Mwenye kujua dawa ya kupunguza hamu ya tendo la ndoa anijuze

Mm ni kijana 28 nina hamu sana na sex hata nikisex na mwanamke siku nzima kesho najikuta natamani tena kusex , mwanamke niliyekua naishi naye ameshindwa imebidi aondoke, hii hali naona kabisa inanitesa kiafya mwili wangu naona unadhoofika , kwahiyo anayejua dawa ya kupunguza hamu ya tendo anijuze!
"The more you have sex, The more you need it"

huwa ipo hivyo, ila ukitaka kupunguza hamu ya sex au ugwadu basi tumia karanga mbichi nyeupe, maziwa mgando, asali mbichi na kitunguu swaumu 😂
 
your spirit has been attacked by evil spirit and no medications can cancel out evil spirit,
you have to seek spiritual help to be free.

#SexualAddiction# Uraibu wa ngono
 
Mm ni kijana 28 nina hamu sana na sex hata nikisex na mwanamke siku nzima kesho najikuta natamani tena kusex , mwanamke niliyekua naishi naye ameshindwa imebidi aondoke, hii hali naona kabisa inanitesa kiafya mwili wangu naona unadhoofika , kwahiyo anayejua dawa ya kupunguza hamu ya tendo anijuze!
Hyo ni tester ion homon ipo juu ya kiwango cha juu sana
 
Mm ni kijana 28 nina hamu sana na sex hata nikisex na mwanamke siku nzima kesho najikuta natamani tena kusex , mwanamke niliyekua naishi naye ameshindwa imebidi aondoke, hii hali naona kabisa inanitesa kiafya mwili wangu naona unadhoofika , kwahiyo anayejua dawa ya kupunguza hamu ya tendo anijuze!
Mfumanie mpenzi wako au mkeo ndio utajua Dunia kmmmko
 
Mm ni kijana 28 nina hamu sana na sex hata nikisex na mwanamke siku nzima kesho najikuta natamani tena kusex , mwanamke niliyekua naishi naye ameshindwa imebidi aondoke, hii hali naona kabisa inanitesa kiafya mwili wangu naona unadhoofika , kwahiyo anayejua dawa ya kupunguza hamu ya tendo anijuze!
Huna majukumu wewe..

Yaan udaiwe Kodi ya nyumba...

Udaiwe bili za maji, takataka, umeme ,Kodi ya meza, ada za watoto, kutunza ndugu, pesa ya kujikimu wazazi wote wa pande mbili...

Kazini ufukuzwe

Kwa uchache tu

Then Rudi hapa utupe majibu 😊😊😊😊
 
Mm ni kijana 28 nina hamu sana na sex hata nikisex na mwanamke siku nzima kesho najikuta natamani tena kusex , mwanamke niliyekua naishi naye ameshindwa imebidi aondoke, hii hali naona kabisa inanitesa kiafya mwili wangu naona unadhoofika , kwahiyo anayejua dawa ya kupunguza hamu ya tendo anijuze!
Tafuta kazi
 
Lipia tangazo tafadhari.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom