Mwigulu amlipua Mbowe bungeni, ni kuhusu kutumia vibaya madaraka yake na hawara

Status
Not open for further replies.
Kamanda wa anga anajifunza kwa dk.

Chama kilicho shindwa kutimiza ahadi zake kwa wapiga kura huwa kinatafuta "mahayawani" wawatetee!

Sina maji Kyela mwaka wa 3 sasa!Posho hii ya Mbowe na ndiyo zimesababisha mm ninywe maji ya tope kijijini kwangu Ipinda?
 
Hii ndiyo familia anayoisaliti Mbowe. licha ya Watanzania.


Mh Mbowe na familia yake wakiwa wamesimama kwa ajili ya kupongezwa na viongozi mbalimbali waliokuwepo kanisani hapo.
 
Je hakuna chenye mantiki hapo bungeni cha kujadili kwa ajili ya maendeleo ya wananchi. tofauti na mada hizi zisizojenga
 
Wakianza kutajiana mahawara hakuna atakaepona........mwigulu is not good for politics manake hua hana hoja yee ni mipasho tu...
 
Mambo ya mapenzi ya watu 2 kayajuaje mwigulu kama sio unafiki na upuuzi wake? mambo ya uhawara wa watu anaweza kuthibitisha?
 
Chama kilicho shindwa kutimiza ahadi zake kwa wapiga kura huwa kinatafuta "mahayawani" wawatetee!

Sina maji Kyela mwaka wa 3 sasa!Posho hii ya Mbowe na ndiyo zimesababisha mm ninywe maji ya tope kijijini kwangu Ipinda?

kama angeirudisha hazina ungepata maji! Think big you .........!
 
CCM manachokoza mkijibiwa mnaomba lugha ya ustaraabu, nakumbuka miaka ya nyuma CCM walianzisha movie eti Dr Slaa alikuwa anatembea na mke wa mtu, juzi waktengeneza mkanda fake kuhusu Lwakat, mara CDM walimwagia Tindikari mtu. Mwigulu aliwahi kusema bungeni kuwa ushahidi anao kuhusu mkanda aliouita wa ugaidi, lkn cha ajabu hajawahi kuitwa na polisi kuhojiwa, hizi siasa chafu chonde chonde mziache, kumbkukeni kwa uhuni wa huyu mwigulu Nchemba Lwaka amesota rumande muda mrefu. jamani tunaomba bunge lijadiri matatizo ya wananchi siyo maisha binafsi ya watu. kama mwiguru anaona wivu basi akazungumze nje ya bunge siyo kwa pesa zatu wananchi. Majuzi tu Mwiguru alikuwa CHINA na mke wa mtu mbona watu wamenyamanza? i hate mwigu.

Ndio linachojua kufanya the guy has no substance whatsoever
Naona akilala anaotaga vipochi manyoya
 
Dah!Kati ya watu ambao hawajielewi ni huyu Mwigulu.Hivi kweli unaweza kuanzisha vita ya mawe wakati unaishi nyumba ya vioo??Si ajabu na hili akasema ana mkanda amerekodi!
 
Inabidi alete ushahidi dhahiri kuwa Mh Joyce na Mbowe wanatoka pamoja zaidi ya hapo hii ni defamation na anapaswa kushtakiwa huyu kwa kuropoka hovyo
Ushaidi ni Mwanamke hawezi kufanya kazi na mwanaumme bila kuwa na mahusiano ya kimapenzi!

Kuna watu bado wanaamini mwanamke uwezo wake unaishia jikoni!

Inasikitisha kuona mwanamke kusafi na mwanaume ndio mjadala bungeni leo, tena kutoka kwa naibu katibu mkuu wa chama tawala..safari yetu sio fupi!!
 
Hii ndiyo familia anayoisaliti Mbowe. licha ya Watanzania.


Mh Mbowe na familia yake wakiwa wamesimama kwa ajili ya kupongezwa na viongozi mbalimbali waliokuwepo kanisani hapo.

Lilian mtei ni mwanamke mvumilivu sana. Huwa anashangaaga kuwaona watu wanamsifia mboe. Moyon husema wangejua uyu baba alivyo mnafiq
 
Lilian Mtei ni mwanamke wa shoka.Keshafanyiziwa sana tena sana.Naona atakuwa alishaamua tu basi maisha yaendelee tu.Kama ni mfugo kuchunga kachoka kaamua huo wake na uwe mfugo pori.

Nashukuru Allah Lilian hadi leo pamoja na kupitia yote hajawahi anguka chini na kufa kwa presha.Usomi nadhani wa ku-take things easy umemsaidia.Lilian kwa uadilifu anajitahidi lakini huyu mwenzie ni headache na sio siri inajulikana ndani ya familia zao na mitaani anajulikana.

Kutoka ndani ya moyo wangu nampa pole LILIAN pole sana.Wanaume wengine ni mitihani migumu.

Naona inakuuma sana kamanda wa anga hata kama amemkaza ww shida yako nn au ulitakaa ukazwe ww
 
Mheshimiwa Kapuya.jpg
 
Hii Thread Itakuwa among the top one. Sio Kwa sababu ya umuhimu ila kwa sababu... these are stuff Wabongo Tunazopenda. Viongozi Wa Dini Tuombeeni Taifa Letu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom