Mwenye uzoefu kuhusu ajira kupitia erolink

evaluator

Senior Member
Feb 15, 2011
181
50
Nilifanya usaili na hawa jamaa wanaojiita erolink,baada ya kumaliza taratibu zote wananiambia kwamba wao ero link ndio watakao niajiri,halafu duty station yangu itakua kwenye hiyo kampuni husika ndio wanatafutiwa mtu.

Tafadhali mwenye kujua utaratibu wa hawa watu je unafit?hawazungushi ikifika mda wa kulipa mshahara?nakuusu increament imekaaje?details please.
 
wanalipa il full uchakachuaji haokawaulize customer care vodacom wanalia balaa
 
Mkuu mimi nakushauri kitu kimoja!nenda uwaulize hao erolink wanakupeleka kampuni gani?na malipo yako yatakuwaje?manake kuna makampuni mengi mazuri ya nje huwa wanachukua wafanyakaz kwao then baada ya mda wanawaajiri moja kwa moja!pia kwenye salary yako watakua wanakukata?au mwajir ndio analipa hiyo commission?manake hawa huwa wanaishi kwa commission.
 
Mkuu Sithole, waweza kutaja makampuni ambayo erolink wanapeleka waajiriwa wao?
Mimi nayafahamu haya, Vodacom, Dhl na Bmtl ambayo yote ni ovyo tuu.
 
wamenia mbia kuhusu kunipeleka kampuni inaitwa TIPER,mm wananiajiri wao kwa mshahara tuliokubaliana,then wao watakua wakilipwa na TIPER.wasi wasi wangu is this sustainable?wanaaminika hawa!wao wananilipa tulichokubaliana ila kiasi wanachochukua wao kutoka tiper sijakijua.
 
mh kweli mjini mipango....kama umeridhika na kiasi mlichokubaliana its better ukienda.
 
Lazima wachakachue Mshahara wako huo, Erolink ni Matapeli.
 
naskia jamaa waovyo sana, tabia yako ni hiyo ya kula pasu kwa pasu. alafu wanalipa kiasi kidogo sana.
 
naskia jamaa waovyo sana, tabia yako ni hiyo ya kula pasu kwa pasu. alafu wanalipa kiasi kidogo sana.

Hili ndo tatizo la nchi yetu .Shida ya mtu ni faida kwa wengine. hasa sisi watoto wa kajambanani ndo kabisaaa.

nakushauri kama hauna kazi nenda ukafanye kazi usisikilize watu wa humu wengine wanaleta utani na kati ww uko serious
 
Kaka/Dada kama hauna kazi nenda kwa hao jamaa bt if u have any better uendelee na hiyo hiyo. Hao jamaa ukiugua siku tatu katika mwezi zile siku wanakukata ktk mshahara wako usipofika kazin ndg wanapunguza pesa. Ukienda matenet ndiyo kabisaaa umejifukuzisha kazi(Kama wewe ni mdada)
 
naskia wanaingia mkataba wa miezi mitatu mitatu
kwa hiyo hamna likizo,sijui maternity live
hamna increment,wala extra allowance
overtime allowances wanachakachua

makaburu hawa,harsh as always
 
nenda ila am sure utarudi kuwaanzishia thread nyingine hawa wandugu,wananyanyasa wafanyakaz wao sijapata ona,tegemea salary tu,tena wanalipaga laki 4,no overtime,no any other allowances,mkataba ni 3moths!!so if ur satisfied just go n do ur work,ila lazima ulie
 
Nilifanya usaili na hawa jamaa wanaojiita erolink,baada ya kumaliza taratibu zote wananiambia kwamba wao ero link ndio watakao niajiri,halafu duty station yangu itakua kwenye hiyo kampuni husika ndio wanatafutiwa mtu.

Tafadhali mwenye kujua utaratibu wa hawa watu je unafit?hawazungushi ikifika mda wa kulipa mshahara?nakuusu increament imekaaje?details please.

Wazushi hao watu kuwa makini mi nilienda kufanya usaili pale masaki inaonekana hawako makini na kazi zao ingawa kuna wazungu pale kwenye ofc zao ila wababaishaji tu.
 
Wazushi hao watu kuwa makini mi nilienda kufanya usaili pale masaki inaonekana hawako makini na kazi zao ingawa kuna wazungu pale kwenye ofc zao ila wababaishaji tu.

kuwepo kwa wazungu ndo kitu gani. Au haujui hao wazungu makaburu ndo wanyonyaji balaa. Hebu tuachage Infiriority Complex.
 
Nilifanya usaili na hawa jamaa wanaojiita erolink,baada ya kumaliza taratibu zote wananiambia kwamba wao ero link ndio watakao niajiri,halafu duty station yangu itakua kwenye hiyo kampuni husika ndio wanatafutiwa mtu.

Tafadhali mwenye kujua utaratibu wa hawa watu je unafit?hawazungushi ikifika mda wa kulipa mshahara?nakuusu increament imekaaje?details please.

mkuu piga nao mzigo, kwa kuanzia sio mbaya utengeneze CV. Mi mwenyewe nimepiga nao view moja ya Voda ndo nawaskilizia though wako kimya
 
nenda mwenyewe TIPPER,ni kiampuni ya mafuta ipo kigamboni,hao erolink ni madalali tu,wewe kama vp ibuka na macv yako pale kati
 
Back
Top Bottom