peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 12,829
- 21,460
Kumekuwa na sintofahamu kubwa ya madiwani wote waliochaguliwa na CCM Jimbo la Hai kushindwa kufanya mikutano ya hadhara na wananchi wa Kata zao.
Tumefuatilia kuuliza tunaambiwa hata chama cha mapinduzi wilaya ya Hai hakifuatilii madiwani wao na wananchi wameshazoea kuishi bila mikutano na haijulikani miradi ya maendeleo inaisomamiwa na kujulishwa wananchi na nani.
Haya ya Kata kupitia uongozi wa CCM ni mbovu na hali inaendelea kuwa mbaya zaidi pale ambapo mbunge na uongozi wa CCM wilaya nao umepiga kimya.
Iwapo hali itaendelea kama ilivyo kuna kila Dalili Jimbo kurudi lilikokuwa.
CCM isipofanya mageuzibya kiungozi ngazi ya Wilaya kwa kuwahsmisha viongozi walio sinzia ofisini Jimbo linaondoka.
Mjumbe hauwawi!!!