mwenye akili ajibu

Khaaaaaaa.......kweli kwa mwenye akili
Maana asiye Na akili hawezi jibu kwani haiwezekani.
 
Unataka jogoo? Njoo hapa kwetu chereeechee, kuna mijogoo kibao, halafu ya kienyeji asikwambie mtu, si unajua ya kienyeji kushea ndo kawaida?

ya kienyeji balaa mi napenda la kizungu... staharabu... hata kwenye harakati zake..
 
ya kienyeji balaa mi napenda la kizungu... staharabu... hata kwenye harakati zake..

Duh! Basi wewe huujui utamu wa jogooo.
Banza Stoney--Mwalimu wa walimu aliimba "SUPU YA KUKU WA KIENYEJIIIII.......".

Hebu jaribu supu ya Lijogoo la kienyeji, Haki ya mimi vile, utahamia huku kwetu
 
imagine kama kungekuwa na uwezekano wa jogoo kutolewa na kurudishwa, kuazimishwa au hata kuuzwa.. ingekuwaje?

ningenunua majogoo tofauti tofauti kwa ukubwa urefu upana, yote kwa shuguli tofauti tofauti, na ningekuwa nikiona moja limeanza kupoteza uwezo wa kufanya kazi nakuwa nalikodisha afu nanunua jipya.....hehehehhehe
 
Duh! Basi wewe huujui utamu wa jogooo.
Banza Stoney--Mwalimu wa walimu aliimba "SUPU YA KUKU WA KIENYEJIIIII.......".

Hebu jaribu supu ya Lijogoo la kienyeji, Haki ya mimi vile, utahamia huku kwetu

supu yake nzuri.. ila nyama imekomaa watu wanapenda nyama laini....hata kwa mrija..
 
Back
Top Bottom