STEIN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2010
- 1,770
- 553
MMh... Toka lini? Makamba ni katibu mkuu. Cv yake ndiyo imemfikisha hapo! Halafu hiyo lugha imekaa kienyeji sana!
Tupe hiyo CV unayoifahamu imemfikisha kwenye ukatibu mkuu unaousema.
MMh... Toka lini? Makamba ni katibu mkuu. Cv yake ndiyo imemfikisha hapo! Halafu hiyo lugha imekaa kienyeji sana!
MMh... Toka lini? Makamba ni katibu mkuu. Cv yake ndiyo imemfikisha hapo! Halafu hiyo lugha imekaa kienyeji sana!
Itabidi uende pale mtaa wa Lumumba...DSMTupe hiyo CV unayoifahamu imemfikisha kwenye ukatibu mkuu unaousema.
Great thinker ina maana gani?Ulitaka ikae kiugeni kama Tamil Somaiya, RA na Patel? Pia hujui kuwa hata hizo jembe na nyundo vimekaa kienyeji zaidi. Kwani Head umeitafsiri vip kwako? Are you also great thinker? Mh!
Kwa kuwa wewe ndie mwajili au huyo Makamba kaja kuomba kazi kwako?
Ni Ujinga tu wa Mwafrika!
Itabidi uende pale mtaa wa Lumumba...DSM
acha uboya wewe.wazungu ndio wanaheshimu zaidi cv kuliko hata sisi waafrika.wao huna haja ya kuonesha vyeti,cv inatosha kujua wewe ni mtu wa aina gani.....napata wasiwasi na kiwango cha uelewa wako wa mambo ya msingi ambayo yako wazi kabisa katika maisha ya kila siku
Great thinker ina maana gani?
CV yako imeishaiweka hapa hadi udai CV ya Makamba? Au unataka kumpa kazi mpya Makamba?acha uboya wewe.wazungu ndio wanaheshimu zaidi cv kuliko hata sisi waafrika.wao huna haja ya kuonesha vyeti,cv inatosha kujua wewe ni mtu wa aina gani.....napata wasiwasi na kiwango cha uelewa wako wa mambo ya msingi ambayo yako wazi kabisa katika maisha ya kila siku
Great thinker ina maana gani?
Sijakufamu hapo juu? umekusudia kusema nini?Wenzetu ndio wameileta waliyoikuta Lumumba sasa unalalamika nini, Utadhani ulikuwa nayo kumbe ilikuwa muda wako wa kutuuliza CV ya Makamba haujafika.
CV yako imeishaiweka hapa hadi udai CV ya Makamba? Au unataka kumpa kazi mpya Makamba?
Ujinga wa Mwafrika!
Kwa kuwa wewe ndie mwajili au huyo Makamba kaja kuomba kazi kwako?
Ni Ujinga tu wa Mwafrika!
Nina wasi wasi wewe nafikiri una tekeleza uliyoyandika kwenye signature hii yako.
"Save Water Drink Beer.'"
Sijakufamu hapo juu? umekusudia kusema nini?
Naona wewe ndie umekereka zaidi, baba mkwe anaingia vipi hapa? Cha msingi sijaona umuhimu wowote wa mtu kutaka kujua CV ya Makamba!Mbona unatetea mno??? Una maslahi binafsi au vipi....................... Kwani jamaa wakiomba CV ya Makamba wewe inakuuma nini?? Si uwaache wachambue wanachotaka wakichoka wanaendelea na mijadara mingine. Sasa wewe mwenzetu unavyoipinga hii thread utafikiri wanaulizia CV ya baba mkwe wako.
Naona unataka kudandia treni kwa mbele... Imekula kwako!Great Thinker=Jembe na Nyundo! Teh! Tehe! Tehe! Tehe
CV yako imeishaiweka hapa hadi udai CV ya Makamba? Au unataka kumpa kazi mpya Makamba?
Ujinga wa Mwafrika!
Kwa kuwa wewe ndie mwajili au huyo Makamba kaja kuomba kazi kwako?
Ni Ujinga tu wa Mwafrika!
Mbona unatetea mno??? Una maslahi binafsi au vipi....................... Kwani jamaa wakiomba CV ya Makamba wewe inakuuma nini?? Si uwaache wachambue wanachotaka wakichoka wanaendelea na mijadara mingine. Sasa wewe mwenzetu unavyoipinga hii thread utafikiri wanaulizia CV ya baba mkwe wako.