Mwigulu aendelea kufunika Igunga

hivi wewe umefikiri kabla ya kuandika huu ujinga wako hapa? sasa watu wa vijijini hawapigi kura? CCM haipo kwa ajili ya watu wa mijini, mikoani, wilayani, katani wala kitongojini, CCM ipo kwa ajili ya wananchi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kidumu chama cha mapinduzi kidumu daima.

kidumu cha chama cha mapinduzi kwa sasa kimetoboka sio kile cha kipindi cha mwalimu.
 
Mod wamejichanganya kuchanganya hizi nyuzi, kwani kila moja ina maudhui tofauti na nyengine.
 
Kura yoyote katika uchaguzi lengo lake ni kuwapendelea walio wengi na kuwanyonya wachache jivyo mnapochagua mbunge akapita hata wale ambao hawajamchagua wanatakiwa wakubali matokeo na kumbali kama mbunge wao mpaka pale kipindi cha uchaguzi kitapokuja tena. Kwa mtindo huu kama picha inavyojieleza ni ngumu kwa mtu wa chama kingine kushiriki kwenye mkutano huo muhimu wa mbunge wao kwani hapo mbunge amekwenda kichama zaidi na si kama mbunge kutokana na mavazi aliyovaa na ndio maana amezunguukwa na wafuasi wa chama chake. Na hili ndio tatizo kubwa kwenye nchi yetu viongozi wanapofanya ziara wanajisahau pale wamekwenda kama wawakilishi wa nchi au kiserikali kutokana na shamrashamra za mapokezi wanazopata (mapokezi yanakuwa ya kichama zaidi). kimsingi identity za kichama haipendezi kuzionyesha pale kiongozi / mbunge anapotembelea wananchi kwa shughuli za maendeo maana kwa jinsi Mwigulu alivyovaa hiyo sare hapo tafsiri ni alikwenda kwa shughuli ya kichama though alikwenda kama mbunge.
 
kidumu cha chama cha mapinduzi kwa sasa kimetoboka sio kile cha kipindi cha mwalimu.

CCM haijawai kutoboka wala kuchanika ingawa kimekumbana na purukushani nyingi sana za kisiasa za hapa nchini na hata nje ya nchi, uzoefu, uimara na uhadilifu tulionao wanachama wa chama cha mapinduzi ndio nguzo yetu ya kuimarisha viungo vyote vinavyotuunganisha na kutengeneza safu makini kabisa ya uanachama ndani ya CCM, jambo ambalo wapinzani wamelishindwa. karibuni CCM mjifunze utaifa na uzalendo ila tu, kama wewe ni muadilifu.
 
Kura yoyote katika uchaguzi lengo lake ni kuwapendelea walio wengi na kuwanyonya wachache jivyo mnapochagua mbunge akapita hata wale ambao hawajamchagua wanatakiwa wakubali matokeo na kumbali kama mbunge wao mpaka pale kipindi cha uchaguzi kitapokuja tena. Kwa mtindo huu kama picha inavyojieleza ni ngumu kwa mtu wa chama kingine kushiriki kwenye mkutano huo muhimu wa mbunge wao kwani hapo mbunge amekwenda kichama zaidi na si kama mbunge kutokana na mavazi aliyovaa na ndio maana amezunguukwa na wafuasi wa chama chake. Na hili ndio tatizo kubwa kwenye nchi yetu viongozi wanapofanya ziara wanajisahau pale wamekwenda kama wawakilishi wa nchi au kiserikali kutokana na shamrashamra za mapokezi wanazopata (mapokezi yanakuwa ya kichama zaidi). kimsingi identity za kichama haipendezi kuzionyesha pale kiongozi / mbunge anapotembelea wananchi kwa shughuli za maendeo maana kwa jinsi Mwigulu alivyovaa hiyo sare hapo tafsiri ni alikwenda kwa shughuli ya kichama though alikwenda kama mbunge.

hoja yako nyepesi sana mkuu, hao awajaenda hapo kuhamasisha wananchi washiriki katika kilimo au ufugaji, jua kwanza dhamira ya ziara ya Mhe. Mwigulu hapo Igunga kabla hujapost kwenye hii. lengo ni kwenda kueneza itikadi ya chama na kujenga imani kwa wananchi kukiamini chama cha mapinduzi, ulitaka wavae KANIKI ili ujue wapo kitaifa?
 
Observation yangu ni assumption kwamba amekwenda kama mbunge kutokana na tafsiri ya mleta huu uzi maana aliposema "Kumbe kweli majimbo mengine ni ya CCM tu hata iweje" (hapo kwangu mie nimeelewa kwamba amekwenda kama mbunge kulingana na huo mstari maana amegusa issue ya jimbo nikadhani amekwenda jimboni mwake nikwa nimejisahau kwamba yupo Igunga na ndipo nilikakumbuka ziara nyingi za wabunge wetu wanapoenda kwa wananchi wanajisahau wanakwenda kichama badala kama wawakilishi wa wananchi (si ku-pay attention sana kwenye heading ya thread mdau hasa hiyo Igunga nilisahau kabisa kama si jimboni kwake maana mambo mengi kichwani)
 
hoja yako nyepesi sana mkuu, hao awajaenda hapo kuhamasisha wananchi washiriki katika kilimo au ufugaji, jua kwanza dhamira ya ziara ya Mhe. Mwigulu hapo Igunga kabla hujapost kwenye hii. lengo ni kwenda kueneza itikadi ya chama na kujenga imani kwa wananchi kukiamini chama cha mapinduzi, ulitaka wavae KANIKI ili ujue wapo kitaifa?
wape darasa vilaza wa kufikiri hao
 
Huyo jamaa ndio kasababisha CCm kunyanganywa Jimbo la Igunga.. alikua meneja wa kampeni huyu,kampeni zilizojaa ubakaji, mauaji na mengine yasiyotamkika.. kwenye ubakaji alikua anaenda front kabisa na ile kesi sijui iliishia wapi!

Hali ngumu kule Singida, Kitilla Mkumbo kamshika pabaya kaamua kushushia stress Igunga,
 
Huyo Kitila Mkumbo bora atunze au alinde ajira yake tu chuo kikuu. Atapata aibu ya mwaka. Hakuna nayemjua kule. Kaifanyia nini Iramba? hebu mwulizeni hilo swali tu awape jibu. Ok, mhadhiri, kaifanyia nini Iramba so far?? Wanyiramba watampa anachostahili.
 
Endelea kudanganyika,, watu sasa hivi wanaona kwa macho yote. Kwani CCM na Mwigulu wameifanyia nini Iramba?
 
nyie ndo tunawaita wa dot com nyie. Wewe Iramba ya zamani ulikuwa unaijua wewe au unakurupuka tu?? Sitaki kukuelezea tofauti ila yaelekea hata Iramba huijui kwa hiyo huwezi kuyaona yaliyofanyika. Zilingwa mbali na zitendwa mbali....Kilo!!!
 
Back
Top Bottom