Sie huku kwetu majogoo yanauzwa kwa sana tuu halafu bei rahisiii. Ila pia unaweza azima wa jirani kwa ajili ya kurutubisha mayai ya mitetea wako, kama jogoo wa jirani ni Mzuri. Kweli kwetu Pazuri jamanii
si ndio post ikadai mwenye akili.. ukiachwa kwenye mitaa ujue.....malizia?
hata ticha si huwa anafanya masahihisho kama mwanafunzi kakosea si unambie tu kama ni huyu au yule af nijibu swali vizuri next paper wng.
haya hayaaaaa wale wenye akili.... uwanja wenu huu..............
wapi tena huko nije fasta.... maana huku kwetu kila mtu na wa kwake... na wanavyowalinda kama hela kumbe jogoo..
wapi tena nije... maana jogoo wa jirani hapandi mtungini..