Mwenyeketi wilaya CDM anunuliwa na CCM, aanza kuhujumu cdm

attachment.php

M/kit Wilaya Anasema anasitisha mkutano coz hana Taarifa? (c barua ya kuomba kibali iliandikwa na katibu,CDM Tarime ndo taarifa hiyo) Ni sahihi mwkt wa wilaya kuzuia Mikutano ya mjumbe wa kamati kuu CDM? YEYE NI Mwkt Taifa? hata Mbowe hajui mikutano yote inayofanywa na MAKAMANDA? PILI ,kuwa hajui kiini na malengo!! ANAZANI HECHE ALIKUWA ANANADI CCM AU CDM?

Nazani kama kulikuwa na tatizo au na utaratibu wake mwkt wilaya angemfuata Heche na kumwelekeza cha kufanya au chakuongea kama anahisi Heche hakuwa na cha kuzungumzia na yeye ndo angekuwa mwenyeji wake hata kumpa directives za jimbo na kero za kuzungumzia. WHO IS BEHIND HIM?
 
wabunge wengi wa ccm ni waumini wa waganga wa kienyeji ndio maana wamempenyeza professor maji marefu kuwa mbunge kwa sababu viongozi wengi wa ngazi za juu walikuwa wateja wake hivyo nchi hii haiongozwi kwa taaluma bali ni nguvu za giza,yakiwemo majini ,mashetani na mapepo mabaya mengi yanayowafanya watumishi wake kumfanyia hata mtetetzi wa madaktari dr ulimboka ndio maana mbunge 1 wa chadema anauwezo wa kuongoza safu za wabunge 50 wa ccm kwa sababu wao wengi wao wanaongozwa na mapepo na si taaluma.​
 
Back
Top Bottom