Mwenye kupenda waridi

Ulipendapo waridi
Jali wake uchungu
Uchunguze muwaridi
Miba mingine michungu

Ukilitaka waridi
Chagua lilo stadi
Usilipende waridi
si rangi ilimradi

Ukilipenda waridi
Chagua lisokaidi
Ukilipenda waridi
Si lazima likuzidi

Ukilipenda waridi, changua likufaalo.

Mwanajamiione!! Nimesoma shairi hili tangu mwanzo mpaka mwisho huku nikitabasamu! Halafu nikakugongea SENKSI hata kabla sijamaliza kusoma.

Sanaa yako imetulia!! :)
 
Mi mwenyewe nimejifunza kuipenda na jinsi ya kukaa na miba yake, maana niligundua hata mie nina miba yangu ,ila aishie na mimi hana budi kuipenda ili isimchome
 
Mi mwenyewe nimejifunza kuipenda na jinsi ya kukaa na miba yake, maana niligundua hata mie nina miba yangu ,ila aishie na mimi hana budi kuipenda ili isimchome

Ha h ah ha ha !
Very true,ukikubali hilo ndio utani wa jadi unapoanzia hapo,kama Simba na Yanga miaka inasogea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom