Mwenyekiti wa CCM Rais Samia aongoza kikao cha Kamati kuu, je askofu Gwajima na Polepole wamepona?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
85,436
144,893
Mwenyekiti wa CCM ambaye ni Rais wa JMT mh Samia leo ameongoza kikao cha kamati kuu ya chama hicho Chamwino nje kidogo ya jiji la Dodoma.

Je, askofu Gwajima na Komredi Polepole na yule wakili msomi Jerry Slaa wamepona?

Tusubiri taarifa rasmi ya mwenezi komredi Shaka.
 
Umeandika as if mwenyekiti wa CCM na yeye ni gaidi

USSR
 
Hivi kigogo alikufa? taarifa kama hizi pamoja na kilichoendelea sirini tungekuwa tumeshazinyaka zamani.
 
Mwenyekiti wa CCM ambaye ni Rais wa JMT mh Samia leo ameongoza kikao cha kamati kuu ya chama hicho Chamwino nje kidogo ya jiji la Dodoma.

Je, askofu Gwajima na Komredi Polepole na yule wakili msomi Jerry Slaa wamepona?

Tusubiri taarifa rasmi ya mwenezi komredi Shaka.
Gwajima na Humphrey Polepole ni maspika TU, wenye mic zao wako chumbani wanaliendeleza libeneke, Mama Ana wakati mgumu
 
Kigogo aliumbuliwa kule twitter hadi kapotea mazima, wewe ni abdallah mlawa bhanaa wewe ni mwizi.....bwahahahahahaha......kigogo akawa mdogo kama piriton 'siyo mimi' kumbe hata ile sauti yake tu inamkamatisha kwa wale ambao wanamfahamu.
Kigogo yuko twitter kama kawa bwashee!
 
Kigogo yuko twitter kama kawa bwashee!
Mkuu alipotea kabisa, labda kama kafufuka mida hii......yule jamaa jasusi chahali kampoteza mazima, mara ya mwisho alikuwa akipost tu watu wanamwekea ile sound clip alipobanwa kwamba wewe ni abdalah mlawa, ni mwizi.......
 
Wacha wafu wazikane. Kufukuzwa kwa Gwajima na Polepole hakutafanya maisha yawe mepesi kwa Mtanzania wa hali ya chini. Ikiwa tozo na mifumuko ya bei ipo pale pale, tofauti pekee tutakayoiona ni aidha CCM kuondoka madarakani ama kupata katiba mpya.
Mpaka hilo litokee hata wakimfukuza Samia mwenyewe sawa tu.
 
Kigogo aliumbuliwa kule twitter hadi kapotea mazima, wewe ni abdallah mlawa bhanaa wewe ni mwizi.....bwahahahahahaha......kigogo akawa mdogo kama piriton 'siyo mimi' kumbe hata ile sauti yake tu inamkamatisha kwa wale ambao wanamfahamu.
Duuh yule jamaa japo kuna kipindi alikuwa anasanua mambo ya kweli lakini kwa upande mwingine ni jitu la hovyo sana
 
Back
Top Bottom