Mwenye cv ya makamba aiweke hapa

mpingomkavu

Member
Nov 26, 2010
94
0
:yuck:Wadau wa JF naombeni muweke cv ya huyu mzee hapa tuijadili kwani anayoyafanya yamekuwa ni kituko sasa sijui tunaijenga jamii gani ya kitanzania:angry::angry:
 
Akiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, ktk operation ondoa dada zetu wasaka noti kwa kujiuza - walimzushia anawataka. Akawajibu akasema, "jamani, hv visichana vinasema eti mm Makamba navitaka. Mimi na uzee wangu huu, nitavipeleka wapi? Kwa mama January kwenyewe NATUMIA UZOEFU".

Makamba, acha tu..... yule mzee ni nunda sana! Nashangaa kwanini hajawahi pelekwa Mirembe! Kuna nyuzi zimefyatuka lazima.
 
Kipi cha kuumiza? Kumezuka tabia ya kila memba kutaka kujua cv ya fulani na fulani... Hii inamsaidia memba nini hasa! Kama si ujuha tu?

Just a matter of comparison for what S/he is giving up to what s/he is taking in! + argumentation/reasoning etc.
 
kweli? then what?

Inakusaidia kuelewa hoja zake kama anaongea kiuchumi, kiudactari, kialimu, kichekechea

ni vyema sana ukijua cv ya mtu inakusaidia kumrank na kuheshmu mawazo yake kutokana na cv yake.

Katika karne hii cv ni muhimu sana mkuu!
 
Kwa kuwa wewe ndie mwajil(r)i au huyo Makamba kaja kuomba kazi kwako?

Ni Ujinga tu wa Mwafrika!

CV is not an act of employers only-it affects almost all people! Makamba is the head of Ruling party CCM, the party that spearheading all country decissions in the country. You do simply understand the importance of having to know the capability of ths guy. However the overall importance to know the knowledgebility of Makamba is just to become free from stress to what is given to the public by ths guy! more next? plz!
 
Kwa kuwa wewe ndie mwajili au huyo Makamba kaja kuomba kazi kwako?

Ni Ujinga tu wa Mwafrika!

Wewe mpakistan au? mbona hueleweki, hivi kwa mambo ambayo anafanya waTZ halali tukihoji. Mbona ya kina Slaa tuliiona?
 
CV is not an act of employers only-it affects almost all people! Makamba is the head of Ruling party CCM, the party that spearheading all country decissions in the country. You do simply understand the importance of having to know the capability of ths guy. However the overall importance to know the knowledgebility of Makamba is just to become free from stress to what is given to the public by ths guy! more next? plz!
MMh... Toka lini? Makamba ni katibu mkuu. Cv yake ndiyo imemfikisha hapo! Halafu hiyo lugha imekaa kienyeji sana!
 
Wewe mpakistan au? mbona hueleweki, hivi kwa mambo ambayo anafanya waTZ halali tukihoji. Mbona ya kina Slaa tuliiona?

Kama wewe ni mwajiri wa chadema hapana shaka umeiona CV ya Slaa. Mimi sina haja ya kujua cv ya Slaa wala yako!
 
Kama wewe ni mwajiri wa chadema hapana shaka umeiona CV ya Slaa. Mimi sina haja ya kujua cv ya Slaa wala yako!

Sasa wewe ni makamba nini au mwanae. Tupe hiyo CV inaelekea we unayo au hakusoma maana ukweli unauma kinoma.
 
Back
Top Bottom