Mwenye kujua hospitali ya kutibu kansa ya titi Kwa Dar

kibangubangu

JF-Expert Member
Dec 10, 2018
212
285
Naomba kujua hospitali nzuri yenye kutibu magonjwa ya kansa ya matiti(breasts cancer) Kwa Dar es salaam.

Pia Wawe na mashine Aina ya RADIOTHERAPIE ONCOLOGIE

Nimeiambatanisha katika picha.

iMarkup_20211129_104544.jpg
 
Kuna ocean road, kuna besta kuna bugando kuna ifakara, jitahdi umuwahshe mgojwa maana akichelewa ndivyo inavyo kua ngumu zaitdi kuitibu. Ocean road wana mashine ya linear accelerator, ni nzuri sana hata na besta na ifakara ambzo ni praivate. Saratan inatibika wahi mapema.
 
Umenikumbusha nilivyohangaika na mgonjwa wangu 2017. Mungu ni mwema alipona.

Mungu amtangulie mgonjwa. Asicheleweshwe. Cancer inapona akiwahiwa kwa matibabu sahihi. Ocean road wako poa.
 
Umenikumbusha nilivyohangaika na mgonjwa wangu 2017. Mungu ni mwema alipona.

Mungu amtangulie mgonjwa. Asicheleweshwe. Cancer inapona akiwahiwa kwa matibabu sahihi. Ocean road wako poa.

Hata kama siyo ocean road siku hiz tiba lishe zipo na unarudi katika hali ya kawaida na saratani inapotea
 
Hata kama siyo ocean road siku hiz tiba lishe zipo na unarudi katika hali ya kawaida na saratani inapotea
Kama zipi na mgonjwa wa kansa ya ziwa naelekea kukata tamaa msaada tafadhali.
 
Back
Top Bottom