Mwezi mmoja sasa

mareche

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
471
95
wadau habari ya muda huu leo ndoa yangu inatimiza mwezi 1 nafurahia maisha haya kwani nitofauti sana na nilipokuwa bachela kwani haijawa ndoano je waungwana shemeji yenu nimpe zawadi gani ?
 
hongera Mareche,Mungu aendelee kuwatangulia,waweza mtoa kwa a suprise and well arranged dinner pia kama ni mpenzi wa jewels mtafutie the best one,otherwise subiri pia maoni ya wadau.Cheers
 
Hongera sana kaka, kama uko Dar nenda naye Mr Price mchukulie suti moja tu na viatu, kama unaweza pia unatafuta na mkufu wa silva maeneo.
Mungu aibariki ndoa yako iwe ya amani, ni uamuzi wako kuifanya iwe ndoano kama utamchukulia for granted (nimekosa neno la kiswahili hapa) na kuendelea kufukuzia vitoto mtaani.

Asilimia kubwa ya ndoano tunaztengeneza sisi wanaume, jijali na mjali mkeo hiyo ndiyo zawadi kubwa milele kaka.
 
hongera sana japo baaaaaaaaaaaaaaaado sana ndoa huwezi judge for a month maana bado mna mashamshamu ya uchumba
 
Bado hata haijafika saa nne,sasa ni saa nane alfajiri,ngoja muda upite vumbi utaliona!
 
Kuwa mwaminifu kwake siku zote za maisha yako,uamini ndie mzuri kuliko wote dunian.
 
wadau habari ya muda huu leo ndoa yangu inatimiza mwezi 1 nafurahia maisha haya kwani nitofauti sana na nilipokuwa bachela kwani haijawa ndoano je waungwana shemeji yenu nimpe zawadi gani ?
mwezi tu unasifia..
subiria awazoee mawifi zake ndio utaipatapata
 
hongera Mareche,Mungu aendelee kuwatangulia,waweza mtoa kwa a suprise and well arranged dinner pia kama ni mpenzi wa jewels mtafutie the best one,otherwise subiri pia maoni ya wadau.Cheers

nashukuru mkuu kibali itabidi nimtoe
 
wadau habari ya muda huu leo ndoa yangu inatimiza mwezi 1 nafurahia maisha haya kwani nitofauti sana na nilipokuwa bachela kwani haijawa ndoano je waungwana shemeji yenu nimpe zawadi gani ?

Huyo bado anakusoma na kupima anaweza kukumudu kwa kiasi gani ni mapema mno kutoa kucha zake kwa sasa. Wewe enjoy tu kwa sasa na kama hali inaruhusu huu ndio muda muafaka wa kufanya lile tendo muhimu kwa nguvu, ari na kasi zaidi.
 
wadau habari ya muda huu leo ndoa yangu inatimiza mwezi 1 nafurahia maisha haya kwani nitofauti sana na nilipokuwa bachela kwani haijawa ndoano je waungwana shemeji yenu nimpe zawadi gani ?
One month....????!!! Halafu unasema zawadi gani? kafanya nini tofauti na wajibu wake? Anyway, can you prove that what she promised you before the mass has performed for 100%? Subiri kama miaka mitano ijayo kama hujatamani kuifuta hii thread...!
 
wadau habari ya muda huu leo ndoa yangu inatimiza mwezi 1 nafurahia maisha haya kwani nitofauti sana na nilipokuwa bachela kwani haijawa ndoano je waungwana shemeji yenu nimpe zawadi gani ?

Mwezi mmoja bado utakuwa kwenye honeymoon. Ipe muda kidogo. Otherwise, do what you do best for your marriage to last even longer.
 
hongera Mareche,Mungu aendelee kuwatangulia,waweza mtoa kwa a suprise and well arranged dinner pia kama ni mpenzi wa jewels mtafutie the best one,otherwise subiri pia maoni ya wadau.Cheers

Mmmh! huu ushauri huu.... ukiutekeleza huu iko siku utakutokea puani. Haya mambo ya kwenye tamthilia yaache hukohuko kwenye tamthilia.
 
Back
Top Bottom