Mwenye picha ya Rahabu Fred, aliyewahi fanya kazi Sahara Media anisaidie

dimaa

JF-Expert Member
Jul 30, 2016
4,020
5,439
Kwenu wakuu.

Nimtangazaji aliyekuwa na sauti laini na nyororo, aliwahi fanya kazi Sahara Media na baadaye naskia alihamia Azam Media.

Nilikuwa nafatalia sana kipindi chake cha search line pale Radio Free Africa, miaka ya 2000's.

Mwenye hata picha tu atusaidie, tumuone ambao hatujawahi kumuona.
 
Daaa mkuu umenikumbushaa nikamkumbuka jamaa naye alikuwaga anafanya kipindi Cha sintosahau alikuwa anaitwa Roy mlaliliki mganga kitu km hcho...cjui huyu jamaa aliishiaga wapi aiseé nayee .
RFA kpnd hyo bhana ilikuwa na watu ..BBC Ile asubuh 12 :00 ilikuwa inanoga sana
 
7f9bc721-8af7-4bc5-9ffc-f23e23e5a420.jpg
 
Alikuwa mke wa marehemu Fred Fidelis (Fredwaa). Walifanya kazi radio Free Afrika kabla ya kutimkia Dare es Salaam ambako Fredwaa alifanya kazi clouds radio na Rahabu alifanya kazi times fm.

Jina lake halisi alifahamika kama Rahabu Fungo kabla ya kuolewa, baada ya kuolewa alifahamika kama Rahabu Fred. Kwa sasa sijui yupo wapi ,sijamsikia miaka kadhaa imepita
 
Mwaka 2000 mpaka 2013 mwanza ilikuwa ya moto sana kiburudani Sahara media ikiwa na the kiss fm, na Radio free Africa pamoja na chuo cha SAUT MWANZA viliipaisha sana MWANZA enzi hizo SAUT wanasoma watoto wakishua tu ambao bata ilikuwa ndio imani yao asikwambie mtu MWANZA ilikuwa tamu bwana enzi za kina zamaradi mtetema kina vick kamata,, kina kid bwai aisee walipaisha MWANZA vibaya mno na mwanza ikawa the place to be, na ukipita mitaa ya mwanza ukasema ukasema wewe ni mwanafunzi wa malimbe unaonekana mhuni, malayw na una ukimwi kwa jinsi wanafunzi walivyouchangamsha mji maana bata Monday to Friday no boom watoto wanatumia pesa za wazazi wao na mabwana zao aiisee Rock City Rock City kweli week end ikifika ni mashindano ya kutumia pesa na toto z SAUT kati ya wauza samaki na wafanyakazi wa migodini kutoka mwadui shinyanga geita mwanza , resolute nzega, na buzwagi kahama yani nia vurugu mwanzo mwisho

Acha hii SAUT ya leo wamejazana watoto wawakulima na wafungaji kupitia bodi ya mikopo elimu ya juu SAUT enzi hizo ukiwa na boom unajificha watu wasijue maana utaonekana dhaifu wewe choka mbaya huna pesa kapuku wewe yani ile ATM ya CRDB pale boom likitoka huoni foreni maana ukipanga foreni unaonekana choka mbaya wewe utachekwa siunajua akili za utoto na ujana maana kuna watu walikuwa na pesa za wazazi wao

Mliopo mwanza msalimieni sana DJ ALLY KOKO
 
Daaa mkuu umenikumbushaa nikamkumbuka jamaa naye alikuwaga anafanya kipindi Cha sintosahau alikuwa anaitwa Roy mlaliliki mganga kitu km hcho...cjui huyu jamaa aliishiaga wapi aiseé nayee .
RFA kpnd hyo bhana ilikuwa na watu ..BBC Ile asubuh 12 :00 ilikuwa inanoga sana
Roy mara ya mwisho nilimsikia TBC taifa.
 
Daaa mkuu umenikumbushaa nikamkumbuka jamaa naye alikuwaga anafanya kipindi Cha sintosahau alikuwa anaitwa Roy mlaliliki mganga kitu km hcho...cjui huyu jamaa aliishiaga wapi aiseé nayee .
RFA kpnd hyo bhana ilikuwa na watu ..BBC Ile asubuh 12 :00 ilikuwa inanoga sana
Miaka ya 2000's ndo tunakuwa radio free ilikuwa hatari sana
 
Alikuwa mke wa marehemu Fred Fidelis (Fredwaa). Walifanya kazi radio Free Afrika kabla ya kutimkia Dare es Salaam ambako Fredwaa alifanya kazi clouds radio na Rahabu alifanya kazi times fm.

Jina lake halisi alifahamika kama Rahabu Fungo kabla ya kuolewa, baada ya kuolewa alifahamika kama Rahabu Fred. Kwa sasa sijui yupo wapi ,sijamsikia miaka kadhaa imepita
Kama mwaka mmoja uliopita nilimsikia azam, akiripoti kipindi cha michezo mshikimshike, sura yake sijawahi iona.
 
Mume wake alifariki 2021 ,ndugu FREDY FELIX ( FREDWAAAAAA) je huu ni uuuungwanaaaa?
Rahasha SI uungwana

Pia ,5 zamoto
Pia ,regge ragga kila jumamosi mara ya mwisho kapata ajali ya gari pale bondeni ligalo barax akiwa mawingu Fm

Kwasasa rahabu ni mjane apewe namba yake ,VIJANA sikuhizi mmekuwa wavivu sana akaendeleze alipoishia Fred fidelis
 
Mwaka 2000 mpaka 2013 mwanza ilikuwa ya moto sana kiburudani Sahara media ikiwa na the kiss fm, na Radio free Africa pamoja na chuo cha SAUT MWANZA viliipaisha sana MWANZA enzi hizo SAUT wanasoma watoto wakishua tu ambao bata ilikuwa ndio imani yao asikwambie mtu MWANZA ilikuwa tamu bwana enzi za kina zamaradi mtetema kina vick kamata,, kina kid bwai aisee walipaisha MWANZA vibaya mno na mwanza ikawa the place to be, na ukipita mitaa ya mwanza ukasema ukasema wewe ni mwanafunzi wa malimbe unaonekana mhuni, malayw na una ukimwi kwa jinsi wanafunzi walivyouchangamsha mji maana bata Monday to Friday no boom watoto wanatumia pesa za wazazi wao na mabwana zao aiisee Rock City Rock City kweli week end ikifika ni mashindano ya kutumia pesa na toto z SAUT kati ya wauza samaki na wafanyakazi wa migodini kutoka mwadui shinyanga geita mwanza , resolute nzega, na buzwagi kahama yani nia vurugu mwanzo mwisho

Acha hii SAUT ya leo wamejazana watoto wawakulima na wafungaji kupitia bodi ya mikopo elimu ya juu SAUT enzi hizo ukiwa na boom unajificha watu wasijue maana utaonekana dhaifu wewe choka mbaya huna pesa kapuku wewe yani ile ATM ya CRDB pale boom likitoka huoni foreni maana ukipanga foreni unaonekana choka mbaya wewe utachekwa siunajua akili za utoto na ujana maana kuna watu walikuwa na pesa za wazazi wao

Mliopo mwanza msalimieni sana DJ ALLY
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom