Jimmy2012
Member
- May 18, 2012
- 28
- 3
Habari wadau! Ninatumia Laptop ya Dell Latitude E5530, 32Bit OS 4GB RAM.
Wakati fulani ilikuwa na tatizo nikaamua kui-format Window yote na kuweka Window 7 Proff. Shida niliyonayo sasa baada ya ku-format ni kwamba laptop inashindwa ku-install baadhi ya programs na applications nyingine zinashindwa kufanya kazi vizuri na inalea ujumbe kuwa kuna drivers zina-miss. Device Manager inaonesha laptop haina drivers zifuatazo; BC 20702A0, Network Controller, PCI Simpe Communication Controller, SM Bus Controller, USB Controller & Unknown Device.
Nimejitahidi kutafuta googe sijafanikiwa, napata majibu mengi sana hadi sielewi. Aidha, nimeingia kwenye web ya Dell (support) lakini nao mlolongo mrefu na mwishowe wanataka nilipie online ili kupata drivers. Kama kuna mwanaJF mwenye kujua njia rahisi ya kupata drivers hizo, naomba sana anisaidie. Thanx in advance.