Mwezi mmoja sasa

hongera mareche kwa mwezi1 wa ndoa yako jitahd kumaintain hali nzur iliyopo hiyo itakuwa zawadi poa kwa mwenzio
 
Amani mliyonayo hujaileta wewe wala mkeo ni Mungu baba aliye mbinguni, cha msingi andaa sadaka katoe kanisani /msikitini kama shukrani kwa Mungu then zawadi yakumpa mkeo ni kupiga magoti na kumuomba Mungu aendelee kuilinda hiyo ndoa,bila shaka umenielewa
 
Enheeeeeeee! ngoja tu mkuu mambo yachanganye, akishaanza kujua unavyojambajamba usiku unapokuwa usingizini ndo utaona utamu wa ndoa yako ukoje.

Kumchinja kobe kwahitaji 'timing'.
 
wadau habari ya muda huu leo ndoa yangu inatimiza mwezi 1 nafurahia maisha haya kwani nitofauti sana na nilipokuwa bachela kwani haijawa ndoano je waungwana shemeji yenu nimpe zawadi gani ?

Kuna mtu aliwahi kuuliza swali kama lako akajibiwa "mle tiGO".,sisemi wewe ufanye hivyo lakini.
 
wadau habari ya muda huu leo ndoa yangu inatimiza mwezi 1 nafurahia maisha haya kwani nitofauti sana na nilipokuwa bachela kwani haijawa ndoano je waungwana shemeji yenu nimpe zawadi gani ?

Keep us posted after ten years. A month only? It is not worthy celebrating though I wish u both a happy marriage.
 
Rudi tena baada miaka mitano na amini utakuwa mengi yakumsifu zaidi.
 
Hongera sana kaka, mnunulie cheni but usimpe, panga naye siku ya kumtoa out kwa ajili ya dinner, yaani asipike chakula cha jioni home siku hiyo, kisha huko kwenye dinner mvishe mwenyewe hiyo cheni na umbusu.
 
Back
Top Bottom