Mwenye cv ya makamba aiweke hapa

Naona wewe ndie umekereka zaidi, baba mkwe anaingia vipi hapa? Cha msingi sijaona umuhimu wowote wa mtu kutaka kujua CV ya Makamba!

Tuko serious tunataka CV ya makamba au ile ya kuwa mwl. Shule ya msingi ndio hadi mkuu wa mkoa hadi Ktb mkuuwa CCM, tunataka ya kishule zaidi.
 
ukiitaka naiweka tu,haina shida......sio ujinga wa mwafrika,ni ujinga wa waliompa cheo alichonacho sasahivi.mtu anaetumia nguvu kwanza akili baadae mnampa cheo kikubwa vile?bora wangekupa hata wewe
Naona sina haja ya kujua CV yako... Hapo juu inatosha kujua asilimia 99 ya CV yako! Kwa ushauri ni bora ukakaa kimya kuhusu CV ya Makamba!

Unatia aibu kamanda!
 
Tuko serious tunataka CV ya makamba au ile ya kuwa mwl. Shule ya msingi ndio hadi mkuu wa mkoa hadi Ktb mkuuwa CCM, tunataka ya kishule zaidi.
Upo serious kweli? Search kwenye google, ukiikosa huko, mtangazie Makamba nafasi ya kazi...
 
Naona wewe ndie umekereka zaidi, baba mkwe anaingia vipi hapa? Cha msingi sijaona umuhimu wowote wa mtu kutaka kujua CV ya Makamba!

Nguvu unayotumia kutetea hii issue ni kubwa mpaka inatia wasiwasi. Watu wanataka CV yake ili wapime kile anachoongea na upeo wake kielimu na kikazi. Yeye kuwa katibu wa CCM haituambii chochote kuhusu uwezo wake.
 
Cha msingi ni kuwa yule aliyemtehua kuwa katibu mkuu wa CCM aliridhika na CV yake. Hii aina maana kuwa wewe una uwezo wa kuhoji CV yake!

Tafuta kingine ila sio hili!
 
Hakuna anyehoji CV yake ila tunataka kuijua CV yake. Sasa tatizo liko wapi?? CV ya kiongozi siyo siri ndiyo maana kwa wabunge huwa zinawekwa kwenye web site ya bunge ili tujuwe nini tukitegemee kutoka kwa waheshimiwa wetu.
 
Kumbe ni hivyo! Sasa kwanini msiende kwenye web site ya bunge? Makamba aliwahi kuwa mbuge wa kuteuliwa before... Mkiikosa huko jaribuni web site ya CCM...
 
Back
Top Bottom