Mwenye ujuzi wa kuongea na wafu, nataka nikamsalime mama angu

Kabsa bro upo sahih, maan mtu akifa amekata mawasilian kabs ya dunian , so uyo ataend kuongea na majini tu, alaf baadae yatakua yanamsumbua mara yatamuamrisha fany ivi na vile nayeye atafany maan atajua mama ake nd amemuagiza
Kama hujui hayo mambo acha wataalamu waongee.... Kinachokufa ni mwili, nafsi nyingine zipo na unaweza kufanya mawasiliano
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom