu yaani kodi yako wewe ni mshahara wangu wa miezi mitatu.loh

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

ndio hali yenyewe mkuu degree tatu hizo nimesota zaidi ya miaka 20 na ushehe shuleni! ila wakishachukua hiyo kodi na makato menginelabda mikopo ya benki inarudi kwenye kamilioni moja!!! masiha yanakuwa magumu kuliko kawa hasa ikizingatiwa tena unatakiwa kulipia mtoto wa chekechea zaidi mioni kwa mwaka , wa sekondari ndio usisime! ndugu zako wakugua ndio usiseme!! lakini pia si umeona kodi yangu kwa mwaka! oia ni kubwa hivyo iltakiwa kuwasidia walala hoi, kibya kodi za walala hai zinaliwa na WALALA HERI NA WATOTO WAO KUSOMESHWA ULAYA AU KUKAA HUMU JF KUENDELEA KUTUDHALILISHA!
 
Mwigulu hapa kakosea kabisa. Kimsingi logic hapa tunapaswa kujiuliza kwa nini Mbowe anamlipia mtoto wake shule kwa gharama namna hii? Je ni kwa sababu anapenda kuchezea fedha? Baada ya kujiuliza maswali haya ndipo tutakapojua kwamba huyu integrity yake ipoje.
Logic ya Mbowe kumpeleka mwanawe shula ya gharama kubwa ni kwa sababu serikali ya nyinyiem imeshindwa kuweka sera nzuri za elimu, hii ina maana kwamba shule nyingi hazina walimu. Je Mbowe ampeleke mtoto wake kwenye shule zisizo na walimu?
Mwigulu kapindisha mada, badala ya kusema nani kaifikisha nchi hapo yeye anataka kujua ulahali wa kumpeleka mtoto kwenye shule ya gharama kubwa. Hii si point kwa sababu haya na maisha binafsi ya Mbowe.
 
nilisahu kuongezea kwa sababu mshahara kwa wenye phD kuwa mizuri kidogo ndio maana likaibuka kundi la kununua phD za online ili watu waweze kupata mishahara hiyo cheza na walala HERI CCM WEEEE! KILA UPENYO WA HELA WATAJIINGIZA HUKO HIVI KUNA PHD NGAPI HUKO ZA OLNLINE!!
 
Katika uzi kama huu ndio utakapowajua CDM, yaani kama wana akili za kushikiwa, wanatetea kila jambo!

Hivi kwa akili zenu, ada kwa mwaka chekechea karibu milioni 20 useme haina shida?
Mtu anahaki ya kumsomesha mwanae hata kama katika sayari nyingine.Hapa swala la msingi si kiasi gani anamlipia swala ni jinsi gani amezipata pesa hizo.Hitoria ya Mbowe iko wazi pamoja na pesa zake,lakini kwa viongozi wa wengi wa CCM ambao hawakuwahi hata kumiliki vilabu vya pombe baada ya kuingia kwenye CCM ni mamilionea wa kutisha.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom