Mwenye kupinga 'kauli ya Pinda', huyo ni adui wa nchi.

Wana-JF!

Ingawa kumekuwa na upotoshaji wa aina yake humu jamvini na kwengineko, kuhusu kauli ya mhe. Pinda, ila ukweli utabaki palepale kuwa mhe. Pinda ametoa kauli sahihi kwa wakati sahihi.

Kauli ya mhe. Pinda imepewa tafsiri ya uongo, kuwa imevunja katiba, hali iliyo pelekea wengi wenu kustaajabu kuwa ina kuwaje mwanasheria mkongwe kama mhe. Pinda kufanya hivyo, ila ukweli wa kauli yake mhe. Pinda ni huu hapa;

Mhe. Pinda alivyosema polisi wapige tu, hakuwa ana maanisha kuwa polisi wapige tu raia hovyo hovyo, lah hasha, bali alimaanisha polisi wadhibiti kwa maana ya kuwapiga raia wenye kukaidi maagizo ya dola.

Wote humu jamvini tunajua ni wajibu wa polisi kulinda raia na mali zao, lakini kwa vurugu za hivi karibuni, usalama wa raia umekuwa hatarini, kutokana na fujo za vyama vya siasa, kwa hali kama hiyo, serikali ni lazima ingetoa kauli, kauli yenyewe ndio hiyo ya mhe. Pinda.

Kauli ya mhe. Pinda imekuwa faraja kwa wapenda amani na utulivu wa hapa nchini, lakini imekuwa ni mwiba kwa wapenda fujo na maandamano yasiyo na tija yoyote kwa taifa.

Mhe. Pinda asante, TAIFA LIPO SALAMA SASA.

mkuu hamy D naona usiku ulikula kwenye banda la kuku kisha umeamkia humu saa 10 kwa kutoroka kuja kutema pumba!!!! Kapitie katiba na vitabu vya mwl vizur na sio hizi pumba zako
 
Inapofika Waziri Mkuu,aliyemsimamizi na mtendaji mkuu wa shughuli za serikali na kiongozi wa shughuli za serikali bungeni, anafikia kusema aliyosema, wazalendo na wanademokrasia wa kweli hawaamini masikio yao.
Ni huyu huyu hivi punde tu (alipoteuliwa kuwa PM) alijitambulisha kama mtoto wa mkulima! Mara tu kesha kuwa mlevi wa madaraka.
Kauli yake ya kuwapa ruhusa polosi kupitisha mkong'oto kwa wale wanaitwa 'hawataki kutii amri
 
Pinda amekosea aje aombe radhi wananchi kwa damu za watanzania alizo halalisha ziendelee kumwaagika
 
Mtoa mada anaungana na pinda kuwa maadui waliotukuka wa raia wa nchi hii!
Hivi watu wote wakipigwa risasi kama pinda alivyosema nchi itabaki na nani?
Mama zenu nyie manyang'au!!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Wana-JF!

Ingawa kumekuwa na upotoshaji wa aina yake humu jamvini na kwengineko, kuhusu kauli ya mhe. Pinda, ila ukweli utabaki palepale kuwa mhe. Pinda ametoa kauli sahihi kwa wakati sahihi.

Kauli ya mhe. Pinda imepewa tafsiri ya uongo, kuwa imevunja katiba, hali iliyo pelekea wengi wenu kustaajabu kuwa ina kuwaje mwanasheria mkongwe kama mhe. Pinda kufanya hivyo, ila ukweli wa kauli yake mhe. Pinda ni huu hapa;

Mhe. Pinda alivyosema polisi wapige tu, hakuwa ana maanisha kuwa polisi wapige tu raia hovyo hovyo, lah hasha, bali alimaanisha polisi wadhibiti kwa maana ya kuwapiga raia wenye kukaidi maagizo ya dola.

Wote humu jamvini tunajua ni wajibu wa polisi kulinda raia na mali zao, lakini kwa vurugu za hivi karibuni, usalama wa raia umekuwa hatarini, kutokana na fujo za vyama vya siasa, kwa hali kama hiyo, serikali ni lazima ingetoa kauli, kauli yenyewe ndio hiyo ya mhe. Pinda.

Kauli ya mhe. Pinda imekuwa faraja kwa wapenda amani na utulivu wa hapa nchini, lakini imekuwa ni mwiba kwa wapenda fujo na maandamano yasiyo na tija yoyote kwa taifa.

Mhe. Pinda asante, TAIFA LIPO SALAMA SASA.
. Hivi Mh Pinda anafahamu Kuwa kuna Polisi huwabambikia watu Kesi?na kuna methali isemayo kufa kufaana na hii kauli hutumiwa na polisi pindi likitokea janga hutumia fursa hiyo kuwaunganisha Wasiokuwemo na wale waliokuwemo na hapo ndipo huibua tatizo na polisi kujidai eti wanatekeleza amri ! Hv ukiwekewa FUVU kisha ukalazimishwa ukubali ukikataa utapigwa?
 
Mhe. Pinda alivyosema polisi wapige tu, hakuwa ana maanisha kuwa polisi wapige tu raia hovyo hovyo, lah hasha, bali alimaanisha polisi wadhibiti kwa maana ya kuwapiga raia wenye kukaidi maagizo ya dola.

Nikweli si ndio imeanza kutekelezwa kwenye kwa jimbo analotoka mh.Wasira,

AU hujasilia hii?Watu wanaosadikiwa kuwa ni askari wa mwekezaji wa Grumet Fund na pori la Akiba la Ikorongo wilayani Serengeti mkoani Mara,wanadaiwa kuwaua ng'ombe zaidi ya 50 wa mkazi mmoja wa kijiji cha Mariwanda wilayani Bunda baada ya kudaiwa kuingia katika pori hilo kinyume cha sheria .
 
PIGA TU,yaani mtapigwa tu,matokeo ni hayo hapo ju
 
Kujaribu kutoa ufafanuzi juu ya kauli ya pinda kunathibitisha kile kinachosemwa humu kuwa huyo mzee amekurupuka.

Sent from my HTC Desire S using Tapatalk 2
 
Sasa nimeshajua viongozi wa hii nchi hawafati misingi ya katiba katika kuiongoza hii nchi, bali huiongoza kwa kufata sheria za nyumbani kwao, atakavyo shauriwa na bibi yake wanae na marafiki zake!!!!!!!!!!
Ndio maana majanga hayaishi!
 
Mtoa mada anaungana na pinda kuwa maadui waliotukuka wa raia wa nchi hii!
Hivi watu wote wakipigwa risasi kama pinda alivyosema nchi itabaki na nani?
Mama zenu nyie manyang'au!!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Kuna Wale wanawabambikia Raia kesi kwa kuwawekea Bangi Mafuvu na njia mbalimbali za kuharalisha Ruswa ! Je?pinda anajua Haya?kufa kufaana kwani likitokea Janga kumba kumba huokota kila kilicho mbele Yao na hapo ndipo huzaa neno Vurugu japo wakati mwingine vurugu husababishwa na Polisi wenyewe kwa kuleta mambo ya ndivyo sivyo juu ya Haki za Raia !
 
HAMY D kwan unafikir hawakuelewa,walielewa sana ila ni mabingwa wa kupotosha ukwel.Usipoti sheria unategemea nini....
 
Waziri Mkuu anayetumia emotions kutoa majibu,Narudia tena kauli ya Pinda ni ya KIPUUZI
 
Wana-JF!
Ingawa kumekuwa na upotoshaji wa aina yake humu jamvini na kwengineko, kuhusu kauli ya mhe. Pinda, ila ukweli utabaki palepale kuwa mhe. Pinda ametoa kauli sahihi kwa wakati sahihi.
Kauli ya mhe. Pinda imepewa tafsiri ya uongo, kuwa imevunja katiba, hali iliyo pelekea wengi wenu kustaajabu kuwa ina kuwaje mwanasheria mkongwe kama mhe. Pinda kufanya hivyo, ila ukweli wa kauli yake mhe. Pinda ni huu hapa;
Mhe. Pinda alivyosema polisi wapige tu, hakuwa ana maanisha kuwa polisi wapige tu raia hovyo hovyo, lah hasha, bali alimaanisha polisi wadhibiti kwa maana ya kuwapiga raia wenye kukaidi maagizo ya dola.
Wote humu jamvini tunajua ni wajibu wa polisi kulinda raia na mali zao, lakini kwa vurugu za hivi karibuni, usalama wa raia umekuwa hatarini, kutokana na fujo za vyama vya siasa, kwa hali kama hiyo, serikali ni lazima ingetoa kauli, kauli yenyewe ndio hiyo ya mhe. Pinda.
Kauli ya mhe. Pinda imekuwa faraja kwa wapenda amani na utulivu wa hapa nchini, lakini imekuwa ni mwiba kwa wapenda fujo na maandamano yasiyo na tija yoyote kwa taifa.
Mhe. Pinda asante, TAIFA LIPO SALAMA SASA.
Haki ya watu waliyo chini ya ulinzi
39.-(1) Mtu aliye katika kizuizi au ulinzi ataendelea kuwa na haki
zote za msingi zilizoainishwa katika Katiba hii kwa kiwango anachostahiki
katika mazingira ya kuwekwa kizuizini au katika ulinzi.
(2) Mtu aliye katika kizuizi au ulinzi ana haki ya kuiomba
mahakama ili mamlaka ya nchi inayomuhifadhi kueleza sababu za yeye
kuwekwa au kuendelea kuwa katika kizuizi au ulinzi.
(3) Raia wa Jamhuri ya Muungano hatapelekwa katikanchi ya nje
yoyote kujibu mashtaka au kufanyiwa mahojiano ya aina yoyote kinyume cha ridhaa yake.Uhuru na haki ya mazingira safi na salama

MPELEKEE AKASOME
 
Sheria inasema mtu akivunja sheria apigwe?...imetaja hilo?.. (ieleweke, alimaanisha apigwe risasi au apigwe fimbo,ngumi au makofi?)..hadi hapo,wanaojua zaidi statement hii ni polisi..watapiga risasi, watapiga mabomu, watapiga virungu nk..kwa sababu vyote ni kupiga! Acha uzembe wa kufikiri tunaakiri za kutosha kuliko uzezeta uloleta hapa

Na huo si wajibu wa polisi lakini Mh. Pinda na mlamba viatu Hammy D wamewabadilishia wajibu. La msingi Watanzania hapa wafahamu kuwa serikali imetangaza raia watakapofanya kosa wajiandae kupigwa virungu, buti, vibao, vichwa, bomu na risasi za moto. Ukaidi wa mtu ni jinsi upande wa pili utakavyotafsiri kitendo kitakachofanywa na upande wa kwanza. Hivyo kutokana na uwezo na visa vya polisi wetu watu watapigwa sana na wengi kufa.
 
Sasa polis wakiwambia tawanyiken mkagoma mlitegemea wao ndo wasepo au?lazima nguvu itumike...na hiyo ndo nguvu ya dola
 
wana-jf!

Ingawa kumekuwa na upotoshaji wa aina yake humu jamvini na kwengineko, kuhusu kauli ya mhe. Pinda, ila ukweli utabaki palepale kuwa mhe. Pinda ametoa kauli sahihi kwa wakati sahihi.

Kauli ya mhe. Pinda imepewa tafsiri ya uongo, kuwa imevunja katiba, hali iliyo pelekea wengi wenu kustaajabu kuwa ina kuwaje mwanasheria mkongwe kama mhe. Pinda kufanya hivyo, ila ukweli wa kauli yake mhe. Pinda ni huu hapa;

mhe. Pinda alivyosema polisi wapige tu, hakuwa ana maanisha kuwa polisi wapige tu raia hovyo hovyo, lah hasha, bali alimaanisha polisi wadhibiti kwa maana ya kuwapiga raia wenye kukaidi maagizo ya dola.

Wote humu jamvini tunajua ni wajibu wa polisi kulinda raia na mali zao, lakini kwa vurugu za hivi karibuni, usalama wa raia umekuwa hatarini, kutokana na fujo za vyama vya siasa, kwa hali kama hiyo, serikali ni lazima ingetoa kauli, kauli yenyewe ndio hiyo ya mhe. Pinda.

Kauli ya mhe. Pinda imekuwa faraja kwa wapenda amani na utulivu wa hapa nchini, lakini imekuwa ni mwiba kwa wapenda fujo na maandamano yasiyo na tija yoyote kwa taifa.

Mhe. Pinda asante, taifa lipo salama sasa.

safi kwako,ila utajutia siku utakapo sikia yule mwanao amepigwa na kufa na polisi siku atakapokwenda kule ...kumtembelea binamu yake.

Kwa sasa naona unajaribu kumweka ndani ya geti ila yeye anapenda kuzurura siku atakapo pita karibu na kusanyiko na ndo atapigwa risasi na polisi kwa kufuata kauli ya pinda then utabadilika tokea siku hiyo.
 
CCM imejidhihirisha kuwa ni chama kinachokufa rasmi.

Mtapiga sana raiya lakini madaraka mtaachia tu kwasababu hakuna anayetaka tena kuwa mtumwa ndani ya nchi yake.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Wana-JF!

Ingawa kumekuwa na upotoshaji wa aina yake humu jamvini na kwengineko, kuhusu kauli ya mhe. Pinda, ila ukweli utabaki palepale kuwa mhe. Pinda ametoa kauli sahihi kwa wakati sahihi.

Kauli ya mhe. Pinda imepewa tafsiri ya uongo, kuwa imevunja katiba, hali iliyo pelekea wengi wenu kustaajabu kuwa ina kuwaje mwanasheria mkongwe kama mhe. Pinda kufanya hivyo, ila ukweli wa kauli yake mhe. Pinda ni huu hapa;

Mhe. Pinda alivyosema polisi wapige tu, hakuwa ana maanisha kuwa polisi wapige tu raia hovyo hovyo, lah hasha, bali alimaanisha polisi wadhibiti kwa maana ya kuwapiga raia wenye kukaidi maagizo ya dola.

Wote humu jamvini tunajua ni wajibu wa polisi kulinda raia na mali zao, lakini kwa vurugu za hivi karibuni, usalama wa raia umekuwa hatarini, kutokana na fujo za vyama vya siasa, kwa hali kama hiyo, serikali ni lazima ingetoa kauli, kauli yenyewe ndio hiyo ya mhe. Pinda.

Kauli ya mhe. Pinda imekuwa faraja kwa wapenda amani na utulivu wa hapa nchini, lakini imekuwa ni mwiba kwa wapenda fujo na maandamano yasiyo na tija yoyote kwa taifa.

Mhe. Pinda asante, TAIFA LIPO SALAMA SASA.

.
Hujitambui.. Kukiosha Kinyesi chenyewe ni Kazi ngumu sana..
 
Back
Top Bottom