Mwenzenu ni mgonjwa hoi kitandani!

pole sana mkuu. lingekua li nivea lisingepata pole yangu sana sana ningeliombea mabaya. Mungu wangu akuponye na kukulinda pia.
 
Last edited by a moderator:
Sasa ile show aliyoisimamia Smile ilikuwa ni halafu au batili? Manake alidai umeipa baraka zote kumbe my God,Zinduna wangu upo hoi kitandani. Ugua pole nina swaga kadhaa nikushushie ukipona.
 
Pole sana Zinduna! Chukua muda wako wa kujiuguza na kupona kabisa, kuhusu Show usijali, Smile anaiendeleza vizuri.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mpendwa Zinduna...Mwenyezi Mungu akupe nguvu ya kuvumilia mateso yote ya ugonjwa na akujalie uweze kupona mapema ili urudi na kutuendeshea kipindi chetu cha Zinduna Talk Show.
 
Last edited by a moderator:
Sweetheart, I wish you a prompt recovery. Nambie basi uko wapi jamani, nije nikuone na nikuponye...
101.gif
 
Habari zenu wana JF wapendwa.Ni wiki ya pili sasa niko hoi kitandani baada ya kufanyiwa operesheni .....No, sorry nilikuwa namaanisha upasuaji wa kidole tumbo. Unajua kuna maradhi mengine ukiyatamka kwa kiingereza yanavutia tofauti na kuyatamka kwa kiswahili. kwa mfano ni vyema kusema nina Appendex badala ya kusema nina kidole tumbo, au ni vizuri ukisema una diarrhea badala ya tumbo la kuhara, au kusema nina typhoid badala ya kusema nina homa ya matumbo.

Vile vile ni vyema kusema unaumwa tonsils badaya ya kusema unaumwa mafindofindo, au kusema unaumwa AIDS badala ya kusema una UKIMWI.Si mmeona majina ya maradhi yakitamkwa kwa kiingereza yanavyovutia.

Ndio sababu na mie nikasema nimefanyiwa operesheni ya appendex badala ya kusema nimefanyiwa upasuaji wa kidole tumbo.
Oh! Pole sana Zinduna.... mi nakumisije sasa? Pona haraka bana!! Bishanga anaumisi msuto wako.

acfn8o.jpg
 
Last edited by a moderator:
mummy pole sana,tumekumissije yaani mpaka erick na smile wakaamua kujaza ombwe lako,lakini wapi,kuna zinduna mmoja tu jf,nakupa dedication ya kanyimbo ka salum abdalah ka kuwapa pole wagonjwa,embu kakatafute youtube,bishanga maimuna wa kompyuta siwezi ku download.
 
pole sana mkuu. lingekua li nivea lisingepata pole yangu sana sana ningeliombea mabaya. Mungu wangu akuponye na kukulinda pia.
ona akili za lidubu mimi ningekuombea ufe alafu ufufuke utoke huo udubu wako tehetehehteh dubu bwana za weekend
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom